Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

Zitto Zuberi Kabwe mzee wa fursa. Kati ya vijana wajanja nchini nampa heko huyu jamaa kwenye tasnia ya Siasa. Ni sawa na Diamond platinumz kwenye muziki.

Kama vijana inabidi kuwa na macho ya kuona na kuchangamkia fursa kama huyu jamaa. Haibi, haui, hadhurumu kwa nini tumchukie.

Haki kwenye jamii inapatikana kwa kila mtu kuwajibika. Sio kumsubiria mtu kama Zitto atusemee. Big up Zitto
 
Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.

Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na kumwaga kwenye wali. Wapinzani wanapokataa kushiriki uchaguzi wowote hadi tume, huru yeye ni wakwanza kushiriki uchaguzi. Kwa kifupi ni mbinafsi ambaye haeleweki. Zitto anatumika

Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.

Huyu tu ni Kitengo cha CCM. Anatuadaa. Tumkatae na tukimuendekeza, kiu yetu ya TUME huru itabakia kuwa ndoto. Watanzania itabidi tumdhibiti huyu YUDA ISKARIOTI

lakini mlishirikiana nae uchaguzi uliopita, sasa mmebaki kulaumu tena! Kura za ukawa ziliwadanganya sana kwamba chadema ina nguvu, nyie ni kopo tu mngejua
 
Zitto Zuberi Kabwe mzee wa fursa. Kati ya vijana wajanja nchini nampa heko huyu jamaa kwenye tasnia ya Siasa. Ni sawa na Diamond platinumz kwenye muziki.

Kama vijana inabidi kuwa na macho ya kuona na kuchangamkia fursa kama huyu jamaa. Haibi, haui, hadhurumu kwa nini tumchukie.

Haki kwenye jamii inapatikana kwa kila mtu kuwajibika. Sio kumsubiria mtu kama Zitto atusemee. Big up Zitto
Chaggadomo bana
 
Kwani Mpinzani wa Mpinzani sio Mpinzani wa Mpinzani ?

Tatizo Bongo Vyama havina Ideology..., vyama ni platform tu ya kupata Uongozi..., Ndio maana mtu anaweza kuhama CCM to CHADEMA to ACT to CUF akiwa na ideologies zile zile
 
Back
Top Bottom