Zitambue sababu za Kwanini usome UDOM?

JE WAJUA?

Je wajua product za udom hukubalika maofisini* field na kazini?

JE WAJUA, UDOM pekee ndo chuo kinachodahili koz nyingi zaidi mwaka huu, kinadahili Coz 80...

Pia Ni chuo kikubwa Afrika Mashariki na Kati na Kusini mwa Jangwa la Sahara...

Ndani ya Chuo kiuu cha Dodoma kuna wizara nane za nchi hii, including... wizara ya Elimu, Utumishi, Mali asili, Sheria, na zinginezo

Je wajua UDOM ni chuo pekee chenye hostel za kutosha wa2 wote kwa miaka yote uwapo chuon? ni kwa sh laki moja na 69 tu...

Je wajua udom inamiak 10 toka kuanzishwa kwake? Na chuo kinachokuja kwa kasi.zaidi Africa!

Je wajua collage za udom ni best in Africa? Like cive, walitengeneza celiot ikashika namba 1 Africa! Cnms wametengeneza kifaa cha kutunzia watoto ambao hawajafika(pre mature) wamegundua species za samaki(miaka 10 ya udom)

Je wajua chuo udom hupata nafasi nyingi za field direct kutoka kwenye institutions?

Je waijua college of business na law?

Je waijua collage of natural and mathematical science coz ya bsc in aquatic science??

Je wajua udom pekee TZ hutoa bachelor of science in mathematics & bachelor of science in statistics pia BIOLOGY ?

Je waijua udom ndio chuo best Tz Mwaka 2017 chenye miaka michache toka kuanzishwa?

Je wajua udom imepata nafasi nying za uteuzi wa viongozi wa nchi? Kama mawaziri, madc, maRc? n.k,

Je wajua udom ndio jicho LA Tz kwa sasa? Kama ilivyikuwa ud zamani,

Je wajua udom huongoza kuwa na library za kisasa! Mfano cive inalibrary Tz nzima ambayo hakuna chuo chenye hiyo library inayofanana?

Je wajua kila collage inalibrary Yake?

Je wajua udom.sr? Ni student records ambazo record zako zote hutunzwa online kama matokeo, taarifa za muhimu uchaguzi wa chuo(udoso election) course evaluation ambapp unamjudge lecture aliyekufundisha hapo n.k
Na hii iliundwa na wanafunzi.

Karibu udom kwa matokeo chanya, njoo upate maarifa yatakayokufanya vizuri katika ajira Tz

Karibu ujenge Historia, na utimize ndo zako hapa UDOM
Kumbe mnasomaga kwa ajir ya kutfta ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom