Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

Nafurahi sana kuona battle za hawa mafahali wawili hata siku moja mwanafunzi aliyesoma udsm sio rahisi kuikubali UDOM kutokana na hivyo hata wanafunzi wa UDOM huwa inawawia vigumu sana kuikubali UDSM kutokana na kejeli na ufahali na kujiona kwa wana udsm, hii imepelekea hata kufanya vibaya wawapo field ikiwamo kukataliwa baadhi ya maeneo kufanya field kutokana na majivuno waliyonayo huku wakijikuta hawafanyi vizuri kazi wanayotakiwa kuifanya

Samsung note7
 
Ahsante sana kwa Ufafanuzi wako mzuriiiii
 
usikariri kitabu ata TCU wameonesha hayo ss unataka ulazmishe udom na us view suti dogo hiyo haiwezekan.ndoana rank ya afrika ud na udom vinafanana??wew na hao wanaorank nan eanatumia vigezo zaid??au kwakua ukiangalia majengo yanarang murua unahis ndo pako juu.hamna graduate utakaemlazimisha kuamin hill lako LA udom kukikaribia us kitaaluma.is to she matuitor karibu wote ni product za udsm.habiel luvanda,peter temu in matuitor pale na nimesoma nao BT product kubwa ya malecture udsm no professors and doctors.kubali yaishe chalii

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Wewe ni product ya UD au bado unasoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesoma udom become in marketing nakijua vzr ni chuo kizur sana hakuna coz ngumu udom kama hizi become marketing, account, finance kama hauko vizuri usiappply utadisco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom