Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

Njaa ya Tanzania ni ya kujitakia. Tunauza mahindi Kenya halafu tunalalamika njaa.
 
Katika hili uhaba wa chakula tumeshuhudia arusha watu wanabadilishana mbuzi kwa debe la mahindi Musoma hali sii shwari kwnn tusiambiwe ukweli
Kama umeshaona kuna uhaba wa chakula unataka uambiwe na nani ili iweje? Sema kuna njaa unaomba upewe chakula utaeleweka sio uambiwe kuna njaa wakati unaiona kama unavyodai!!
... Ni hivi kwa hii Sheria mpya ya habari ambayo wabunge wale majority walivuta 10 M, ukijitangazia kwamba kuna njaa, hata kama ni kweli, unaitwa mchochezi na waweza jikuta lupango...
Sasa shida yako ni kutangaziwa au chakula una njaa?
 
Wakuu tulijadili hili kwa umakini tukiwa SOBER/ TUMETULIA kimawazo. Maana njaa haiangalii chama.

Ukweli ni kuwa hali ya chakula/FOOD SECURITY PROJECTION ni MBAYA sana na haihitaji KULAUMIANA bali KUAMSHANA. Bila kujali KAULI tata zilizotolewa hapo awali na wanasiasa maana zitatufanya tusiwaze yajayo.

Mimi NASHAURI kuwa rais Magufuli ALIZUNGUMZIE hili kama AJENDA maalumu katika baraza lake la MAWAZIRI.

Halafu AWAITE MABALOZI wa nchi za JUMUIA ya ULAYA, UINGEREZA na MAREKANI na kutoa TAARIFA safi iliyoandikwa SAFI ya kuitangaza Tanzania kuwa INAKUBWA na BAA la NJAA/NATIONAL DISASTER.

Na inahitaji MISAADA ya DHARURA ili KUYANUSURU maisha ya mamilioni ya watu ambao kama JUMUIA ya KIMATAIFA hataingilia kati,
Serikali hawataweza peke yao na watu watakufa!

Taarifa hiyo ITOLEWE hasa baada ya TRUMP KUAPISHWA kwa sababu zilizo wazi.

Jambo lingine serikali iruhusu WAFANYABIASHARA kuagiza CHAKULA kulingana na METRIC tones defecit ya chakula hitajika hapo tutapona.

Lakini jambo hili la kutupiana mpira, sijui mara ni CCM walisema hivi, mara ni Upinzani wanataka hivi, haitasaidia matokeo yake tutawaumiza bure wananchi maana wao wanachohitaji ni chakula na si SIASA!
Nani amekufa kwa njaa na wapi?
 
Nani amekufa kwa njaa na wapi?
Mkuu, unajua unapofanya PROJECTION unakuwa makini.Kama umejua pengine iko 50% 30% 20% ama 10%Si lazima mpaka watu WAFE ndo ugutuke.

Ni jambo la busara kufanya PRE EMPTIVE measures na wala SI UNYONGE na wala SI kwa sababu serikali IMESHINDWA ila ni hali ya hewa ambayo lazima tudhibiti athari zake MAPEMA!
 
Subiri mpk mtu afe kwa njaa usipoona mtu kafa ujue hatua zimechukuliwa ukiona mtu kafa ilaumu serikali. Vinginevyo endelea na shughuli zako.
 
Subiri mpk mtu afe kwa njaa usipoona mtu kafa ujue hatua zimechukuliwa ukiona mtu kafa ilaumu serikali. Vinginevyo endelea na shughuli zako.
Naona HUJUI na HUELEWI na kama HUELEWI na HUJUI basi jaribu kuto comment.
Hiyo itakusaidia sana.
Huo ndo ushauri wangu!
 
Subiri mpk mtu afe kwa njaa usipoona mtu kafa ujue hatua zimechukuliwa ukiona mtu kafa ilaumu serikali. Vinginevyo endelea na shughuli zako.
Chikundi naona niongeze kukusaidia UFAHAMU wako.
Juzi Mh Waziri Mkuu Majaliwa akiwa Songea alitoa agizo kwa NFRA National Food Reserve Agency kuwa tani 10,500 za chakula zilizobaki ziweze KUHIFADHIWA hadi msimu ujao wa mvua.

Waziri Mkuu alikuwa CONCERNED na mvua ambazo zimechelewa ambazo KAWAIDA muda kama huu mahindi huwa yameanza kuonyesha dalili nzuri.
Lakini sasa YAMENYAUKA.
Akazidi kusema HALI YA CHAKULA HUKO MBELE SI NZURI!
Natumaini hili litakusaidia UFAHAMU wako!
 
Kusema hivyo haimaanishi kuna njaa leo ni tahadhari sasa kwanini mnasisitiza serikali itangaze kuna njaa leo?
 
Kusema hivyo haimaanishi kuna njaa leo ni tahadhari sasa kwanini mnasisitiza serikali itangaze kuna njaa leo?
Usiweke neno "TUNA"Sema "NINA" mimi nazungumza kama mimi.
Unapotumia neno mnasisitiza serikali.
SWALI nakuuliza ARE you the GOVERNMENT?/WEWE ni SERIKALI?.
Kuna mambo mengine unapo komenti YAPIME kwanza kbla haujaposti ilikujua nini UMEANDIKA humu JF.
 
Jibu swali
 
huyu zito anatangaza si atafukuzwa ubunge na rais
 
Jamani wote tupo mtaani tunaona hali halisi. Wakulima wanaona utofauti msimu uliopita na huu
Faru j ashasema serikali haina shamba. So tusubiri msaada wa chakula kutoka china
kwa sentensi hii ("Faru j alishasema") umevuka mi

Jamani wote tupo mtaani tunaona hali halisi. Wakulima wanaona utofauti msimu uliopita na huu
Faru j ashasema serikali haina shamba. So tusubiri msaada wa chakula kutoka china

kwa sentensi hii ("Faru j alishasema") kwa wenye mtazamo wa mbali tukuambie tu umevuka mipaka ya kiutu
hata kama binadamu mwenzako humpendi usimfananishe na mnyama.
 
Kwenye mambo yenye maslahi mapana kwa taifa tunatakiwa kuweka itikadi za vyama vya siasa pembeni ni ukweli usiopingika hali mbaya sana serikali inatakiwa kuwaambia wananchi ukweli ili waanze kujiandaa siyo kuwaficha chakula hamna ni kweli hali mbaya sana.
 
Umekwepa swali
Maana kama hujajibu langu. Si itakuwa nikutwanga maji katika kinu?
Waingereza wanasema.
"Let us AGREE to DISAGREE"/"Basi Tukubali KUTO KUKUBALIANA".
Na hakuna chuki!
Maana mitazamo yetu ni tofauti!
 
Maana kama hujajibu langu. Si itakuwa nikutwanga maji katika kinu?
Waingereza wanasema.
"Let us AGREE to DISAGREE"/"Basi Tukubali KUTO KUKUBALIANA".
Na hakuna chuki!
Maana mitazamo yetu ni tofauti!
Lako lipi
 
Back
Top Bottom