Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,311
- 859,834
Unafahamu paka anachofanya anapojifungua watoto wake?hula mmoja kurudisha nguvu kisha wale wengine ndio huwatafutia chakula..kwenye ruzuku huwa kuna kujikopesha nguvu [emoji15] [emoji3]Ruzuku na ada za wanachama zinafanya kazi gani? vinginevyo chama kitakufa.