ww unayejiita tuntemeke ni unawaza kwa kutumia masaburi,unaposema dr slaa anakichafua chama km kweli ww ni kamanda umefanyaje kukisafisha na km umefanya malalamiko ya nini?si hivyo tu ninapitia comments zako nyingi inaonekana unalako jambo kwani umekuwa unamuattack dr mojamoja.vilevile unajidanganya kwani km sio dr slaa chadema kisingekuwa na nguvu ya kuihoji serikali ya magamba sasa nataka uniambie ww ambaye huna kadi ya ccm umekisaidiaje chama?na km alikuwa na kadi ya ccm na akapata kura nyingi za urais kushinda mgombea wa ccm ww huoni mchango wa dr?zito tunamjua toka chuo ni kigeu geu na hawezi kupambana na mjangili waliofanya tz ni shamba la bibi,vinginevyo mmetumwa na wasira na muuza meno ya tembo ili kuharibu chama