KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
amechukiwa sana cdm acha aende tuone wanao sema aondoke. Na wote waliofukuzwa cdm wamfuate
nimekupata, unashauri akaungane na masalia walozoea kutumiwa pia kuongwa pesa kirahisi tu na akina wasira, nape pia mchemba, ril i cant kwa zito genge lake ilo lililotajwa na lnalofahamika tayari ni la wararushwa watupu, are stil i need of good governance, jaman tnaandaa taifa lijalo ktatua kero zetu kwa kuwashabikia awa walarushwa? let us be serious, Ril tanzania itaendelea sikio la kufa with laana ya kiuongoz