24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
kwan chuo kikuu ni ikulu ama mbona unaleta ushamba hapa...
kwan chuo kikuu ni ikulu ama mbona unaleta ushamba hapa...
hahahaaaa hujui unaongea na nani thats why waropoka.wewe kijana wachaa u*** wako hapaa hiyo UDOM itakuajili baada ya kumaliza. ..?? Wachaa ligi zisizo na msingi angalia maisha yako yatakuaje baada ya kumaliza hapoo. ..utakuwa first year ww ndo mana unaongea urojo hapaa. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu wa maisha how na how can I apply. Nina D 3 na B 1 naweza pokelewa.Point ya msingi hapa may be ungeshauri waapply Udom kwasababu ya ugum wa maisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sanaUDOM bana..someni vijana
yap unapokelewaUgumu wa maisha how na how can I apply. Nina D 3 na B 1 naweza pokelewa.
hahahaaaa kwa sababu ni chuo bora kwa sasa,Point ya msingi hapa may be ungeshauri waapply Udom kwasababu ya ugum wa maisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ww sio kilaza, ww genious
Garama za certificate na hostel kwa course ya IT per year.yap unapokelewa
kwa sababu ni chuo kikubwa kinahitaj wa2 wengi sanaaaaaa, sio vingine havina hata hostel na makazi
Nimeshangaa mwandiko wako. Yani mpaka chuo kikuu huwezi kuandika vizuri maneno ya kiswahili!? Vizuli ushauli ndo nini?kwan chuo kikuu ni ikulu ama mbona unaleta ushamba hapa...
sorry ww umemaliza 6 au 4?Garama za certificate na hostel kwa course ya IT per year.
nadhani ujiandae kuumia sana moyo kwa sababu ya ujio wa kasi wa UDOM
nitajie statement moja tu niliyodanganya wa2
Nilimaliza 4 mwaka 2014 nikapata d 2 na mwaka 2016 nikarisit nika pata b na d .sorry ww umemaliza 6 au 4?
mtu anaweza kuish kwa 2000, pia hostel 167K per year, hamna chuo kinacholipa hivi
Undergraduate mnapigia upatu chuo chenu ili msidharaulike mtaani? Kijana kwa Tz hii usipoenda SUA, MZUMBE na UDSM ww tunakuona upo sawa tu na wale wanaosoma Hombolo na CBEnadhani ujiandae kuumia sana moyo kwa sababu ya ujio wa kasi wa UDOM
ingia www.udom.ac.tzNilimaliza 4 mwaka 2014 nikapata d 2 na mwaka 2016 nikarisit nika pata b na d .