Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

Why don't you give Zitto Kabwe a break so that he can reconcile himself with his fellow party leaders and members to strengthen CHADEMA, the biggest opposition party in the country and potentially the source of the next government in waiting ? Je ZZK ana kiu kikali cha kugombea uraisi kiasi hicho! Inasaidia nini kugombea uraisi katika chama dhaifu kisicho na effect yoyote katika mstakabali wa Taifa ? Kwa nyadhifa na majukumu aliyo nayo kitaifa, kichama, bungeni, jimboni kwake na kwingineko, inamsaidia nini ZZK leo hii kugombea uraisi for the sake of it ? Nimeanza kufikiria kuwa vyombo vya habari vinamtumia ZZK kujinadi kibiashara. Lakini vikijua au bila kujua, vyombo hivi na waandishi vinamuathiri sana ZZK kwa kumchonganisha na viongozi na wanachama wenzake. Hili siyo jambo zuri kwa CHADEMA na upinzani kwa ujumla.

Umenena vyema
 
Inaonekana hajajifunza pamoja na msukosuko alioupata kwa Kafulila. Wamepofushwa na kutaka kuiua CDM hata hawaoni mbele.

vyama vingine ni vibaraka wa ccm wala sio wapinzani wa kweli. wako kwenye payroll ya ccm! kwa lipi zuri kwa maslahi ya taifa alilonalo Mbatia hadi akateuliwa na JK kuwa mbunge! hukuona hata kule mtwara alikokwenda kujaribu kuwaimbia wana-kusini songs za ccm na serikali yake akatolewa baru!!!
 
Mbunge Kijana wa wakati wote Zitto K ameaga rasmi bungeni Jana..lakini ameahidi kurudi bungeni humo mwezi November15. Ushauri wangu ni: Arudi bungeni kupitia chama chaque NCCR MAGEUZI bada la ya ACT ambao tumeambiwa wanajiandaa kumpokea. Sababu ni za kiufundi zaidi. Namtakia maamuzi mema.
 
Ingekuwa vizuri kama ungezisema hizo sababu za kiufundi hapa hapa.
Zitto anajijua anavyopenda madaraka na tamaa za mafanikio ya haraka haraka kimaisha na kisiasa, hata kama akihamia NCCR bado soon atafukuzwa tu.

ACT ni chama chake alichokianzisha hapo kabla kisirisiri, ndiye anayekifadhili mpaka sasa chini ya ufadhili mkuu kutoka CCM makao makuu, hivyo bora awe ACT.
 
Sababu mojawapo ni kuwa atauwa ndege wa2 kwa jiwe moja..yaani NCCR inakubalika Kigoma, pili ataondoa dhana ya usaliti kuwa alianzisha chama(ACT) akiwa mwanachama na kiongozi wa chama kingine.
 
Vipi atatamani tena kuwa mwenyekiti wa vyama hivo? Na kuandaa mkakati wa siri wa mabadiliko?
 
Mbunge Kijana wa wakati wote Zitto K ameaga rasmi bungeni Jana..lakini ameahidi kurudi bungeni humo mwezi November15. Ushauri wangu ni: Arudi bungeni kupitia chama chaque NCCR MAGEUZI bada la ya ACT ambao tumeambiwa wanajiandaa kumpokea. Sababu ni za kiufundi zaidi. Namtakia maamuzi mema.

Mkuu hapo hata wazee wote kigoma wakimwambia hata kubali , mwenzenu ZZK anataka uenyekiti sasa pale mbatia hawezi mwachia uenyekiti, Lazima aende ACT pale wapo vilaza wake wa kuwaburuza.
 
Ingekuwa vizuri kama ungezisema hizo sababu za kiufundi hapa hapa.
Zitto anajijua anavyopenda madaraka na tamaa za mafanikio ya haraka haraka kimaisha na kisiasa, hata kama akihamia NCCR bado soon atafukuzwa tu.

ACT ni chama chake alichokianzisha hapo kabla kisirisiri, ndiye anayekifadhili mpaka sasa chini ya ufadhili mkuu kutoka CCM makao makuu, hivyo bora awe ACT.

Na huku ndiko watakapo kimbilia wale wote watakao timuliwa toka CCM wakati mchakato wa ndani wa Chama kutafuta Wagombea ukianza suburi utaona. Kwa hiyo nyuma ya Zitto kuna mipango na wapambe wengi.

ccm wanamfananisha zitto na lionel messi lakini hawataki kumsajili wanataka abaki chadema. SIJUI NINI KIMEJIFICHA KATI YA ZITTO NA CCM
 
Back
Top Bottom