Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

[QUOTE="K M S, post: 19195909, member: 404570"]Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itangaze hali ya hatari kwa upande wa chakula kwani hali ni mbaya kulingana na upungufu wa wa chakula uliopo nchini.

Kama ni kweli je ni sahihi kwa serikali mpaka isukumwe na wanasiasa katika mambo muhimu kama chakula? Kwanini kama chakula hakuna nchini tusiambiwe ili tujiandae?
Labda mimi nimepitwa na wakati, kumbe Zitto ndo mwenyekiti wa ACT wazalendo? Kile cheo ayatollahhhkhomeney kamwachia nani?[/QUOTE]
Kiongozi wa chama mie nimemchukulia kama mwenyekiti manake nashindwa kutofautisha hapo labda mnisaidie
 
Wakuu tulijadili hili kwa umakini tukiwa SOBER/ TUMETULIA kimawazo. Maana njaa haiangalii chama.

Ukweli ni kuwa hali ya chakula/FOOD SECURITY PROJECTION ni MBAYA sana na haihitaji KULAUMIANA bali KUAMSHANA. Bila kujali KAULI tata zilizotolewa hapo awali na wanasiasa maana zitatufanya tusiwaze yajayo.

Mimi NASHAURI kuwa rais Magufuli ALIZUNGUMZIE hili kama AJENDA maalumu katika baraza lake la MAWAZIRI.

Halafu AWAITE MABALOZI wa nchi za JUMUIA ya ULAYA, UINGEREZA na MAREKANI na kutoa TAARIFA safi iliyoandikwa SAFI ya kuitangaza Tanzania kuwa INAKUBWA na BAA la NJAA/NATIONAL DISASTER.

Na inahitaji MISAADA ya DHARURA ili KUYANUSURU maisha ya mamilioni ya watu ambao kama JUMUIA ya KIMATAIFA hataingilia kati,
Serikali hawataweza peke yao na watu watakufa!

Taarifa hiyo ITOLEWE hasa baada ya TRUMP KUAPISHWA kwa sababu zilizo wazi.

Jambo lingine serikali iruhusu WAFANYABIASHARA kuagiza CHAKULA kulingana na METRIC tones defecit ya chakula hitajika hapo tutapona.

Lakini jambo hili la kutupiana mpira, sijui mara ni CCM walisema hivi, mara ni Upinzani wanataka hivi, haitasaidia matokeo yake tutawaumiza bure wananchi maana wao wanachohitaji ni chakula na si SIASA!
Bora umesema
 
Ukichoandika ni hisia zako bila facts halafu umeconclude...

Njaa ipo kwa Mafisadi waliozoea vya kunyonga na sasa vya kuchinja vimewashinda.
 
Wakuu tulijadili hili kwa umakini tukiwa SOBER/ TUMETULIA kimawazo. Maana njaa haiangalii chama.

Ukweli ni kuwa hali ya chakula/FOOD SECURITY PROJECTION ni MBAYA sana na haihitaji KULAUMIANA bali KUAMSHANA. Bila kujali KAULI tata zilizotolewa hapo awali na wanasiasa maana zitatufanya tusiwaze yajayo.

Mimi NASHAURI kuwa rais Magufuli ALIZUNGUMZIE hili kama AJENDA maalumu katika baraza lake la MAWAZIRI.

Halafu AWAITE MABALOZI wa nchi za JUMUIA ya ULAYA, UINGEREZA na MAREKANI na kutoa TAARIFA safi iliyoandikwa SAFI ya kuitangaza Tanzania kuwa INAKUBWA na BAA la NJAA/NATIONAL DISASTER.

Na inahitaji MISAADA ya DHARURA ili KUYANUSURU maisha ya mamilioni ya watu ambao kama JUMUIA ya KIMATAIFA hataingilia kati,
Serikali hawataweza peke yao na watu watakufa!

Taarifa hiyo ITOLEWE hasa baada ya TRUMP KUAPISHWA kwa sababu zilizo wazi.

Jambo lingine serikali iruhusu WAFANYABIASHARA kuagiza CHAKULA kulingana na METRIC tones defecit ya chakula hitajika hapo tutapona.

Lakini jambo hili la kutupiana mpira, sijui mara ni CCM walisema hivi, mara ni Upinzani wanataka hivi, haitasaidia matokeo yake tutawaumiza bure wananchi maana wao wanachohitaji ni chakula na si SIASA!

Ni wazo zuri lkn jua kuwa maghala ya chakula cha serekali yamejaa!!!! Watoe kwanza akiba iliyopo ndio tutoke nje
 
Wakinanani hao??? Majanga hupangwa na Mungu sawa ila hatua zinazochukuliwa baada ya hapo ni mipango ya Mungu???

Kikwete hatukumsakama kwa sababu kulikuwa na ufisadi la hasha tulimkosoa kwa hatua alizochukua baada ya JANGA la ufisadi kutokea kwenye taasisi tofauti.

Kwa mwendo huohuo ndio huwa tunakosoa tukiona hatua zinazochukuliwa baada ya janga kuwa hazina ufanisi wowote.

Kwa hyo watakaomkosoa magu kuhusu mada hii ya njaa watamkosoa kwa hatua anazochukua baada ya kugundua JANGA hili ila sitegemei kuna atakayemlaumu kwa JANGA hili kma ulivyosema ni mpango wa Mungu kukosekana mvua.

Huelewi kuwa utawala wa Kikwete ndiyo umeyaibua hayo.

Ni utawala upi mawaziri wamefungwa kwa ufisadi?

Ni utawala upi waziri mkuu kanyofolewa kwa ufisadi?

Utawala upi ulioleta sheria mpya za mkaguzi mkuu kuwasilisha ripoti yake bungeni na kuchambuliwa kwa haraka?

Usawala upi uliowekwa misingi ya kupambana na rushwa kila wilaya?

Tuache ujinga.
 
Zitto some time huthibitisha kuwa ni Mwanasiasa wa hovyo hovyo sana
Sema huo uhovyo hovyo wa Zitto...Serikali ndiyo yenye jukumu lakutangaza maana tusiji kukutana tena na mambo ya TANESCO na NIMRI...Sasa sijui mnatetea nini wakati ni wajibu wakikatiba serikali kutatua matatizo yanayo wakumba wananchi.UNAFIKI NO ZAIDI YA SUMU YA PANYA KWA BINADAMU
 
Katika hili uhaba wa chakula tumeshuhudia arusha watu wanabadilishana mbuzi kwa debe la mahindi Musoma hali sii shwari kwnn tusiambiwe ukweli
Si ndio kama hivi unatuambia ukweli?
 
Magufuli: Serikali haina shamba, mkitegemea chakula cha misaada kutoka serikalini "mwafwa"
 
Huelewi kuwa utawala wa Kikwete ndiyo umeyaibua hayo.

Ni utawala upi mawaziri wamefungwa kwa ufisadi?

Ni utawala upi waziri mkuu kanyofolewa kwa ufisadi?

Utawala upi ulioleta sheria mpya za mkaguzi mkuu kuwasilisha ripoti yake bungeni na kuchambuliwa kwa haraka?

Usawala upi uliowekwa misingi ya kupambana na rushwa kila wilaya?

Tuache ujinga.
Shida umevamia mada... hapo kikwete nimeingiza kma mfano tu ila hoja yake huyo nilemquote ilikuwa tusilaumu magufuli kwa majanga kwa sababu ni mpango wa Mungu ndio mimi namuelewesha kwamba hatumalaumu kwa sababu ya majanga ila tutamlaumu na kukosoa kwa hatua atakazochukua baada ya janga kutokea.

Sasa nashangaa wwe unavamia tu na kuanza kumtetea kikwete mie nmeelezea tu kama mfano ila hta hivyo hilo liko wazi kikwete alikuwa hana ubabe wa kutimua watu wanaoonekana kwenda nje ya maagizo yake kma alivyo magufuli ilo lipo wazi na hata kma wote wanatokea chama nisichokikubali kisera na kimtazamo ila kwenye vita ya ufisadi angalu magufuli anajitahidi kuliko kikwete huo ndo ukweli hta kma hajafika hta 20% ila angalau basi ameonyesha tofauti na kikwete.
 
Hata chakula kikipatikana mfukoni tumechalala sijuu atanunua nani
 
Huelewi kuwa utawala wa Kikwete ndiyo umeyaibua hayo.

Ni utawala upi mawaziri wamefungwa kwa ufisadi?

Ni utawala upi waziri mkuu kanyofolewa kwa ufisadi?

Utawala upi ulioleta sheria mpya za mkaguzi mkuu kuwasilisha ripoti yake bungeni na kuchambuliwa kwa haraka?

Usawala upi uliowekwa misingi ya kupambana na rushwa kila wilaya?

Tuache ujinga.
By the way huyo kikwete naye anaweza kuwekwa kwenye hii mada pia.... ile sera yake ya kilimo kwanza huenda ingekuja na mawazo mbadala ya kuivusha nchi wakati wa baa la njaa au ukame kma hivi yaani mipango ingewekwa at least ziwepo irrigation schemes nyingi na alternative source za umwagiliaji zaidi ya kutegemea mvua tu sema sera yake iliishia wapi??? Mbona ilikufa??? Na hta ilipokufa alichukua hatua gani kuisaidia isimame tena??? Huoni nayeye anaingia kwenye dimbwi la lawama in case nchi ikifka kipindi tunaishiwa chakula na hku tuna ardhi yenye rotuba???

Haya naomba uje na utetezi juu ya kushindwa kwa kilimo kwanza kma sera ya kipaumbele ya huyo unayemtetea.
 
Haya yote unayosifia kufanyqa na kikwete 80% ni pressure ya wabunge na nje ya bunge ni pressure ya upinzani na wanaharakati. Ila ukitaka kuoka ana kigugumizi ona alivyoshughulikia issue za epa,richmond,escrow n.k ndo utagundua kikwete alikuwa hawezi maamuzi magumu yote aliyafanya kwa pressure ya upinzani. Hta mawaziri wengi kutimuliwa ni baada ya ripoti za PAC kusomwa bungeni na kutishia kumng'oa waziri mkuu ndo kikwete anakuja mwishoni anasimamisha mawaziri tena kwa kigugumizi kma siku ile alipomsimamisha tibaijuka akasema eti "uwapishe kidogo maana maneno mengi" sasa hapo huoni alikuwa ana-act kwa pressure ila alikuwa hana nia ya dhati moyoni ya kushughulikia ufisadi.
 
"Serikali haina chakula cha msaada, nchi ni ya kijani." - JPM

Hivi mbona nyie Watanzania ni wagumu sana kuelewa?! Mshaambiwa hakuna chakula cha bure bali mfanye kazi, bado mnataka serikali iwatangazie!? Iwatangazie nini?!
[emoji3][emoji3]serikali haina shamba in magufuri voice
 
By the way huyo kikwete naye anaweza kuwekwa kwenye hii mada pia.... ile sera yake ya kilimo kwanza huenda ingekuja na mawazo mbadala ya kuivusha nchi wakati wa baa la njaa au ukame kma hivi yaani mipango ingewekwa at least ziwepo irrigation schemes nyingi na alternative source za umwagiliaji zaidi ya kutegemea mvua tu sema sera yake iliishia wapi??? Mbona ilikufa??? Na hta ilipokufa alichukua hatua gani kuisaidia isimame tena??? Huoni nayeye anaingia kwenye dimbwi la lawama in case nchi ikifka kipindi tunaishiwa chakula na hku tuna ardhi yenye rotuba???

Haya naomba uje na utetezi juu ya kushindwa kwa kilimo kwanza kma sera ya kipaumbele ya huyo unayemtetea.

Umenikimbusha Yule Msanii alietaka kutuletea Mvua za Mabomu toka Thailand eti kujaza Mabwawa ya kuzalisha Umeme![emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom