Zitto akera wajumbe kamati kuu CHADEMA - Tanzania Daima

Status
Not open for further replies.
Kwani hii habari imetoka ndani au nje ya kikao na Mbowe alitoa maelezo ndani au nje ya kikao,

usikurupuke soma uelewe chanzo husika.
Kukurupuka kwangu kuko wapi?. Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu bandiko langu.

Kama gazeti la Uhuru lingeandika hii habari ningepata wasiwasi na habari yenyewe kutokana na nguzo yake katika uwepo kwenye soko la habari. Hili ni Tanzania Daima na nguzo yake inafahamika vizuri na kutokana na hivyo, kwanza ni makosa katika macho ya CHADEMA kutoa habari za kikao nje bila official channel na kama limefanya hivyo, basi itakuwa kuna some sort of conspires to exacerbate the situation for demonic gain.

Tanzania Daima linafahamu kile linakitafuta katika haya makundi hai ndani ya CHADEMA. Chombo kama hiki kingekuwa ni daraja pevu katika kuwaunganisha wanachama na wapenzi wa chama ambao wamemeguka kimtazamo kuhusiana na kinachoendelea ndani ya chama.

Kuna watu kwa sasa hata mkiambiwa mtazame hamuwezi kuona kutokana na macho yenu kufumbwa na mikono yenye nguvu katika jamii kama Tanzania Daima.
 
Huna sera wewe na propaganda zenu za miaka 60!

Utajibu tu leo!!!!

Nauliza kama huyu mtu anasumbua chama kiasi hiki je mkipewa uongozi wa nchi na tukavamiwa mtaweza kutulindaaaaa??????!!!!!!!

Jibu sasa tuendelee mbele kuhusu mgao wa umeme na EFD ndio mtingishiko wa nchi sasa huyu mtu wenu mtahangaika naye kwa sasa mnapiga promo tu!!!!
 
Zitto is not as smart as we think na hii inadhibitishwa na yeye kukacha vikao kuogopa kuwa exposed.
 
Zitto amechamsha hapa...halafu kesho utasikia anamwandikia barua katibu mkuu kuhoji tuhuma zake,wakati hiki kikao kilikiua mhimu kutoa tongotongo juu tuhuma zake.!!

huu ni udhaifu wa hali wa juu sana kwa Zitto, ameaonyesha nidhamu ya woga.!!
Binafsi nalishukuru gazeti la T. Daima kwa kuujulisha umma kuwa Zitto amekimbia kikao halali cha chama ambacho angekitumia kutoa dukuduku lake.

Nafikiri chama kinajiweka kwenye nafasi nzuri ili wananchi na wanachama wazidi kuzielewa rangi zote za Zitto kabla ya kuchukua hatua ili yasiwepo madhara makubwa baadae.
 
Ng'wamapalala Mkuu nakuunga mkono,tusipokuwa makini agenda yetu itakuwa zitto tu badala ya chama,watu wanatengeneza ajenda za kijinga alafu wanazipa nafasi,jamani tumwacheni zitto naye ni binadamu tuache kuicheza ngoma ya ccm
Kuna watu hawalioni hili na kama viongozi wameshindwa kuchukua maamuzi magumu kwa mstakabali wa chama basi bora wakae kimya kama CCM walivyoshindwa kuchukua maamuzi magumu kuhusu kuvuana gamba.

CCM hiyo ajenda haiongelewi tena na wameamua kuchukua ajenda nyingine mbele kwa sababu wamejipima wakaona kama wataamua kuisimamia hiyo ajenda basi chama kitaumia huko mbeleni na wakaonelea njia mbadala ni kukaa kimya baada ya uchaguzi wao. Finito.

Viongozi wa CHADEMA kila siku wanalia lia na wengine wameweka watu wao (Vibaraka) kupiga majungu kana kwamba hiyo ni dawa ya matatizo yaliyopo ndani ya chama. Hawawezi wakatatua tatizo kwa njia ya majungu zaidi ya kuongeza matatizo zaidi.

CHADEMA wana uchaguzi wa ndani next year, uchaguzi wa madiwani, Rasimu ya Katiba, kampeni za kura ya maoni na uchaguzi mkuu bila kusahau wanatakiwa kusukuma ajenda zao kwa Watanzania ili wawafahamu na wafahamu kile ambacho chama kinasimamia ambacho ni tofauti kwa mazuri na CCM. Kwa sasa wamebaki kushikana mashati na kusukumana kisiasa.
 
Hata Arfi akiomba uongozi ngazi ya Mbowe atashughulikiwa vilivyo...

Issue hapa siyo Zitto issue ni dini yake period

Cdm ni chama cha wakristo..waislam kaa kimya ndio salam a yako
Mdini ameshaingia tuwe macho.
 
Utajibu tu leo!!!!

Nauliza kama huyu mtu anasumbua chama kiasi hiki je mkipewa uongozi wa nchi na tukavamiwa mtaweza kutulindaaaaa??????!!!!!!!

Jibu sasa tuendelee mbele kuhusu mgao wa umeme na EFD ndio mtingishiko wa nchi sasa huyu mtu wenu mtahangaika naye kwa sasa mnapiga promo tu!!!!

Anamsumbua nani ndani ya chama Au anahangaika Yeye mwenyewe?

Nchi ikivamiwa kwani hua inalindwa na chama Au wananchi wenyewe?

Au chama chenu ndo kinalinda nchi?
 
Hata Arfi akiomba uongozi ngazi ya Mbowe atashughulikiwa vilivyo...

