Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Unashauri wachaga wamfukuze mwislamu mwenzako?

Najuwa amewavunja moyo mazuzu wake kama wewe kwa kukimbia vikao muhimu na vizito kama kamati kuu na ndio uwanja mpana wa kutoa hoja zenye mashiko kwa chama.

Waacheni wachaga na watu wa kaskazini wafanye vikao halali vya kikatiba, nyinyi wamakonde na wazaramo msubili mwenyekiti wenu wa Twitter na Facebook arudi kutoka Sudan ili muendelee na vikao vya mtandaoni.
Mkuu Matola naona unampa za uso
 
Last edited by a moderator:
Tena bahati nzuri tumekutana wasukuma wote mpka kisukuma tutaongea leo,
niambie chadema wakiandamana wanadai nini zaidi ya kufanya fujo barabarani na kusababisha maafa daima huwa hawana cha msingi cha kudai.

Kwani wao ndo hua wanawapinga hao Watu kwa vyuma vyenye ncha Kali?
 
Anachkifanya katika huo udhuru kinaonekana ama ndo blaa blaa zenu na fitna kama kawaida yenu?
Kazi azifanyazo ni kubwa kuliko umfikiriayo, halafu mwanitia kero na kichefuchefu sana ninyi watu!!!
Ooh! chama kina watu wengi makini mara Zito hafai, sasa kama hakufaini hicho kijikatiba chenu hakina kifungu cha kumuwajibisha mwanachama anayeenda kinyume ama ikibidi hata kumfukuza kama si kumvua uwanachama?

Naona mna uchungu naye kuliko kawaida. Mnaonaje mkamshauri akaja kwenu?
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Ng'wamapalala Samahani kwa lugha kali!!!!!!

Mkuu umemaliza kila kitu!!!!!!
Hii ni kuonesha kuwa hakuna la maana kwa manufaa ya mwananchi wa kawaida ndani ya siasa za kichama!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani ZZK kukosekana kwenye kikao tu ni HEADING ya Gazeti kweli jamaa anatisha!
 
Akitoka Sudan ataanza vikao vyake Facebook na twitter, vikao halali vya chama vya kuhoji anakimbia.

Jinga sana hili jamaa, wale vibaka wote aliowashika akili sasa ndio waone wanamshabikia mtu wa aina gani.

Nadhani huyu anafaa sana kuwa mwenyekiti wa Chadema twitter na facebook.

Hardliners gani kulialia na.mtu mmoja miaka nenda miaka rudi,tukiwapa nchi tukavamiwa mtatulinda nyie!!????

Kama hamna la kumfanya pigeni kimya tutawaelewa sio kikao kizito kama hicho kinatoka na malalamiko.

I do hate them crying fathers!!!!!
 
Abari kwa wana jf wote Zitto ni kiongozi jasili na mkakamavu kama ukomavu kwenye siasa ilasha upata sasa sioni sababu ya wajinga wasio elewa nin wanafany kwa kuleta taarifa za udaku humu ndani,kama unaona kunajambo hulijui nibora kuuliza maana siujinga.....Zitto ayupo nchini lakini huko aliko amekwenda kikazi na hao vingozi wenu wa CDM wanalijua hilo sasa acheni uchozi kwa kuvumisha amekimbia kamati kuu Zitto hawezi kukimbia maana yeye ni mtu anaye jiamin siku zote.

we mbulula kabisa si nyie mlikuwa mnataka ufafanuzi kutoka makao makuu kuhusu tuhuma zake,si yeye alimwandikia barua katibu mkuu ,sasa kikao kimeitishwa si ndo ingekuwa sehemu muhafaka kwa zitto kupata ufafanuzi na kuwaondolea shaka wafuasi wake wa ccm.sasa mmemshauri hasihudhulie alafu mkitegemea watz bado bongo lala,chezea shule za kata wewe ,watu wameamka ata yuda kwenye vikao vya yesu na wanafunzi wake alikuwa nasepa kama kabwe .umaskini wa akili ni mbaya kuluko wa pesa
 
NDOTO YA KWENDA IKULU 2015 ISHAINGIA DOA,CHADEMA ACHANENI NA ZITTO KAMA MLIVYOFANYA KWA SHIBUDA.MSIMSHIRIKISHE JAMBO LOLOTE KABISA.UCHAGUZI UJE ABAKI mwanachama WA KAWAIDA.full stop.
 
Ufafanuzi ni kwa manufaa ya chama na umma kwa ujumla ajenda ziendelee yeue atakuta taarifa na kama kaandika barua ajibiwe kwa barua hiyo ndio taratibu!!!!!

You are going weaker and weaker as time goes by,bitter truth!!!!!!
 
NDOTO YA KWENDA IKULU 2015 ISHAINGIA DOA,CHADEMA ACHANENI NA ZITTO KAMA MLIVYOFANYA KWA SHIBUDA.MSIMSHIRIKISHE JAMBO LOLOTE KABISA.UCHAGUZI UJE ABAKI mwanachama WA KAWAIDA.full stop.

I wish they were this strong!!!!!
 
we mbulula kabisa si nyie mlikuwa mnataka ufafanuzi kutoka makao makuu kuhusu tuhuma zake,si yeye alimwandikia barua katibu mkuu ,sasa kikao kimeitishwa si ndo ingekuwa sehemu muhafaka kwa zitto kupata ufafanuzi na kuwaondolea shaka wafuasi wake wa ccm.sasa mmemshauri hasihudhulie alafu mkitegemea watz bado bongo lala,chezea shule za kata wewe ,watu wameamka ata yuda kwenye vikao vya yesu na wanafunzi wake alikuwa nasepa kama kabwe .umaskini wa akili ni mbaya kuluko wa pesa
Bigup sn kwa hoja zako nzuri!
 
Hardliners gani kulialia na.mtu mmoja miaka nenda miaka rudi,tukiwapa nchi tukavamiwa mtatulinda nyie!!????

Kama hamna la kumfanya pigeni kimya tutawaelewa sio kikao kizito kama hicho kinatoka na malalamiko.

I do hate them crying fathers!!!!!

Nyie ndo mnatulinda?
 
Nani apingane na marehemu? labda punguani kama wewe.

Hivi kwani wewe huwa unapingana na Nyerere yupi? kama siyo huyo marehemu basi kuna nyerere mwingine. Kama ni huyo huyo marehemu basi wewe utakuwa punguani plus plus...
 
Kama ZZK ni naibu Ktibu Mkuu CHADEMA, yeye ni mjumbe wa Kamati kuu. Anahoja za kujibu yeye binafsi kuhusu tuhuma zinazomkabili kuhusu chama kuunda intelijesia ndani ya chama ili kumchunguza. Hiki kilikuwa ni kikao muhimu sana kwake kuwepo.
Nilipata kusema kuwa kama intelijensia iliundwa na unongozi wa juu wa chama yeye alipaswa kufahamu kwa kuwa yeye pia ni kiongozi wa juu wa chama. Sasa kama kuna vikao muhimu kama hiki cha leo yeye hahudhurii, basi viongozi wenzake wataendelea kujadili mambo muhimu kwa chama chao akiwemo yeye kama tatizo la chama.
Sii elewi uzito wa safari yake Sudani, lakini msingi wa yote ni uwepo wake CHADEMA. Kama uwepo wake CHADEMA sio muhimu pasi anapo mahali pengine muhimu zaidi. Kwa mtazamo huo anawapa mwanya wanachadema kuwa sio mwenzao tena ingawa hajasema wazi. Hoja ya kumtilia mashaka inapata mshiko. Ikiwa ni kweli au sio kweli, lakini ukweli kuwa anawajengea mazingira a kuamini hivyo
usaliti mbaya. sijui hajajifunza kwa kafulila alipo pigwa chini akaanza kulia na kudondosha kamasi zito. sasa huyu anapata faida gani kuwa kondom ya magamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom