dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
Arudi ccem tuZitto ataenda wapi?
Arudi ccem tuZitto ataenda wapi?
Sijaelewa vizuri mkuu, CCM waliwakopesha ACT?
Waliwapa landcruiser kibao.Sijaelewa vizuri mkuu, CCM waliwakopesha ACT?
Ili chama kije kiipite chadema lazima kiipinge piaKwani ACT nacho ni chama cha upinzani,maana upinzani unakipinga CCM lakini ACT inawapinga wapinzani asa CHADEMA
Si ni yeye kipindi akiwa mwenyekiti wa PAC alikomaa CAG akague hesabu za ruzuku za vyama vyote.Acha asomee No za Kirumi.Pia ni mbinu ya maandalizi kukwepa panga la CAG
Seesaw theorySi ni yeye kipindi akiwa mwenyekiti wa PAC alikomaa CAG akague hesabu za ruzuku za vyama vyote.Acha asomee No za Kirumi.
Mungu atasaidia atalipaChama kina miaka miwili tu tayari kinadaiwa milioni 300, hivi kama kingelikuwa na umri kama CHADEMA na vyama vingine kingelikuwa kinadaiwa shilingi ngapi? Pole sana Zitto kuanzisha chama sio tatizo ni kumentain.
# Usione aibu kutubu na kurudi ulikotoka tutakusamehe.
Yaani hawa vijana wa CDM unafikiri wanajua lolote hivi kuna tatizo gani kudaiwa?Balance Sheet yake ikoje?Mali za Chama zikojeMadeni kawaida na huku act wanaweka wazi sio huko kwenu yte anayajua mbowe halafu anajilipa mwenyewe
Akifute chama kwa msajili aanzishe chama kingine, akifuta chama na deni linafutika
Hapo mimi sijaona tatizo kwani kuna chama gani kisichodaiwa hapa TANZANIA?
Kwani ACT nacho ni chama cha upinzani,maana upinzani unakipinga CCM lakini ACT inawapinga wapinzani asa CHADEMA
Zitto ataenda wapi?
Wewe chama chako ni kipi ambacho hakidaiwi? Maana kuna vyama tunavijua Mwenyekiti huwa ndio anakikopesha chama na anajilipa mwenyewe kupitia ruzukudirisha la usajiri lipo wazi
team ACT wangemuuza zitto kwa team CCM ili kupata fedha za kulipa madeni....
Ni kheri kudaiwa kuliko kununuliwa na lowasa au kufadhiliwa na ccmChama kina miaka miwili tu tayari kinadaiwa milioni 300, hivi kama kingelikuwa na umri kama CHADEMA na vyama vingine kingelikuwa kinadaiwa shilingi ngapi? Pole sana Zitto kuanzisha chama sio tatizo ni kumentain.
# Usione aibu kutubu na kurudi ulikotoka tutakusamehe.
m bowe anaidai Chadema milioni 400Wote wachumia tumbo na mwenyekiti wao ni kabwe.Alizoea vya kunyonga enzi ya JK.Sasa hv ni vya kuchinja tu.Na bado hajaisoma vizuri.
Ruzuku na ada za wanachama zinafanya kazi gani? vinginevyo chama kitakufa.
kwan walitimiza vigezo vya kupata ruzuku?Ruzuku na ada za wanachama zinafanya kazi gani? vinginevyo chama kitakufa.
Ndio!Usimkatishe tamaa Zitto, muache apambane ili kupanua demokrasia. Usilazimishe kila mtu akubaliane na kuiunga mkono chadema, nayo ina mapungufu yake.
Anayeihama chadema asiwe adui, bali awe kama chachu ya kuifanya chadema ijikosoe na kujirekebisha.
Akina:-
Mkumbo,
Juliana,
Shibuda,
Abwao,
Binti wa Mashishanga,
Kafulila,
Mwigamba,
Machally,
Mkosamali,
Ole Medeye,
e.t.c
wote hawa ni wajinga?
Wazee Wa Tulisemaaa........Tuliongeaa, Huwa HamkosekaniWafadhili wamekitosa tuliliongea hili kabla ya uchaguzi tukapewa majina mabaya