Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,880
- 109,952
Toeni matamko,andamaneni,fanyeni vyote mnavyoona ni sahihi kwa manufaa yenu lakini tanzania yetu tuachieni kama ilivyo msitutilie nuksi make chadema fujo mnaona ndiyo ishu za maana kwenu.
Abari kwa wana jf wote Zitto ni kiongozi jasili na mkakamavu kama ukomavu kwenye siasa ilasha upata sasa sioni sababu ya wajinga wasio elewa nin wanafany kwa kuleta taarifa za udaku humu ndani,kama unaona kunajambo hulijui nibora kuuliza maana siujinga.....Zitto ayupo nchini lakini huko aliko amekwenda kikazi na hao vingozi wenu wa CDM wanalijua hilo sasa acheni uchozi kwa kuvumisha amekimbia kamati kuu Zitto hawezi kukimbia maana yeye ni mtu anaye jiamin siku zote.
Toeni matamko,andamaneni,fanyeni vyote mnavyoona ni sahihi kwa manufaa yenu lakini tanzania yetu tuachieni kama ilivyo msitutilie nuksi make chadema fujo mnaona ndiyo ishu za maana kwenu.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Rejea madiwani Wa Bukoba! Watu hawafukuzwi hivihivi! Ila muda ukifika atafunga virango! Mitego hua anaingia panya tu na si binadamu Mwenye akili!
Tena bahati nzuri tumekutana wasukuma wote mpka kisukuma tutaongea leo,Huwezi kumuona kwenye maandamano kwasababu Yeye si mpinzani! Aandamane kwa kudai nini?
We Msukuma mwenzangu vipi?
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.
Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.
Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.
Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.
Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.
Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.
Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.
Mkutano huo unaendelea leo.
Le mutuz ni janga
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Nakinga wiki yashilie lakini nagushoka mwezi gokuminambili mwanzoni ginehe twibone?Simiyu yetu: wengile nanale Esimiyu?
Waandamane kudai UMEME, tumechoka na giza. We mbulumundu hujui umuhimu wa umeme kakojoe ulale, acha wanaume tujadili mustakabari wa nchi yetu.Tena bahati nzuri tumekutana wasukuma wote mpka kisukuma tutaongea leo,
niambie chadema wakiandamana wanadai nini zaidi ya kufanya fujo barabarani na kusababisha maafa daima huwa hawana cha msingi cha kudai.
Yote heri cha msingi jadilini maendeleo ta chama na jinsi ya kulikomboa taifa mjadala juu ya zito sijui mboe sijui lema hauwezi kuzuia mgawo wa umeme wala kuleta dawa kwenye mahospital wala kuleta maji kwa wananchi yote hayo yatapita lakini mahitaji ya watanzani yapo palepale.cdm tokeni humo na mikakati ya ukombozi achaneni na majungu tutapotea
Mbona Arusha madiwani walifukuzwa, mwanza madiwani walifukuzwa, hapa kigugumizi kinatoka wapi?
Wewe Ngariba umezalisha watoto wangapi leo?Kikao chenyewe kimejaa "vifaranga na mama zao". Hakuna kipya hapo, sanasana mtu atapigwa tofali tu...
Kwa wakera vipi wakati yupo safarini.WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea na kikao chake jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, amekacha.
Zitto ambaye katika siku za hivi karibuni aliibua mjadala kwenye vyombo vya habari, hasa alipoingia kwenye malumbano na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amekacha kikao hicho na badala yake ametoa taarifa ya kusafiri nje ya nchi.
Kwa mujibu wa habari hizo, taarifa iliyotolewa kwa wajumbe wa mkutano huo na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, ilisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.
Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki.
Waliolalamikia hatua hiyo walisema kuwa limekuwa jambo la kawaida kwa Zitto kutohudhuria vikao muhimu vya chama huku akijua fika kwamba yeye ndiye msaidizi mkuu wa katibu mkuu wa chama taifa.
Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho aliliambia gazeti hili kuwa moja ya ajenda zilizowasilishwa jana na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi ni kuhusu mapato na matumizi ya chama ambayo alidai ingefaa Zitto awepo kuisikiliza.
Mjumbe huyo ambaye aliomba jina lake lihifadhiwe, alisema ajenda hiyo ilikuwa muhimu kwa Zitto kuwepo kwani akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), amekuwa akidai kwamba CHADEMA na vyama vingine hawana hesabu za mapato na matumizi ya fedha za ruzuku wanazopata kila mwezi.
Mkutano huo unaendelea leo.
Nakinga wiki yashilie lakini nagushoka mwezi gokuminambili mwanzoni ginehe twibone?