Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Kisandu alieleza kuwa utakuwa mgombea Urais, je nia imekwisha ?. Ubunge ulipata kura 1,800, je urais si utapata kura tatu ?. Wewe sasa umashapanda Dau la NCCR ya Chadema yanakuhusuje ?. Mnafiki mkubwa wewe
 
ZZK mwenye mtoto 1 Clara ZK, sishangai kwenda Nccr ktk kutimiza ndoto za kugombea Urais 2015. lkn CDM haitateteleka.!
 
Kwakweli zitto nenda NCCR ukapiganie haki na maendeleo ya nchi yako,cdm wamekuchoka ndomana hawaishi kukupiga majungu kama siyo kiongoz wao.ndo ujue unafiki wa cdm uliyoijenga.
 
Chadema ikiondoe hiki kirusi (ZZK) haraka kabla hakijaenea.
Zitto kayataka mwenyewe mkuu,amekuwa overambitious mpaka basi,tamaa yake ya urais ndiyo iliyopelekea hata kuanzisha movement ya umri wa urais,move ilikuwa nzuri,tatizo lilikuwa ni nia.
 
Naona ile theory ya "divide and rule" inataka kutumika hapa....japo najua watanzania wana mapenzi mkubwa sana na chadema ila pia wameichoka ccm...ZITTO hata akihama CDM bado hatapata popularity kama aliyokuwa nayo huku CDM....na hili hata yeye analijua....

Zitto ana ''built in calibre'' amejipambanua miongoni mwa wanasiasa wengine kwa upiganaji wa dhati kwa ajili ya maslahi na ustawi wa Wananchi akiwa kambi ya upinzani bila kutetereka. cdm ni platform tu kama vyama vingine vya upinzani.
 
Haya umesema weye...........
 
watu wengine wanamtakia safari njema zito kwani amewambia anakwenda au NCCR-Wanamtamani.
 
sioni sababu za kumshambulia zito kwa story za kutunga kama hizi
 
Mheshimiwa Zito iwapo utakubaliana na ombi hilo huo utakuwa mwisho wako kisiasa
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
 
Kabla hajaaenda huko tunaomba atufundishe ule ushirikina wa kuua hadi panya wa adui yake!!!!
 
Kumbe nyie uchumba kwenu ndo ndoa tayari.Au kwa sababu babu Ana mchumba bado.Kweli maajabu yapo Chadema
Jamani nikumbusheni hivi zzk ameshakamilisha uchumba wake na salama? Maana ikulu ni mahali patakatifu
 
mwaka 2015 ZITO hatakuwa amefikisha umri unaotakiwa kisheria kugombea urais! naona hiyo ni plan B ya CCM kuvunja nguvu ya Chadema. Mbatia anataka kulipa fadhila kwa CCM baada ya JK kumpa ubunge!
 
all the best ZZK.

Mkuu JAMES SIMBA huyu bwana natamani ata kesho aondoke atuachie chama chetu and am sure kuondoka kwake CHAMA hakiwezi kuyumba zaidi kitaimarika sababu kutakuwa hakuna wasaliti na wavujisha siri.
 
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
Nadhani hapo ndo mahala panapomfaa maana kugombea ni namna nyingine na kushinda ni mipango so Jamaa hana mipango yeyote ya ushindi zaidi ya hizo sifa anazolewewshwa za kijinga!!!
 
Zitto ana ''built in calibre'' amejipambanua miongoni mwa wanasiasa wengine kwa upiganaji wa dhati kwa ajili ya maslahi na ustawi wa Wananchi akiwa kambi ya upinzani bila kutetereka. cdm ni platform tu kama vyama vingine vya upinzani.

Unalizungumziaje swala la Rushwa Kamati ya madimu na yeye akiwa mwenyekiti wake??? Tusidanganyane Hana lolote zaidi ya tamaa zake za kujaza tumbo lake binafsi.!!!! Safari Njema ZZK Kazi uliyotumwa na SISEMU naona umeikamilisha au unakimbia mapema kabla aibu haijakufika ukapoteza hata hizo chembe za umaarufu ulizozipata kutumia migongo ya watu!!! Ur nothing without CDM.a au unakimbia mapemnUliyopewa Na SISIEMU NAna
 
mwaka 2015 ZITO hatakuwa amefikisha umri unaotakiwa kisheria kugombea urais! naona hiyo ni plan B ya CCM kuvunja nguvu ya Chadema. Mbatia anataka kulipa fadhila kwa CCM baada ya JK kumpa ubunge!
Inaonekana hajajifunza pamoja na msukosuko alioupata kwa Kafulila. Wamepofushwa na kutaka kuiua CDM hata hawaoni mbele.
 
Back
Top Bottom