Zitto: ACT tunadaiwa milioni 300

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Chama kina miaka miwili tu tayari kinadaiwa milioni 300, hivi kama kingelikuwa na umri kama CHADEMA na vyama vingine kingelikuwa kinadaiwa shilingi ngapi? Pole sana Zitto kuanzisha chama sio tatizo ni kumentain.
# Usione aibu kutubu na kurudi ulikotoka tutakusamehe.
 
Usimkatishe tamaa Zitto, muache apambane ili kupanua demokrasia. Usilazimishe kila mtu akubaliane na kuiunga mkono chadema, nayo ina mapungufu yake.

Anayeihama chadema asiwe adui, bali awe kama chachu ya kuifanya chadema ijikosoe na kujirekebisha.
Akina:-
Mkumbo,
Juliana,
Shibuda,
Abwao,
Binti wa Mashishanga,
Kafulila,
Mwigamba,
Machally,
Mkosamali,
Ole Medeye,
e.t.c
wote hawa ni wajinga?
 
Jamani leo nimepita ofisi zao nilicho kikuta kinasikitisha kabisa
20161228_115937.jpg
 
CHADEMA mrudisheni Zitto, atakuja na watu mpambane pamoja
(Japo atakuja na madeni pia si mbaya)
Anayeweza kurudi ni mwanachama aliyeondoka mwenyewe kwa ridhaa yake kama Kafulila. Zitto alivuliwa uanachama akakimibilia mahakamani ambako napo alikwaa kisiki. Sina hakika kama anaweza kurudi ijapokuwa katika siasa hakuna lisilowezekana.
 
Mumfikirie jaman yule bado mtu mzuri tu
Nadhan vyama viwili vikikaa mazungumzo yakafanyika muafaka utapatikana tu.
Wapinzani inabid wawe kitu kimoja
 
Back
Top Bottom