Zitto aipaisha JamiiForums Ulaya!

Umeona eh? Ona waziri anavyosema:
Ina maana waziri wetu alikuwa na maana kuwa choice tunayopata kutoka kwa Wachina ndiyo hii? Kujengewa nyumba bure ndiyo choice ya Afrika siku hizi eh? Hivi tukiitwa mediocre tunawezabisha kweli?
ource: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...on-hq-puts-all-africans-to-great-shame-4.html

Ndio haswa kilichonifanya niwe surprised. Sikuwahi sikia wala kusoma mahala kuwa waziri alisema hivo... BUT alivyojibu ni aibu saana.

Na huo msaada ambao wachina wametoa ni aibu... Kuna mahala na mahala twastahili misaada; ila hayo ya kutoa msaada kwa such a big body kama AU ni aibu mno... Inatoa picha asilia, kuwa hawana mpango wa kutoka tulipo wala kujichoropoa mikononi mwa misaada ya kitaifa. Sijui waliwaza nini wawakiliishi... Yaani there is no hope for the future for small nations kama zetu...
 
Aaah jamani, mbona mnamshambulia Zitto badala ya kudeal na hoja alizotoa? Mkitaka kuuona ule mwisho wa CDM ambao CCM wamekuwa wakiusema, chezeni na huyu kijana anayeitwa ZZK. Jamii hasa kundi la vijana wanamsupport. Unahitaji ushahidi wa nguvu kuonesha jamii kuwa hafai. Acheni siasa za maji taka. Big up Kabwe, put all those theories into practice, tutafanikiwa tu.
 
Tatizo hatuna instruments. lol. Sikiliza hadi dakika ya 1.54 inatosha.

[video=youtube_share;_TFVLnRSOtg]http://youtu.be/_TFVLnRSOtg[/video]
 
Tatizo hatuna instruments. lol. Sikiliza hadi dakika ya 1.54 inatosha.

EMT hii niliiona... Thanks. SO funny in a Sad way... Yaani Mh. Membe akafanya such blunder wa kusain mkataba. Huu ni ushahidi tosha kuwa they never really read content, wao wanaangalia maslahi tu. Sad.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Naomba unieleze wewe nini kilitokea Buzwagi? Maana niliibua hoja. Nikasimamishwa ubunge. Nikaingia kamati ya Bomani pamoja na kina Mwakeyembe. Tukatoa taarifa, ikajadiliwa bungeni. Tukatunga sera mpya ya madini inayoipa dola haki ya kushiriki kwenye migodi kama mwanahisa. Tukatunga sheria mpya ambayo imetaka Gemstone kama Tanzanite ivunwe na watanzania tu. Sera mpya ya madini 2009 na sheria mpya 2010 ni zao la Buzwagi.

Hebu nisaidie sasa, nilinyamazishwa vipi kwenye Buzwagi?

Hoja ya Buzwagi imekwenda mpaka mwisho na matunda yanaoekana. Pia bado tunapigania nchi kufaidika na madini yake. Kila siku Bungeni nasimamia hoja hii. Tembelea blogu yangu uone ninavyosimamia hoja ya madini yetu.

Sema wewe huniamini, sio Watanzania. Naheshimu msimamo wako

all what i can tell you zitto ni kuwa...you are on the right track.

some months ago nilidokeza kwenye moja ya post zilizokuhusu kuwa ulikuwa unapitia kwenye tanuru kali sana kwenye political career yako....tanuru ambalo ukilivuka salama then only the sky will be the limit.

nimefurahi ulivyomjibu critic wako hapo juu - a very solid, mature response!
 
Aaah jamani, mbona mnamshambulia Zitto badala ya kudeal na hoja alizotoa? Mkitaka kuuona ule mwisho wa CDM ambao CCM wamekuwa wakiusema, chezeni na huyu kijana anayeitwa ZZK. Jamii hasa kundi la vijana wanamsupport. Unahitaji ushahidi wa nguvu kuonesha jamii kuwa hafai. Acheni siasa za maji taka. Big up Kabwe, put all those theories into practice, tutafanikiwa tu.

yani mi hapa ndio huwa nachoka kabisa kuona nyie wana CCM ndio makampeni meneja wa Zzk.!
Msifanye hivyo bhana mnasababisha watu tuwe na mashaka na mbunge wetu so tuacheni wenyewe tuamue na viongozi wetu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
- Zitto for President!

Es!

yeah! Ni wa chama chetu na baada ya kupitishwa na chama baada ya ushindi sisi vijana tutakuwa tayari kukesha, kumpigania na kumuunga mkono ikibidi hata kufa ilimradi ashinde na chama chetu kishinde kwani ushindi wake ndio ushindi wetu na ndio mwisho wenu CCM.

Mungu ibariki CHADEMA.
 
yani mi hapa ndio huwa nachoka kabisa kuona nyie wana CCM ndio makampeni meneja wa Zzk.!
Msifanye hivyo bhana mnasababisha watu tuwe na mashaka na mbunge wetu so tuacheni wenyewe tuamue na viongozi wetu.
Nyie ndio wale wale wa zidumu fikra za mwenye kiti. Mkikosolewa mnajifanya ndio wenye hati miliki ya chama!
 
yeah! Ni wa chama chetu na baada ya kupitishwa na chama baada ya ushindi sisi vijana tutakuwa tayari kukesha, kumpigania na kumuunga mkono ikibidi hata kufa ilimradi ashinde na chama chetu kishinde kwani ushindi wake ndio ushindi wetu na ndio mwisho wenu CCM.

Mungu ibariki CHADEMA.
Sema mungu ibariki Tanzania kwa vile CDM ni subset yake!
 
Aaah jamani, mbona mnamshambulia Zitto badala ya kudeal na hoja alizotoa? Mkitaka kuuona ule mwisho wa CDM ambao CCM wamekuwa wakiusema, chezeni na huyu kijana anayeitwa ZZK. Jamii hasa kundi la vijana wanamsupport. Unahitaji ushahidi wa nguvu kuonesha jamii kuwa hafai. Acheni siasa za maji taka. Big up Kabwe, put all those theories into practice, tutafanikiwa tu.
my president Zitto Kabwe..
Wanakimbia kivuli chako,wanaumia kuona Una win kila step unayokwenda mbele
 
Sera mpya ya Madini, iliyotokana na mapendekezo ya Kamati ya Bomani iliyozaliwa na sakata la Buzwagi, inasema ni marufuku madini ya vito kuchimbwa na wageni. Sheria imeweka utaratibu wake.

Sera inasema dola lazima iwe na hisa kwenye migodi. Sheria imeweka utaratibu.

Mwaka huu 2012 tumefanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mapato na tumeweka kipengele cha capital gains tax.

Sasa kama sera na sheria haitekelezwi ni jukumu la Umma kusimama na kushinikiza sera na sheria mpya za madini zitekelezwe. Sisi kama wabunge tumefanya wajibu wetu.

Nimeingia Bungeni mwaka 2005, nimekuta sheria ya hovyo ya madini. Nimeshirikiana na wabunge wenzangu tumeibadili na kuweka sheria nzuri zaidi. Tumetimiza wajibu.

Chama changu kikishinda na tutatimiza wajibu wa kuiboresha zaidi sheria na kuitekeleza. Kwa sasa mikono imefungwa.

Huyu mtu aje hapa aeleze Buzwagi kilitokea nini maana naonekana kama sikufanya kitu. Sasa tuzungumze kwa facts hapa jukwaani badala ya mtu kuibuka tu na kusema mambo yasiyo na hoja
WATANZANIA WASAMEHE BURE...WANAKIMBILIA kuazungumzia jambo waisilokuwa na detail nalo.
Wanatumia majungu na maneno ya kulishwa kufanya argument kubwa kwenye mambo serious kama haya..KWA MARA NYINGINE ASANTE KWA KUWAELEWESHA WOTE WANAOISHIA KWA KUPANDIKIZWA CHUKI NA MANENO MBOFUMBOFU
 
Yeah! Napenda na ninafurahishwa na uzalendo wa Hon.Zitto kabwe katika kutangaza mtandao wetu Jamiiforums, hii inanipa moyo sana kuona mtandao kama huu unapewa shavu hata nje ya nchi na ninaamin siku 1 JF itakuja kuwa widely famous to the world like others social network like twitter and fcbk.

Thanks Zitto na wanasiasa wengine waige mfano wako huu wa kuthamini kwanza vya nyumbani.

JF DAIMA.
Katika hili mimi na wewe tunaungana mkono kabisa..Zitto Viva u ma ICON.Sijutiii na hata sijilaumu kukuchagua wewe kuwa mwansiasa Bora na wamfano katika maisha yangu.
DAIMA JF
 
Back
Top Bottom