Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
ACT ni chama kilichoundwa katika misingi ya USALITI.
Mwaja 2015 ACT Wazalendo iliweka wagombea ubunge na udiwani majimbo yote nchi nzima (kwa fedha kutoka wapi?); mwaka 2020 kinaweza kushindwa kuweka wagombea ubunge na udiwani majimbo yote nchi nzima kama hatajitokeza mfadhili kama yule wa mwaka 2015. Leka tutigite!!Subiri uone 2020 mambo yatakavyokuwa
Kigezo ni kuwa na mbuge, ila wao wana council huko Kigoma wanaiongoza.kwan walitimiza vigezo vya kupata ruzuku?
Punguza bang, acha kukaa kwa shemeji yako mkuu.Wewe mzima kweli?
Hiyo kalidirisha la usajiri lipo wazi
team ACT wangemuuza zitto kwa team CCM ili kupata fedha za kulipa madeni....
kwani unaona wana akili hao?Usimkatishe tamaa Zitto, muache apambane ili kupanua demokrasia. Usilazimishe kila mtu akubaliane na kuiunga mkono chadema, nayo ina mapungufu yake.
Anayeihama chadema asiwe adui, bali awe kama chachu ya kuifanya chadema ijikosoe na kujirekebisha.
Akina:-
Mkumbo,
Juliana,
Shibuda,
Abwao,
Binti wa Mashishanga,
Kafulila,
Mwigamba,
Machally,
Mkosamali,
Ole Medeye,
e.t.c
wote hawa ni wajinga?
Siyo vibaya ukamuuliza bibi yako ndiyo ananihudumiaWewe mzima kweli?
Nimeshapata jibu,Punguza bang, acha kukaa kwa shemeji yako mkuu.
Siyo vibaya ukamuuliza bibi yako ndiyo ananihudumia
Sijaelewa ulichoandika, "kumilik chumba cha kodi laki nchi nzima" ndiyo nini?Nimeshapata jibu,
ila labda nikuulize wewe unatakiwa kuwa na bei gani kumilik chumba cha kodi laki nchi nzima mpaka wilayani alafu upige hesabu ya hiyo ruzuku uone Kama itatosha
Ukija kwa nidhamu utajibiwa kwa nidhamu, vinginevyo kinyume chake. Hapa tunashindana kwa hoja siyo maneno ya kihuni.Si kosa lako,
Mazingira uliyokulia yanaweza yakawa sababu.
Sijaelewa ulichoandika, "kumilik chumba cha kodi laki nchi nzima" ndiyo nini?
Ma-ccm yenyewe majanja ukiwa unayadai yanakupa maji ili upunguze hasira! Ukishakunywa tu imetoka hiyo!Hata CCM wana madeni
We unaonaje?Usimkatishe tamaa Zitto, muache apambane ili kupanua demokrasia. Usilazimishe kila mtu akubaliane na kuiunga mkono chadema, nayo ina mapungufu yake.
Anayeihama chadema asiwe adui, bali awe kama chachu ya kuifanya chadema ijikosoe na kujirekebisha.
Akina:-
Mkumbo,
Juliana,
Shibuda,
Abwao,
Binti wa Mashishanga,
Kafulila,
Mwigamba,
Machally,
Mkosamali,
Ole Medeye,
e.t.c
wote hawa ni wajinga?