Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Salimkabora wala usipati tabu ya kuwajibu,hayo yaliyosemwa hapo sio mawazo ya Zito,hayo ni maneno na mawazo ya wakina magamba,kutaka kuvuruga chadema,Zito sio mtu wa kusemewa

Uuuwi babaangu kumbe kweli huu ni mkenge vile basi nimefuta rasmi comments zangu manake ka bwana mdogo kalikuwa kamenitibua kwelikweli kwenda sisiara kugeuzageuza
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
wasiliana na Zito,atuambie yeye nwenyewe,sisi wana chadema tunamfahamu Zito,yeye sio mtu wa kusemewa wala sio wa polepole,hayo ni maneno yako ya kimagamba.sisi hatutokuamini huo ni uzushi na mtazusha sana,mmeanza kwa Slaa,mkajaribu kwa Lissu,sasa mmeamia kwa Zito,mkitoka hapo mtaenda kwa Mboe.lakini ampati kitu,sisi kazi yetu ni moja kuiondoa ccm madarakani tu,
 
Uuuwi babaangu kumbe kweli huu ni mkenge vile basi nimefuta rasmi comments zangu manake ka bwana mdogo kalikuwa kamenitibua kwelikweli kwenda sisiara kugeuzageuza
ndio hivyo uelewe kumbuka walianza kwa Silaa,wakajaribu kwa Lisu,sasa hivi wako kwa Zito,wakitoka hapo wataamia kwa Mboe, lakini sisi chadema ajenda yetu ni moja tu, kuitoa ccm madarakani,mengine yote ni baada ya 2015 basi
 
Kwa mujibu wa Mr.Zitto Zuberi Kabwe: Huwezi kumtenganisha yeye na CHADEMA, kwani CHADEMA kuna JASHO lake, kwa maana hiyo basi yeye ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Kwahiyo NCCR acheni ndoto zenu za Kumtaka Mr.Zitto kuhamia kwenu.
 
Sidhani kama kuna tatizo hapo kwa ni maamuzi ya mtu mwenyewe. Ila ni wasiwasi na Kisandu asije akafukuzwa kwa kuanza kukaribisha kundi lake linalotuhumiwa Chadema. Hii kali hata bado hajaifahamu vizuri NCCR Mageuzi vizuri?
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
Acha kupoteza muda na upuuzi wa kisandu,,huyu dogo aliona dalili za kulamba cheo na kupata mshiko ndani ya chadema hazipo akaona njia iliyobaki ni kujivuruga ndani ya chadema nikishajulikana nijiondoe ili niendako nipate cheo haraka ndio maana kila kukicha alikuwa haishi kutoa matamko ya ajabuajabu ili atambulike tu,namshauri huyu dogo atafute ajira asitegemee siasa ni pesa nampa pole
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
Nawapa pole NCCR kama huyu ndiye msemaji wao wajue chama kitasambaratika muda wowote,,wakina moses machari wa siku nyingi NCCR hatuwasikii wakitoa matamko ya ajabuajabu eti mgeni aliyetua juzi hata majirani hawajui wala hawamjui eti kishaanza kuwasemea,,poleni sana NCCR
 
Molemo tunajua una madaraka ndani ya Chadema'lakini unakuwa na majibu ya mkato yanayo ambatana na hasira'unaonaje ukisahihisha hilo?

najua ukiambiwa uthibitishe utashindwa!
 
zito sio mtu wa kusemewa kama unavyofikiri,mawazo yako bado ni ya umagamba,kama anaweza kuwasema magamba ambao wao wana kila kitu,polisi,usalama wa taifa,wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa, mawaziri,na serikali ataogopa nini kusema hayo unayoyasema kwa chadema ambao hawana lolote.nyinyi hata mfanye nini amuwezi kukigawa chadema,chadema ni chama makini,mwenyezi mungu amekipanda ili kuwaokoa watanzania kutoka mikononi mwa mafisadi,mwenyezi Mungu awezi kutuacha tuonewe milele, kama alivyompa nguvu Nyerer kututoa mikononi mwa wakoloni ndivyo ilivyo kwa chadema,hivyo mnajisumbua bure

Mkuu Bobovic,
Mungu ni wa watanzania wa vyama vyote, hana upendeleo kama wewe unavyotaka kutuaminisha hapa JF. Kama kweli unamtambua Mungu na kumheshimu, ungetambua kwamba hata kuyaita mawazo ya mwenzio majina ya kejeli, Mungu hapendi.
 
Mkuu nccr isambaratike Mara ngapi wakati mwenyekiti wao ni Mb'unge wa ccm viti maalumu??


Nawapa pole NCCR kama huyu ndiye msemaji wao wajue chama kitasambaratika muda wowote,,wakina moses machari wa siku nyingi NCCR hatuwasikii wakitoa matamko ya ajabuajabu eti mgeni aliyetua juzi hata majirani hawajui wala hawamjui eti kishaanza kuwasemea,,poleni sana NCCR
 
Kisandu ni mtu wa ajabu sana,kama kweli anataka urais anamtaka zzk wa nini? Mpeni zzk muda wa kutafakari vizuri inatosha
 
amechukiwa sana cdm acha aende tuone wanao sema aondoke. na wote waliofukuzwa cdm wamfuate

Jamani Hamuoni hizo ni Hila Za zitto Mwenyewe ameanza kuandaa mazingira ? maaana anahamu sana na Urais, mimi nafikiri muda wake Bado anahitaji kuendelea kujifunza na kukaa chini ya Wazee wenye Hekima na wakomavu wa Siasa, na akitaka kujimaliza sasa ajaribu kwenda Huko.
 
Zitto lazima awe rais mwaka 2015 kwa namna yeyote ile......jst wait n see
 
Molemo tunajua una madaraka ndani ya Chadema'lakini unakuwa na majibu ya mkato yanayo ambatana na hasira'unaonaje ukisahihisha hilo?

Ukiambiwa Uthibitishe haya utashindwa na kuishia kwenye Ban kama Pasco...Heshima yako itashuka pia
 
Kwa chama kama NCCR-Mageuzi kujadiliwa hivi hadi kufikia Page ya 5 hapa JF ni mafanikio makubwa.Kilikua hakisikiki kabisa
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.

VP Yeye Pango wake wa Kugombea Urais umekufa???
Yaan huyo dogo ana tabia za Kichangu kabisa
 
Back
Top Bottom