Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Zitto ahusishwa na Rostam Aziz - Mwana Halisi

Status
Not open for further replies.
Zitto ana marafiki wanaoamini katika anachokipigania ambacho ni kubadili mazoea ya ufanyaji siasa ambayo yanalenga kujenga nchi na sio wanasiasa...Mbowe ana genge ambalo ama linaundwa common interest ya kulinda na kutetea maslahi fulani ama na chuki dhidi ya watu na mambo fulani yasiyoendana na kile wanachoamini kuwa ni sawa kwao pamoja na mateka wa siasa za vitisho zilizoshika hatamu katika Chadema.....
Naona kama unajichanganya zaidi unazungumzia zaidi hisia zako na imani yako zaidi ya ukweli halisia,katika kila posti unatuma hapa inakuwa na mwelekeo tofauti kabisa na nyingine kiujumla unabadilika badilika hivyo si rahisi mtu kuamini unayotuma hapa ni shabiki zaidi ya ukweli
 
Acha uongo wewe zito mbona bado yuko kwa facebook? Hebu fanya utafiti kwanza kabla hujaleta taarifa zako humu jf. Nafikiri wewe ndo kakufungia inawezekana unamfatafata sana allaaaa

Haiseeee watanzani bwana yaani kila mtu siku hizi ni mtatifi, if u have no reseach & data then u don't have the right to speak/comment, mimi ni miongoni mwa friends of zitto kabwe kwenye facebook, na ni kweli Zitto amedelete account yake ya facebook au kama kuna utaalamu wa ziada basi ameihide, yaani hata ukiisearch haionekani, alichobakisha zitto pale facebook kwa public ni page tu ya zitto kabwe, ambayo wewe kazi yako pale ni kulike tu ile page. kwahiyo wapendwa tusipende kuropoka au kumbeza mtu anapotoa mada bila kuwa na uwelewa wa kile mtu alichokiwalisha. NAUNGA MKONO HOJA, NI KWA NINI ZITTO AMEDELETE ACCOUNT YAKE FACEBOOK? ALICHOBAKIZA FACEBOOK NI PAGE TU, NAOMBA ANAECHANGIA MADA HII AWE NA UWELEWA WA HIVI VITU, HAPA HOJA ZA VIJIWE VYA KAHAWA HAZINA NAFASI.
HAPA TUNAHOJI NA KUDADISI, NA HAKUNA MTU WA KUMPANGIA MTU HOJA YA KUHOJI.
 
Soini Tofauti kati ya Marafiki wa Zitto na Genge la Mbowe
Wow... nimeipenda hii

can we learn more jinsi wanavyofanana.... maana wanasema kuishi ni kujifunza

Albedo hebu nipe shule hapo aisee
 
Sorry, hivi ni wapi nilisema huo ulikuwa mkopo ama Zitto alihusika katika kupatikana kwa hizo fedha? Unapotaka Zitto aje hapa kujibu tuhuma zinazoandaliwa na haohao viongozi wake mbona hutaki kumtaka Mbowe aje hapa kujibu tuhuma zake pia?

Jana niliamua kutoa post zote ambazo niligundua kuwa zinabomoa zaidi badala ya kujenga, lakini kila tukiendelea naendelea kuamini kuwa ustaarabu na UTU kwenu ni ishara za weakeness hivyo hamtaacha huu ujinga wenu hadi upande mwengine nao utakapoweka ustaarabu na UTU pembeni......

Ulipotoa hizo posts hukulazimishwa kwa hiyo huna haja ya kututishia ila ulichokifanya ilikuwa ni character assasination kwa upande wa Zitto wewe na yeye haijawasaidia sana zaidi ya kuonekana ni watu musiokuwa na vifua,wanaume wanapokuwa na matatizo wanatulia na kutafuta namna bora zaidi ya kutatua migogoro sio munatoka kwenye mitandao na vibwebwe viunoni mukibwabwaja mabo ambayo yatawagharimu maisha yenu yote ukiweka maandiko hayafutiki wewe umefuta lakini watu waliqoute posti zako kwa hiyo tunaendelea kusoma uliyoyaposti ovyo kabisa
 
Sasa nanyi mumezidi hivi mtu kuingia kwenye social networks si ni hiari yake mwenyewe ,kama anataka kutoka pia ni hiari yake anawajibika vipi kuja kuwaeleza watu wasiohusika kwenye nafsi yake mmh mumezidi mpeni nafasi apumzike ,ameamua hataki kuwa member wa facebook period.
 
Ulipotoa hizo posts hukulazimishwa kwa hiyo huna haja ya kututishia ila ulichokifanya ilikuwa ni character assasination kwa upande wa Zitto wewe na yeye haijawasaidia sana zaidi ya kuonekana ni watu musiokuwa na vifua,wanaume wanapokuwa na matatizo wanatulia na kutafuta namna bora zaidi ya kutatua migogoro sio munatoka kwenye mitandao na vibwebwe viunoni mukibwabwaja mabo ambayo yatawagharimu maisha yenu yote ukiweka maandiko hayafutiki wewe umefuta lakini watu waliqoute posti zako kwa hiyo tunaendelea kusoma uliyoyaposti ovyo kabisa

Naona sasa mnaanza kumshambulia Omar Ilyas lakini kabla hamjamtuhumu na kumniga jamaa mngelianza na hao walioleta accusation kuwa Zitto Kabwe ni msaliti. Nimekuwa nikiifatilia kwa karibu hii thread ili kujiridhisha at least a substantial evidence kuprove Zitto ni msaliti. Nasikitika kuwa sijaliona hilo wala sijalipata. Nimekuwa nikuuliza humu ndani Zitto amefanya nini wastaarabu wamekuwa wakiishia tu kusema wana siri nyingi kubwa za zitto ukiwaomba waseme wanadai kuwa ni siri kubwa sana kuliko ninavyodhani na zikitolewa eti zitakibomoa chama sasa nikuulize kuna lilibora zaidi ya kusema jambo hadharini kuliko kulisemea pembeni? Kama sio unafiki huu ni nini? Wengine wameishia kunitukana kudai eti wengine tunaohoji ni CCM au mamluki. LAKINI HOJA YENYEWE YA VP ZITTO MSALITI HAIJIBIWI!!!

Nimezungumza na mdau mmoja sasa hivi amenidokeza kuwa hizi fujo zote na tuhuma za Zitto ni kutokana na kitendo chake cha kutaka kumchallenge bwana Mbowe nafasi yake ya utukufu wa uenyekiti wa Chadema. Na ndio maana conspiracy theory zote zimeanzia hapo. Sasa sina uhakika kama hii taarifa ni kweli maana sina evidence. But tukae chini tukijiuliza kama sio kweli basi kwanini Thread nyingi JF zinazoanzishwa hazina evidence zozote zaidi eti ya eti bwana mdogo huyu jeuri, hasikii mara anajitia kujua sana, mara fisadi hakuna evidence yeyote????

Nadhani haya ni majungu nimekuja conclude na hivi chadema itapoteza wafuasi na inajijengea mtazamo fulani kwa watanzania huko mbeleni tutakuja kuambiana utakigharimu chadema mtake msitake. Nawatakieni kila kheri na majungu yenu!!!.

Ushauri wangu kwa Zitto kuna msemo huu wazungu wanasema Never argue with a fool because people might not notice the difference...... Achana na hawa wanafiki, wapika majungu humu na wala huna haja ya kuja endelea na shughuli zako. Nilikuwapo!!!
 
Duh! watu wengine bwana! Sasa hiki ni kitu cha kutuuliza hapa?
 
Watu wengi wameonyeshwa kukasirika na Zitto kuitisha press conference na kutoa yale waliyokubaliana kwenye kikao chao cha kutoka wakati raisi akitoa hotuba ya kufungua Bunge kama ulivyo hapa mda mrefu utakumbuka wana JF wengi walikuwa upande wa Zitto kumsaidia katika kuonyesha kwamba alikuwa na haki ya kugombea kuwa mwenyekiti wa Chadema,wewe unahamisha mada ya msingi usaliti wa Zitto ni kuenda kinyume na maazimia ya Kikao chao,kutoa maelezo ya mchakato mzima ulivyokwenda na hivyo kutoa sura chanya kwamba maamuzi yalikuwa siyo ya pamoja na kushusha nguvu ya pamoja ya chama waliyokuwa wanataka kuisimamia,ndipo usaliti wa Zitto ulipo hapo,baada ya hapo ameendelea kutumia vyombo vya habari kwa majigambo kuonyesha yeye ni zaidi ya wabunge wa CDM kwa kutoa kejeli kwenye vyombo vya habari huo ni usaliti,lakini ili mradi leo kwenye mwananchi ameonyesha kuwa atakuwa mbali na vyombo vya habari hiyo ndio njia sahihi ,kwani Kimya kinalipa
 
Haiseeee watanzani bwana yaani kila mtu siku hizi ni mtatifi, if u have no reseach & data then u don't have the right to speak and comment, mimi ni miongoni mwa friends of zitto kabwe kwenye facebook, na ni kweli Zitto amedelete account yake ya facebook au kama kuna utaalamu wa ziada basi ameihide, yaani hata ukiisearch haionekani, alichobakisha zitto pale facebook kwa public ni page tu ya zitto kabwe, ambayo wewe kazi yako pale ni kulike tu ile page. kwahiyo wapendwa tusipende kuropoka au kumbeza mtu anapotoa mada bila kuwa na uwelewa wa kile mtu alichokiwalisha. NAUNGA MKONO HOJA, NI KWA NINI ZITTO AMEDELETE ACCOUNT YAKE FACEBOOK? ALICHOBAKIZA FACEBOOK NI PAGE TU, NAOMBA ANAECHANGIA MADA HII AWE NA UWELEWA WA HIVI VITU, HAPA HOJA ZA VIJIWE VYA KAHAWA HAZINA NAFASI.
HAPA TUNAHOJI NA KUDADISI, NA HAKUNA MTU WA KUMPANGIA MTU HOJA YA KUHOJI.

Hapo umenena
 
Mbona Zitto alipojiunga hatukuuliza maswali kwa nini Zitto kajiunga na facebook lakini katoka tunauuliza kwa nini katoka facebook.

