Itaendaje na bajeti yao wakati haina uwezo wa kupata ruzuku ya kutosha kutoka kwa serikali na haina vyanzo vya maana vya mapato? Bado hutakiwi kuilaumu ACT, pamoja na kuwa mimi si mshabiki wa ACT kindakindaki lakini ninaweza kusema ACT ni chama makini sana na kinaendeshwa kisayansi zaidi ya hata Maini political Parties ambazo zipo miaka 50, na 20 respectively. CCM wapo miaka zaidi ya 50, NCCR,CHADEMA na wengine wapo zaidi ya miaka 20 pamoja na kupewa ruzuku nyingi lakini hatujui hata matumizi yao na hivyo hatujui kama wanadaiwa ama hawadaiwi.