Zitto aipaisha JamiiForums Ulaya!

Zitto aipaisha JamiiForums Ulaya!

Kampeni yenu inaendelea vizuri. Kujaribu kumpulizia Zitto manukato japo ananuka uvundo...

Nashukuru umetimiza ule usemi..MSAFARA WA MAMBA KENGE HAKOSEKANI...
Katika comment zote asilimia 99.9.9 zitto anaungwa mkono na WENYE KUJUA UKWELI WANABOFYA KWA KUSEMA ZITTO FOR PRESIDENT 2015.
wewe nawe si haba umesuza moyo wako..Hongera sana
 
inapendeza kuwa na mtu anayeiwakilisha nchi yetu nje ya nchi akiwa makini kama zito. For sure, fikra zako ni pevu sana. Ingelikuwa wale wa kipande ile.......tungesikia oooh...tz ni muungano wa zimbabwe, zanzibar na pemba!!!!! Kazi kweli kweli....big up. U kn wht u'r duing.
zitto ni my next president..ni mzalendo,mwadilifu,mtetezi wa wanyonge...high capacity ya kuchanganua mambo
uwezo wa kujieleza na kusimamia ukweli ndio siraha yake...
Ningekuwa uwanja wa taifa pale mechi ya yanga na simba ipo kati striker okwi ndio zitto kabwe..ningebeba bango lililoandikwa "plz zitto kabwe marry me"..namkubali sana huyu kijana
 
Nashukuru umetimiza ule usemi..MSAFARA WA MAMBA KENGE HAKOSEKANI...
Katika comment zote asilimia 99.9.9 zitto anaungwa mkono na WENYE KUJUA UKWELI WANABOFYA KWA KUSEMA ZITTO FOR PRESIDENT 2015.
wewe nawe si haba umesuza moyo wako..Hongera sana

Ni kweli kwwnye msafara wa mamba hata wewe kenge umo.
 
Ningekuwa uwanja wa taifa pale mechi ya yanga na simba ipo kati striker okwi ndio zitto kabwe..ningebeba bango lililoandikwa "plz zitto kabwe marry me"..namkubali sana huyu kijana
Lahaula!Kumbe wewe ni mtoto wa kike?Avatar ina misslead mkuu.
 
ZITTO KABWE hongera sana kwa kila kitu,JF juu Juuu zaidi.
 
Lahaula!Kumbe wewe ni mtoto wa kike?Avatar ina misslead mkuu.

avatar haina uhusiano wowote na jinsia yangu...Ulikuwa unajipotosha mkuu.ndio maana JF waka sagesti kutumia ACCOUNT BLACK kama hizi
 
Nyie ndio wale wale wa zidumu fikra za mwenye kiti. Mkikosolewa mnajifanya ndio wenye hati miliki ya chama!

mkuu acha kuwa kama fisi anayesubiria mkono udondoke apate nyama.
CHADEMA tupo pamoja, tunapambana pamoja kuhakikisha maslahi ya taifa yanarudi on the hands solid majority na kama kutatokea mpishano wa mawazo hiyo kwetu sio neno bali tutazidi kusonga mbele kama chama kwani tuna concept kwamba unity is the power.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA.
 
Katika hili mimi na wewe tunaungana mkono kabisa..Zitto Viva u ma ICON.Sijutiii na hata sijilaumu kukuchagua wewe kuwa mwansiasa Bora na wamfano katika maisha yangu.
DAIMA JF

Mkuu TUNTEMEKE.
Hebu tafadhali hebu acha mara 1 kumnadi hon Zitto humu JF kwani nyie ndio mnaopelekea watu kuwa na hisia pejorative kwa hon. Zitto kutokana na uchafu wenu wa kuchafua chama mitandaoni.
Pia najua unampenda sana ZZk but kwa ushauri naomba ubadili hata ID kuepuka kumchafua huyu mbUnge wa CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu TUNTEMEKE.
Hebu tafadhali hebu acha mara 1 kumnadi hon Zitto humu JF kwani nyie ndio mnaopelekea watu kuwa na hisia pejorative kwa hon. Zitto kutokana na uchafu wenu wa kuchafua chama mitandaoni.
Pia najua unampenda sana ZZk but kwa ushauri naomba ubadili hata ID kuepuka kumchafua huyu mbUnge wa CHADEMA.
wazo lako ni constructive sana,Nimelikubali kwamikono yote miwili.Pia naomba uwambie na wale wote wanaoshinda kumbomoa zitto humu jf kwamba ni CCM,MARA M4C,MARA MBINAFSI,MARA ANAMILIKI HAMMER N.KWAACHE MARA MOJA ILI TUJENGE CHAMA KWA NGUVU MOJA
HAO WATU WANASHINDA KUTENGENEZA MAJUNGU TU DHIDI YYA ZITTO KITU AMBACHO SI KWELI..
NIMEPENDA WAZO LAKO BUT LITAKUWA USEFULL KWA MASHARTI HAYO HAPO JUU
 

in april 2012 i moved a motion in parliament to censure a prime minister following misuse of public funds by ministers as evidenced by the controller and auditor general. I used social media (primarily twitter) to ask citizens to call their mps to sign a petition (hashtagged #sahihi70 ) – 70 signatures needed to qualify to move a vote of no confidence against a prime minister (#voteofnoconfidence). My party has 48 mps only, but the petition was signed by 75 mps. It was an uncomfortable topic for some members of the ruling party but with all the attention drawn on these issues through independent social media it was hard for the government to ignore the issue and they had to respond to questions. Eventually the president sacked 8 ministers including ministers of finance and energy, key ministries.

Social media was very instrumental in both these examples i have given. Social media is also an accountability tool by citizens to politicians. I am questioned a number of issues on social media and respond. I am asked questions by people who would never get such an opportunity because of the distances the traditional media keep between politicians and the people.
.
zitto kabwe hili tukio ulionesha ni namna gani wewe hufagiliii ccm na utawala wake..ulitikisa nchi.
Ni hakika hujawahi shindwa jambo ulilolisimamia
 
Naona kapaisha Sussex/IDS pia... :smiling:
 
avatar haina uhusiano wowote na jinsia yangu...Ulikuwa unajipotosha mkuu.ndio maana JF waka sagesti kutumia ACCOUNT BLACK kama hizi
Siyo avatar tu,hata jina,namkumbuka sana Tuntemeke Sanga.

Ila ingependeza wewe kutumia avatar yenye kuendana na jinsia yako,pengine michango yako mingi isingetiliwa mashaka.Ama kwa kifupi,ingesaidia sana kuboresha muonekano wa michango yako.

"Face value" matters if you know what i mean,ni ushauri tu.
 
jana nilikuwa naangali habari kwenye website ya new york times nikakuta link inanidirect jamii forum nilistaajabu sana. @zito anauzalendo wa kuwa rais wetu kwakweli i believe on him
 
Naomba unieleze wewe nini kilitokea Buzwagi? Maana niliibua hoja. Nikasimamishwa ubunge. Nikaingia kamati ya Bomani pamoja na kina Mwakeyembe. Tukatoa taarifa, ikajadiliwa bungeni. Tukatunga sera mpya ya madini inayoipa dola haki ya kushiriki kwenye migodi kama mwanahisa. Tukatunga sheria mpya ambayo imetaka Gemstone kama Tanzanite ivunwe na watanzania tu. Sera mpya ya madini 2009 na sheria mpya 2010 ni zao la Buzwagi.

Hebu nisaidie sasa, nilinyamazishwa vipi kwenye Buzwagi?

Hoja ya Buzwagi imekwenda mpaka mwisho na matunda yanaoekana. Pia bado tunapigania nchi kufaidika na madini yake. Kila siku Bungeni nasimamia hoja hii. Tembelea blogu yangu uone ninavyosimamia hoja ya madini yetu.

Sema wewe huniamini, sio Watanzania. Naheshimu msimamo wako

Mkuu ZZK achana na hawa wazandiki wenye kukutafuta usiku na mchana kwa wivu tu na wengine ni wenzio kwenye chama sio siri wanakatisha sana tamaa kwenye chachu ya mabadiliko ya Tanzania. Lazima tukubali mwenyezi mungu katuumba tofauti so hata kama ninyi wote ni CCM au CHADEMA mnatofautiana kwa uelewa na kariba, ZZK ndani ya CHADEMA ana kariba ya kiuongozi na uelewa , ni ukweli mgumu kwa wapinzani wake lakini binafsi namuheshimu na nitamuheshimu sana hafanyi siasa za karne ya kumi.
 
mbona zzk ni jembe sana tangu kitambo na tunamkubari sana !ila ninachoshangazwa ni pale watu wanapoanza kuleta threat za kulenga ooh angekuwa mkristo ooh kwa kuwa ni muslim ! achani unafiki au ndo mnatafuta posho yenu cozhata kwenye vitu muhim mnaleta yenu tena!????
 
Heee! Hivi Tuntemeke ni mwanamke au mwanaume? Kama mwanaume mbona anatudhalilishia kamanda wetu Zitto? Zitto amuoe dume Tuntemeke? God Forbid!

Ngoja nilog off. Role model wangu anadhalilishwa namna hii? Dah!
 
Back
Top Bottom