Zitto aipaisha JamiiForums Ulaya!

Saying is one thing, so acting onother one, you sound realist but in real sense Tanzania still have doubt about your actual motives towards real economic independent and on war against corruption. we still remember Buswagi Sanga (issue) and your envolvement and what silenced you. You still have a long bar to build your trust to Tanzanian and your integritystill questionable.....
 
An 8 hours long interview, I believe, is the longest one any politician has been subjected to.

Yap .. yale yale ya akina Fidel Castro & Hugo Chavez ya kuhutubia masaa 8 bila hata kwenda haja ndogo
 
inapendeza kuwa na mtu anayeiwakilisha nchi yetu nje ya nchi akiwa makini kama zito. for sure, fikra zako ni pevu sana. ingelikuwa wale wa kipande ile.......tungesikia oooh...tz ni muungano wa zimbabwe, zanzibar na pemba!!!!! kazi kweli kweli....big up. u kn wht u'r duing.
 
Saying is one thing, so acting onother one, you sound realist but in real sense Tanzania still have doubt about your actual motives towards real economic independent and on war against corruption. we still remember Buswagi Sanga (issue) and your envolvement and what silenced you. You still have a long bar to build your trust to Tanzanian and your integritystill questionable.....

Naomba unieleze wewe nini kilitokea Buzwagi? Maana niliibua hoja. Nikasimamishwa ubunge. Nikaingia kamati ya Bomani pamoja na kina Mwakeyembe. Tukatoa taarifa, ikajadiliwa bungeni. Tukatunga sera mpya ya madini inayoipa dola haki ya kushiriki kwenye migodi kama mwanahisa. Tukatunga sheria mpya ambayo imetaka Gemstone kama Tanzanite ivunwe na watanzania tu. Sera mpya ya madini 2009 na sheria mpya 2010 ni zao la Buzwagi.

Hebu nisaidie sasa, nilinyamazishwa vipi kwenye Buzwagi?

Hoja ya Buzwagi imekwenda mpaka mwisho na matunda yanaoekana. Pia bado tunapigania nchi kufaidika na madini yake. Kila siku Bungeni nasimamia hoja hii. Tembelea blogu yangu uone ninavyosimamia hoja ya madini yetu.

Sema wewe huniamini, sio Watanzania. Naheshimu msimamo wako
 
Hongera sana kaka kwa kila data na umejitahidi sana kufanya na composed kila aina ya taaluma!! Hongera sana kaka
 
  • Thanks
Reactions: Ame
I am so glad and humbled am part of Jf by bein one of its member, Viva Jf. Hii inatiya moyo saaana.

Personally nimependa sana swali na part hii hapa chini... Na nimependa the fact kuwa an African Economist is evidently acknowledged plus her work.

Hilo swali la foreign minister limeulizwa kwa makusudi mazito sana....Just thinking loudly!
 
Naomba unieleze wewe nini kilitokea Buzwagi? Maana niliibua hoja. Nikasimamishwa ubunge. Nikaingia kamati ya Bomani pamoja na kina Mwakeyembe. Tukatoa taarifa, ikajadiliwa bungeni. Tukatunga sera mpya ya madini inayoipa dola haki ya kushiriki kwenye migodi kama mwanahisa. Tukatunga sheria mpya ambayo imetaka Gemstone kama Tanzanite ivunwe na watanzania tu. Sera mpya ya madini 2009 na sheria mpya 2010 ni zao la Buzwagi.

Hebu nisaidie sasa, nilinyamazishwa vipi kwenye Buzwagi?

Hoja ya Buzwagi imekwenda mpaka mwisho na matunda yanaoekana. Pia bado tunapigania nchi kufaidika na madini yake. Kila siku Bungeni nasimamia hoja hii. Tembelea blogu yangu uone ninavyosimamia hoja ya madini yetu.

Sema wewe huniamini, sio Watanzania. Naheshimu msimamo wako

Zitto fanya jitihada akuamini,
ila kuna suala moja,,,hivi sera ya madini kwa sasa inanufaisha taifa na wazawa?
 
Last edited by a moderator:

Mheshimiwa mimi na nunua hii case....Kuwa mimi binafsi nakuamini kiasi lakini unanipa utata kwanini unaamua kupanda mlima kwakutumia baiskeli badala ya gari lenye ingine?

Ebu jiulize unge cooperate na wenzako ndani ya chama ingekuwa rahisi kiasi gani kuiondoa CCM madarakani? Lakini kwa makusudi unayoyafahamu wewe binafsi umeamua/lazimika kutumia nguvu zako (work very independently) huku ukionekana kuelekea upande wa CCM zaidi kama supporters wako na kututupa nje sisi ambao tunatamani CCM (tunao amini CCM ni source ya matatizo yote ya rushwa inayo fifisha maendeleo yetu kutokana na mfumo wake wa chama kushika hatamu chini ya viongozi wachache wenye almight powers) iondoke na wewe uwepo upande wetu katika kutuletea ushindi?

Hapo tu ungeniambia hapa hadharani nini kinakufanya wewe u-behave that way utakuwa umenisaidia mimi binafsi na wale wenye mawazo kama yangu.
 
Zitto fanya jitihada akuamini,
ila kuna suala moja,,,hivi sera ya madini kwa sasa inanufaisha taifa na wazawa?

Sera mpya ya Madini, iliyotokana na mapendekezo ya Kamati ya Bomani iliyozaliwa na sakata la Buzwagi, inasema ni marufuku madini ya vito kuchimbwa na wageni. Sheria imeweka utaratibu wake.

Sera inasema dola lazima iwe na hisa kwenye migodi. Sheria imeweka utaratibu.

Mwaka huu 2012 tumefanya marekebisho ya sheria ya kodi ya mapato na tumeweka kipengele cha capital gains tax.

Sasa kama sera na sheria haitekelezwi ni jukumu la Umma kusimama na kushinikiza sera na sheria mpya za madini zitekelezwe. Sisi kama wabunge tumefanya wajibu wetu.

Nimeingia Bungeni mwaka 2005, nimekuta sheria ya hovyo ya madini. Nimeshirikiana na wabunge wenzangu tumeibadili na kuweka sheria nzuri zaidi. Tumetimiza wajibu.

Chama changu kikishinda na tutatimiza wajibu wa kuiboresha zaidi sheria na kuitekeleza. Kwa sasa mikono imefungwa.

Huyu mtu aje hapa aeleze Buzwagi kilitokea nini maana naonekana kama sikufanya kitu. Sasa tuzungumze kwa facts hapa jukwaani badala ya mtu kuibuka tu na kusema mambo yasiyo na hoja
 
Huyu mtu aje hapa aeleze Buzwagi kilitokea nini maana naonekana kama sikufanya kitu. Sasa tuzungumze kwa facts hapa jukwaani badala ya mtu kuibuka tu na kusema mambo yasiyo na hoja
Ryaro wa Ryaro tunasubiri..............

silence means?
 
Last edited by a moderator:
Zitto

FT limekunukuu ukisema kuwa Chadema ipo ill-prepared kuongoza serikali ikishinda.

Hayo maneno uliyatamka kweli?
 
Last edited by a moderator:
Safi sana ZZK.
mmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!
attachment.php
 
Zitto

FT limekunukuu ukisema kuwa Chadema ipo ill-prepared kuongoza serikali ikishinda.

Hayo maneno uliyatamka kweli?

Akijibu NDIO utamwambia HIVI:

This is worse than that. Anaamini Chadema kinaweza kushinda lakini hakistahili kushinda

Hakistahili kushinda kwa sababu hakina uwezo wa kuongoza nchi. Anachokisema ni kuwa "hata mkituchagua, hatuwezi, (hivyo msituchague)"

Angelisema yupo open kwa serikali ya mseto ikiwa mazingira ya kisiasa kufuatia uchaguzi yatalazimisha hivyo, angeeleweka ila kusema serikali ya mseto itaundwa kutokana na weakness ya chama regardless ya matokeo ya uchaguzi ni blunder ambayo ingemporomosha ndani ya siasa za chama moja kwa moja angekuwa nchi zilizoendelea kisiasa

Yaani Kabwe anasema chama chake kiko ill prepared ikisha anatarajia watu wakipigie kura?

Au kwa kuwa maneno hayo kayasema kwa Mngereza?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom