Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Wa Kaskazini wanapozidiwa ujanja na wa Kusini magharibi.

Kila hila, kila mbinu, yeye huyoooooooooo, one man army.

Kwi kwi kwi teh teh
Sera zenu za kuigawa Tanzania kwa udini na ukanda kamwe hazitafanikiwa,

tutazidi kuukemea uzandiki wenu CCM hadi tuutokomeze kwa maslahi ya kizazi kijacho, wapuuzi wakubwa nyie.
 
'if you want to kill a dog, give it a bad name' Ndicho kinachofanyika kwa Zitto ndani ya CDM.

Nimemchungulia DR Slaa kwa mbali akipiga like kwenye post moja humu, sijui iliukuwa ni wakati wa break ya kikao!
 
Zittooo!mzito wa kuhudhuria vikao,mzito wa kuamua,mzito wa kuwa mwema,mzito wa kuwa mbaya,..aah,hawa masangoma wengine noma sana,mtu unaenda kuomba dawa ya ubunge,wanakuongezea ya kwao matokeo yake unakuwa mzitooo!
 
Chadema ni mpango wa mungu!na ukombozi wa mtanzania toka kwa mkoloni mweusi haupo mbali,magamba subirini na kuendelea kununua watu!
 
Mi naona ni Janja ya Viongozi wa cdm kumtegea zito hayupo ndiyo wanaweka ratiba ya vikao maana zito ni untkasikazini
 
Akitoka Sudan ataanza vikao vyake Facebook na twitter, vikao halali vya chama vya kuhoji anakimbia.

Jinga sana hili jamaa, wale vibaka wote aliowashika akili sasa ndio waone wanamshabikia mtu wa aina gani.

Nadhani huyu anafaa sana kuwa mwenyekiti wa Chadema twitter na facebook.
Matola
Nakumbuka wakati tunapambana na PM7 na TUNTEMEKE co. wakati wa uchaguzi wa BAVICHA ulikuwa mtetezi mkubwa wa Zitto leo imekuwaje hadi unamuita mjinga.

Wengine tuliutilia mashaka mwenendo wa jamaa huyu toka zamani.

Mimi nashauri kama hahudhulii vikao wasimfukuze ila wampunguzie madaraka hasa ya Naibu Katibu Mkuu apewe mtu mwingine.
 
ripoti ya mapato na matumizi ni ya watanzani wote, sio zito wala kamati kuu. Haina ulazima wa kuhudhuria kikao ndio uipate. Ingetakiwa mpaka kwenye website ya chama iwepo ili watanzania waone kodi yao (ruzuku) inavyotumika.

Zito yeye ni naibu Katibu mkuu,sasa unataka nae akasome kwenye Website!?hilo ni mosi,pili mikataba waliyoingia Serikali na wezi wa rasilimali zetu,ambao wanawaita wawekezaji(wachina)mbona haipo kwenye website ya serikali!?na huoni tatizo,uko na Chadema tu wakati tembo wanaisha!.!
 
zitto kaiunda chadema kwa mikono yake na ataiua kwa mikono yake ole wao wamguse tu chamoto watakiona.
 
Matola
Nakumbuka wakati tunapambana na PM7 na TUNTEMEKE co. wakati wa uchaguzi wa BAVICHA ulikuwa mtetezi mkubwa wa Zitto leo imekuwaje hadi unamuita mjinga.

Wengine tuliutilia mashaka mwenendo wa jamaa huyu toka zamani.

Mimi nashauri kama hahudhulii vikao wasimfukuze ila wampunguzie madaraka hasa ya Naibu Katibu Mkuu apewe mtu mwingine.
Nyie ndiyo wakutiliwa mashaka mnatumiwa vibaya na hao wazee mwisho wenu uttakuwa mbaya sana.
 
Hata Arfi akiomba uongozi ngazi ya Mbowe atashughulikiwa vilivyo...

Issue hapa siyo Zitto issue ni dini yake period

Cdm ni chama cha wakristo..waislam kaa kimya ndio salam a yako
 
mkuu nakuunga mkono,tusipokuwa makini agenda yetu itakuwa zitto tu badala ya chama,watu wanatengeneza ajenda za kijinga alafu wanazipa nafasi,jamani tumwacheni zitto naye ni binadamu tuache kuicheza ngoma ya ccm

kwa hizo mmekubali kumbeba Zitto vile alivyo?Kama Zitto ni binadamu wa kuonea huruma hata wale mafisadi wa CCM nao ni binadamu wa kuonea huruma,tutafika kweli na mawazo ya aina hii?yaani wewe unawakilisha tabia ya watz wengi,tabia ya uoga na kukwepa maamuzi magumu!
 
ripoti ya mapato na matumizi ni ya watanzani wote, sio zito wala kamati kuu. Haina ulazima wa kuhudhuria kikao ndio uipate. Ingetakiwa mpaka kwenye website ya chama iwepo ili watanzania waone kodi yao (ruzuku) inavyotumika.

Kikao hakimaanishi kuwa ni sehemu ya kupokea taarifa tu, bali ni sehemu pia ya kufanya maamuzi. Uwepo wa mtu muhimu kwenye kikao unamaanisha kuwa, anategemewa kutoa mchango katika maamuzi mepesi na magumu ya agenda husika.

Sidhani kama ni sahihi mtu kutosa kikao kienyeji na sitegemei kama alitosa bila kutoa taarifa au pia kuweka mwakilishi katika kikao.. Kama alitosa bila taarifa rasmi ambayo imekubalika na uongozi wa chama then hilo ni tatizo...otherwise, then uongozi utakuwa umeshaweka utaratibu wa kushirikishana katika maamuzi...
 
Hata Arfi akiomba uongozi ngazi ya Mbowe atashughulikiwa vilivyo...

Issue hapa siyo Zitto issue ni dini yake period

Cdm ni chama cha wakristo..waislam kaa kimya ndio salam a yako

Professor Safari ambaye anahusika kwenye maamuzi magumu na hata press conference sometimes, ni wa dini gani.. Makamu wa Mwenyekiti ni wa dini gani..? Mwenyekiti wa Zanzibar na viongozi wengine ni wa dini gani..? Hebu tuache propaganda za udini.. Milizianzisha kwenye uchaguzi mkuu na mmeona madhara yake...

Mara serikali ya mfumo kristo, mara chadema cha wakristo..!! Gooshhhhh... Plzzzzz.. hebu acheni kueneza udini, angalieni facts na kuachana na ujinga wa udini udini... Vitu vingine in life ni coincidence...!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom