Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

Zitto aitaka serikali kutangaza njaa nchini

Maneno meeeengi kumbe pumba tu yani hizo janja janja ndio maana ya uongozi bora... Uongozi bora hijionesha katika maisha ya wananchi. Kama maisha ya wananchi yalikuwa hovyo enzi za kikwete hawezi kukimbia kuitwa raisi mbovu

Sio Kiongozi bora ni Mwanasiasa Bora wa Zama zote Tanzania.
 
Ni sawa mkuu lakini kwa kujifanya hawashindwi watawazuia hata waandishi kutangaza habari za maeneo yenye njaa. habari za maeneo yaliyokumbwa na njaa tutazisikia kupitia BBC
Mkuu ni kweli kujifanya kwamba hatuna tatizo ni kujidanganya wenyewe!
Lakini tukilizungumzia na kuliweka wazi itatusaidia katika kupata MISAADA ya chakula.

Angalia Ethiopia inapokumbwa na njaa kubwa taifa hutoa habari kwa jamii ya kimataifa na wanasaidika.
Hata sisi we have to swallow our pride/Tushushe kiburi chetu!
 
Wewe hujui Siasa zinaendeshwaje!!

Zitto alipewa PAC na Kikwete na hata taarifa Nyeti za kifisadi alikuwa akipewa na Kikwete ili kuwachomoa wasiohitajika!

Unajua kwanini Jk alimuacha Prof Issa Shivji aliekuwa akitajwa sana kwny Tume ya Katiba na kuwapa Maadui zake kina Warioba na Mzee Butiku waliokuwa wanamshambulia daily kwny Kigoda cha Mwalimu Nyerere?

Siasa ni mbinu na Jakaya alitumia Bunge na Vyama vya Upinzani kutimiza Malengo yake ya Kisiasa.

Mpaka Leo Lowassa kupoteza Uwaziri Mkuu wale analia na Jk sio Bunge wala Mwakyembe.

Leo hii Mbowe na Chadema wakikumbuka walivyowezeshwa bila ya kujijua kutangaza Ufisadi wa Richmond na wa Lowassa kwa Miaka nane wanabaki kuhuzunika jinsi walivyoshindwa kung'amua Michezo ya Kisiasa.

Wewe unamjua aliempa Report ya Buzwagi Zitto Kabwe ili kumyofoa Nazir Karamagi?

Unajua kwanini Taarifa za Epa na Kagoda Agrilcuture ya Rostam Azizi alikabidhiwa Dr. Slaa na Saed Kubenea ili kummaliza Tycoon wa Siasa za Kimafia Rostam Azizi na kweli akapotea na Akina Kubenea enzi hizo wanajua Jk kapoteza Mtu muhimu Kumbe yeye ndo Architecture wa Kaburi la Kisiasa la Wanamtandao wenzake

Unajua ili kumchomoa Andrew Chenge kwny Uwaziri wa Miundombinu ilitokana na habari tu iliyoandikwa kwny Guardian la Uingereza kuhusu kuhifadhi only 1.2 Billion kwny Account za Nje unafahamu kina Nani walizisambaza hizo habari na kushadadiwa bila ya kujua Msusi wa hiyo Michezo ni Nani?

Jakaya Kikwete alikuwa akitumia mbinu ya kujifanya Dhaifu ili watu wambeze nae akawa anawatumia bila ya kujijua.

Yule Jakaya inawezekana akawa hakuwa Kiongozi Mzuri kwa maana ya Matarajio ya baadhi ya watu Ila atakaekwambia alikuwa Mwanasiasa Dhaifu huyo hajui Siasa ni nini !

May 4, 2005 Mzee Mkapa akitokea Kwny Mei Mosi Songea aliweka Kambi sehemu Kule Chamwino na kuanza kupitia Majina ya Wagombea Urais akiwa na Wazee wa System Kumbe wote walimzunguka Mzee walikuwa Vijakazi wa Jakaya na kila Mkapa akifurukuta alikuwa anapewa Vitisho hewa kuwa akimkata Jk Chama kingepasuka Kumbe ulikuwa Mkwara Mbuzi.

Sifukui Makaburi Ila hata Waliohesabu kura za Mwandosya na Dr. Salim Ahmed Salim kwny Tatu bora ya 2005 walikuwa Wanamtandao [emoji3][emoji3][emoji3] kindaki ndaki, Meneja wa Kampeni za Mwandosya alikuwa Msiri wa Jk na mpaka Leo ni Mh. Waziri kwa ushawishi wa jk.
Mkuu try to be realistic mie sijaongelea mambo ya conspirancy theory maana tutawachanganya watu tu hapa so ningependa tujikite kwenye uhalisia zaidi.

Anyway kma sio dhaifu kuna haja gani ya kuzunguka kumtumia zitto sijui kubenea na PAC kumaliza wabaya wake??? Kma anaweza kuchukua hatua binafsi si aende kwenye tv kma huyu rais wa awamu ya tano na atumbue kwanni mpaka azunguke zunguke maara ooh ampe ripoti zitto ili awakaange mawaziri bungeni...... haileti ujanja wowote wa kisiasa rather inaonyesha jinsi alivyokuwa mdhaifu ma kuogopa kuchukua hatua mpaka atumie watu wengine kumsaidia.... mpaka hapo ni mdhaifu hakuna lingine lolote.

Kumbuka issue ya jairo alivyohandle?? Ingawa ana madhaifu mengi ila i think magufuli angehandle kiume zaidi na kumtimua mara moja sio kumuogopa ogopa kma kikwete.... issue ya escrow kwanni ajing'ate ulimi pale alipopewa mamlaka na bunge kutengua uteuzi wake wa mawaziri kadhaa??? Kwanni alisubiri Muhongo ajitoe mwenyewe???

Mkuu just accept kikwete was DHAIFU na hilo halitowahi kibadilika hta kma magufuli sikubaliani na sera zake ila angalau kwenye kushughulikia ufisadi yupo effective kuliko kikwete
 
Jk kutumia watu kusambaratisha Maadui zake unaita udhaifu?

Rudi Kwny History ujue Mwalimu Nyerere alivyomtumia Maalim Seif kumsambaratisha Aboud Jumbe Mwinyi January 1984

Kajifunze ujue jinsi Freeman Mbowe alivyotumia Vijana wa Chadema kina Ben na Yericko kupambana na Zitto

Ushawahi kusikia Mbinu alizotumia Adolf Hitler kwny Kuangamiza Wayahudi kwa kutumia Wayahudi Wenyewe?

Mbinu za Kisiasa sio Kama Coca Cola kuwa formula yake inafanana Dunia Nzima.

Mbowe alimtumia Askof Gwajima kumkaribisha Lowassa Chamani jee huu nao ni udhaifu? Hapana ndio Mbinu za Kisiasa !

Kukataa Kuwa Jk hakuwa Fundi Mzuri wa Siasa ni hiyari yako lakini hiyari hiyo inaenda sambamba na tabia ya kutokiri ukweli!

Wewe kuamini kuwa Kikwete alikuwa dhaifu sio Tatizo tatizo ni pale unapolazimisha sote tufanane Mawazo sawa na yako!

Kama Mtu Dhaifu anajipanga kuwa Rais kwa zaid ya Miaka 10 na anakuwa Rais na kisha anafanikiwa kusambaratisha genge hatari lililomshinda Raia Imara kwa nini nisikuite Muongo
 
Huyu Mbunge ndio Mpinzani wa kweli Aliyebaki Tanzania nzima. hakuna mwingine zaidi yake. Kwenye ukweli Anasema ukweli na penye Uwongo anakosoa. Safi sana Mh ZITO ZUBERY KABWE.
Mungu akuongoze, hata kama Ukirugenzi wa Shirika flani Tanzania angepata.
Nampongeza sana huyu Mbunge.
Si mlikua mkimwita msaliti huyu banadam bwana!!
 
Hebu zitto aje na tangazo la SERIKALI ITANGAZE NEEMA
 
Back
Top Bottom