Kujiunga facebook ni hiari na kutoka ni hiari.
 
amani iwe kwenu ma-great thinkers!

Hii leo gazeti la mwanahalisi limetoa ripoti ya kina kuhusiana na maongezi ya simu ya mara kwa mara kati ya Rostam Aziz na zitto kabwe. Hata hivyo gazeti halikuweza kupata mada waliyokuwa wanaongea akina zitto hivyo limetoa tu muda wa maongezi kati ya watu hao. Mfano zitto akitumia simu no. +255756809535 na rostam no. +255754555555 walifanya mawasiliano tarehe 11/08/2010 saa 7:08, saa 22:09, saa22:28, saa 22:49, saa 22:44 na saa 22:45. Wakati mawasiliano hayo ya simu yanafanyika simu ya zitto ilisomeka kuwa yuko uzunguni, dodoma huku simu ya rostam ikisomeka kuwa yuko area d, dodoma. Pia mawasiliano mengine yalifanyika siku mbili kabla ya kikao cha wabunge wa chadema kule bagamoyo huku simu ya zitto ikisomeka yuko ohio, dar.

Huu ni mwendelezo wa machapisho ya wiki iliyopita kuhusiana na maongezi ya mara kwa mara kati ya zitto na jack zoka (bosi wa tiss).

Hebu tujiulize hivi kweli zitto achukuliwe hatua gani za kinidhamu? Kwa sababu gazeti limemnukuu mama mzazi wa zitto akisema mwanawe ni mkorofi na sii msikivu. Karibu great thinker tujadili.

Tulishasema Zitto yuko kwenye payroll ya mafisadi, sasa la ajabu hapo ni lipi.Si alikuwa anaongea na bosi wake kupanga mikakati kulingana his offer of employment.La msingi ni kwamba he shoudn't be doing what he is doing,it's simply wrong.
 
Duh! watu wengine bwana! Sasa hiki ni kitu cha kutuuliza hapa?

Binafsi mimi i couldn't care less.... lakini mtoa mada alitaka jibu, sasa atauliza wapi.... Zitto ni mmoja wa wana JF.. na hapa ni mahala pazuri pa kuuliza kama mahala pengine LAKINI NAMSHAURI MTOA HOJA ILI AMTUMIE PRIVATE MESSAGE LABDA ATAJIBIWA....
 
Kha!, eti Great thinkers! Kuongea manbo ya udaku na umbea namna hii. Pumba kama hizi zinafaida gani kwa taifa??
 
Kha!, eti Great thinkers! Kuongea manbo ya udaku na umbea namna hii. Pumba kama hizi zinafaida gani kwa taifa??
Where is the mistake there...... humu watu hawaongelei issue za taifa tu.... mtoa hoja ameuliza kwanini hapati information za Zitto kupitia channel ya zitto ya facebook ambayo alizoa kupata hizo information... sasa hapo udaku upo wapi?

Siku hizi kila information ikiwa na neno Zitto mnaona ni negative. JF ni sehemu ya kusaidiana information lakini hapa sasa imekuwa ni sehemu ya kushushiana heshima... (ndio inapobidi kublast mtu sawa, lakini sio hata mtu ambaye hajafanya kosa)
 
Kha!, eti Great thinkers! Kuongea manbo ya udaku na umbea namna hii. Pumba kama hizi zinafaida gani kwa taifa??

Ingekuwa pumba wala usingechangia chochote, angalia hii thread viewers wake wako wangapi? mbona wengine wamesoma tu michango ya wenzao na wakaendelea na hamsini zao? wewe kama nani ujione kwamba mawazo yako ndio mchele na wenzio ni pumba! haya hiyo AVATAR yako ina maslahi gani kwa taifa? mnafki mkubwa wewe.
 
Wapenzi naomba kujua sababu ya zito kujitoa kye facebook, tulizoea kupata information zake kupitia account yake ya fecebook ila kwa sasa haipo kulikoni??

Sababu za yeye kutoka anazijua mwenye nashauri kama umeguswa sana na kutoka kwake umtafute kwa faragha atakupa sababu vinginevyo utarajie umbea tu toka hapa. Labda Zitto mwenyewe aamue kutoa sababu.
 
Where is the mistake there...... humu watu hawaongelei issue za taifa tu.... mtoa hoja ameuliza kwanini hapati information za Zitto kupitia channel ya zitto ya facebook ambayo alizoa kupata hizo information... sasa hapo udaku upo wapi?

Siku hizi kila information ikiwa na neno Zitto mnaona ni negative. JF ni sehemu ya kusaidiana information lakini hapa sasa imekuwa ni sehemu ya kushushiana heshima... (ndio inapobidi kublast mtu sawa, lakini sio hata mtu ambaye hajafanya kosa)

Je unadhani kuna mtu anaweza kuwa anajua sababu za Mheshimiwa kujitoa facebook hapa? Labda kama mtu huyo atakuwa ameteuliwa na Zitto mwenyewe kuwa msemaje wake. Vinginevyo muuliza swali afanye utaratibu wa kuwasiliana na Zitto mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom