wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
hata zito afanye nini hawezi kuwafurahisha tanzania daima na baadhi ya wana cdm uchwara.
Ck zote wanamuona mbaya.
Kumejaa ukanda na udini, sasa wanamyafutia nini?
Kijana kishajitambua
hata zito afanye nini hawezi kuwafurahisha tanzania daima na baadhi ya wana cdm uchwara.
Ck zote wanamuona mbaya.
Kama mnaona Zitto, haendani na nyinyi CDM si mumfukuze... maana kwa mambo ambayo mnamtuhumu nafikiri hana sifa za kua mwana CDM, na kama mnaendelea kumkumbatia basi nyie CDM ni wanafiki sana mnaomchafua kwa manufaa yenu binafsi hasa ya kiuongozi.
hii ni sawa na kukumbatia bomu ambalo linataka kulipuka alafu wewe hutaki kuliachia ilihali unataka kuishi, sasa sisi tutakuelewaje hapo?
Hata zito mwenyewe anaweza kujiondoa. Nilikuwa Kijiji fulani Ludewa, nikaona vijana wakizungumza kuwa zito anakiharibu chadema. ZITO ONDOKA BWANA
Kila kikao anaomba udhuru.
Muendelezo Wa sera za kuwagawa watz!
Uko kazini mpinzani Wa Nyerere!
Zitto endelea hivyo hivyo man mtoto wa kigoma,lekadutigite.
Punguza kiherehere kamanda, haya mambo waachie chadema
Kumejaa ukanda na udini, sasa wanamyafutia nini?
Kijana kishajitambua
Kama vipi Zitto akaoe uchagani hasa kwenye ukoo wa Mbowe, ili wamuamini na kumpa uenyekiti wa chama!
Ripoti kuipata sio mpaka uwepo kwenye kikao. Andikeni ripoti wapeni wanachama na viongozi wazione. Acheni porojo kwenye masuala ya pesa.