Chama cha NCCR-Mageuzi kimefungua milango kwa mbunge wa kigoma kaskazini (Chadema) Mh Zitto, kujiunga na chama hicho ili kutimiza ndoto yake ya kugombea urais mwaka 2015. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na katibu wa mahusiano na uenezi wa kitengo cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deugratius Kisandu.Source Mtanzania jpili.
Kweli huyu jamaa ni kigeugeu kweli siasa za Tanzania zimepalalaiz kabisa huyu si alisema anataka kuwa mgombea wa urais mwaka 2015 kabla ya kufukuzwa Chadema sasa iweje leo hii amkaribishe Zitto Kabwe kiongozi wa Masalia kuwaa mgombea wa Urais wakati yeye naye anautaka?????
Ni kheri pia kama Zuberi Zitto Kabwe atakubali kwenda Nccr maake Chadema itakuwa poa kuliko kuwa na mtu kama Zitto ambaye haelewi anataka nini Lol!!Lakini kwa upande mwingine mie binafsi simlaumu sana Zitto kwa kuwa huyu jamaa aliugua kichwa wakati ule kama tunakumbuka so huenda hayuko sawa japokuwa watu wanamuona yuko poa kama angekuwa Ulaya angetakiwa afanyiwe Theraphy ya mara kwa mara lkn kwa kuwa Bongo hawana huu utaratibu ndio maana tunamuona yuko sawa nenda nenda Zito Zuberi Kabwe kwani watakaompa kura ati kugawa kura za CHadema ndio kutafanya Ccm kushinda kwa urahisi aende tu kwani wate watakaompa kura nao si wazima wa akili zao so kwa Chadema wanasema We dont care the numbers we care about the quality of the numbers