Issue hapa siyo Zitto issue ni dini yake period

Cdm ni chama cha wakristo..waislam kaa kimya ndio salam a yako

Tatizo lako ubaguzi umekujaa kuliko hata udini. Nyie ndio huwa tunawaona humu mnaleta chuki dhidi ya mufti Sheikh Simba na Bakwata kwa vile anatokea Shinyanga. Zitto ahukumiwi kwa uislamu wake, anahukumiwa kwa USALITI WAKE
 
Kukurupuka kwangu kuko wapi?. Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu bandiko langu.

Kama gazeti la Uhuru lingeandika hii habari ningepata wasiwasi na habari yenyewe kutokana na nguzo yake katika uwepo kwenye soko la habari. Hili ni Tanzania Daima na nguzo yake inafahamika vizuri na kutokana na hivyo, kwanza ni makosa katika macho ya CHADEMA kutoa habari za kikao nje bila official channel na kama limefanya hivyo, basi itakuwa kuna some sort of conspires to exacerbate the situation for demonic gain.

Tanzania Daima linafahamu kile linakitafuta katika haya makundi hai ndani ya CHADEMA. Chombo kama hiki kingekuwa ni daraja pevu katika kuwaunganisha wanachama na wapenzi wa chama ambao wamemeguka kimtazamo kuhusiana na kinachoendelea ndani ya chama.

Kuna watu kwa sasa hata mkiambiwa mtazame hamuwezi kuona kutokana na macho yenu kufumbwa na mikono yenye nguvu katika jamii kama Tanzania Daima.

Tanzania daima sio gazeti la CHADEMA....Mbona unaropoka wewe? mbona hujiulizi wali choandika mwananchi? hata kama akili zenu CCM hakuna si mtumie tu hisia.......
 
Zitto amechamsha hapa...halafu kesho utasikia anamwandikia barua katibu mkuu kuhoji tuhuma zake,wakati hiki kikao kilikiua mhimu kutoa tongotongo juu tuhuma zake.!!

huu ni udhaifu wa hali wa juu sana kwa Zitto, ameaonyesha nidhamu ya woga.!!

Kwa kukwepa hiki kikao ZZK kachemka mbaya!..sijui nani kamshauri..
 
Kukurupuka kwangu kuko wapi?. Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu bandiko langu.

Kama gazeti la Uhuru lingeandika hii habari ningepata wasiwasi na habari yenyewe kutokana na nguzo yake katika uwepo kwenye soko la habari. Hili ni Tanzania Daima na nguzo yake inafahamika vizuri na kutokana na hivyo, kwanza ni makosa katika macho ya CHADEMA kutoa habari za kikao nje bila official channel na kama limefanya hivyo, basi itakuwa kuna some sort of conspires to exacerbate the situation for demonic gain.

Tanzania Daima linafahamu kile linakitafuta katika haya makundi hai ndani ya CHADEMA. Chombo kama hiki kingekuwa ni daraja pevu katika kuwaunganisha wanachama na wapenzi wa chama ambao wamemeguka kimtazamo kuhusiana na kinachoendelea ndani ya chama.

Kuna watu kwa sasa hata mkiambiwa mtazame hamuwezi kuona kutokana na macho yenu kufumbwa na mikono yenye nguvu katika jamii kama Tanzania Daima.
Ngoja niendelee kutoelewa post zako,

Umesema wajumbe wangetoa dukuduku lako kwenye vikao vya chama mimi nikakuuliza kwani hao wajumbe walisemea nje ya kikao?... soma tena yaliyoandikwa na T. Daima..

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kinachofanyika kwenye Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam zilieleza kuwa baadhi ya wajumbe wameonyesha dhahiri kukerwa na hatua ya naibu katibu mkuu huyo kutoshiriki. Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, alisema kuwa Zitto yuko safarini nchini Sudan, lakini anatarajia kuhudhuria mkutano huo wakati wowote.
 
Ripoti kuipata sio mpaka uwepo kwenye kikao. Andikeni ripoti wapeni wanachama na viongozi wazione. Acheni porojo kwenye masuala ya pesa.

wewe hujawahi kuwa na akili ili mtu ajaribu kupima unachoongea.
 
Tatizo lako ubaguzi umekujaa kuliko hata udini. Nyie ndio huwa tunawaona humu mnaleta chuki dhidi ya mufti Sheikh Simba na Bakwata kwa vile anatokea Shinyanga. Zitto ahukumiwi kwa uislamu wake, anahukumiwa kwa USALITI WAKE

Ukionekana unawapinga zamani walikua wanakuambia sio mtanzania! Sasa siku hizi ubaguzi umewajaa sana kuliko maelezo!
Mpotezee huyo!
 
Anamsumbua nani ndani ya chama Au anahangaika Yeye mwenyewe?

Nchi ikivamiwa kwani hua inalindwa na chama Au wananchi wenyewe?

Au chama chenu ndo kinalinda nchi?

Muhangaikaji hapati air time to this extent!!!!
Serikali huundwa na.chama na chama hakuna.bila wananchi na ndio wasiwasi unaanzaia hapo!!!Wa kulindwa!!!!
Chama changu na nani,kasome thread ya "siipendi kauli ya sina chama"!!!!!!!
 
Ukionekana unawapinga zamani walikua wanakuambia sio mtanzania! Sasa siku hizi ubaguzi umewajaa sana kuliko maelezo!
Mpotezee huyo!

Na kuna hawa wa kizazi kipya nao usipokubaliana nao tu wanakuambia wewe CCM!!!!
Hatuwapotezei hawa sababu nchi kwanza vyama badae!!!!
 
Muhangaikaji hapati air time to this extent!!!!
Serikali huundwa na.chama na chama hakuna.bila wananchi na ndio wasiwasi unaanzaia hapo!!!Wa kulindwa!!!!
Chama changu na nani,kasome thread ya "siipendi kauli ya sina chama"!!!!!!!

Wewe unawaza kuvamiwa kutoka nje wakati ndani kuna maovu kibao!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom