Zipi ni Software bora za windows kwaajiri ya Video & Audio Production?

JZHOELO

Senior Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
196
Reaction score
362
Habari zenu ndugu zangu, kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta software ya windows platform ambayo ni rahis na inaweza kuedit na create movies au music videos, nimejaribu kutumia power director, vegas pro bila mafanikio mazuri kwani speed na kuna ugumu kiasi, kwa uchunguzi nikakumbana na final cut ila iko katika platform ya mac.

Imenibidi niulize na kuomba ushauri maana nahitaji kuandaa video(professional ili ku-upload youtube) zenye quality nzuri maana camera ninayotumia ni nzuri mno.naomba ushauri na ujuzi kuweza kuitambua software hii maana nipo anxious sana..,bare in mind only in windows platform wakuu.
 
kama POWERDIRECTOR imekushinda hutapata rahisi kushinda hio maana ndio video editor rahisi huku ikiwa na features nyingi. cha muhimu jifunze hizo ulizonazo usitafute software nyengine
 
mkuu kwema? hivi unaweza kutumia powerdirector kuondoa sound noise katika video?
Naomba muongozo wa kuondoa makelele katika video, napata usumbufu sana katika kazi ninayoianza
 
mic yako ni nzuri? maana hapo ni pa kwanza, pia hio sauti huwezi kuitoa na kueka nyengine?
 
Sound tumia cool edit au adobe audition.. Kwa video..adopbe premiere cs6 ya windows Sijui kama utaziweza unaonekana kilaza wa editing.
 
sawa mkuuu nimekulewa sana. kwa maana hii sasa itanibidi nijipange sana maana camera yangu haina boom mike, kamera ndogo tu hii ya mkononi, N50 sony haina kiwango kama hizi za kisasa zaidi.
Nahukuru kwa mwongozo. Ila ningependa kujua kwa budget ya Tshs milioni 1 naweza pata DSLR mpya kabisa?
mkuu mic ni muhimu sawa na camera, ukirecord vibaya sauti na ikawa na ubora mdogo itakuwa ngumu hata kurekebisha na software
 
sawa mkuuu nimekulewa sana. kwa maana hii sasa itanibidi nijipange sana maana camera yangu haina boom mike, kamera ndogo tu hii ya mkononi, N50 sony haina kiwango kama hizi za kisasa zaidi.
Nahukuru kwa mwongozo. Ila ningependa kujua kwa budget ya Tshs milioni 1 naweza pata DSLR mpya kabisa?
unaposema haina boom mic sijaelewa unamaanisha port fulani? hakuna hata port kama ya earphone ambayo ni kwa ajili ya mic?
 
sawa mkuuu nimekulewa sana. kwa maana hii sasa itanibidi nijipange sana maana camera yangu haina boom mike, kamera ndogo tu hii ya mkononi, N50 sony haina kiwango kama hizi za kisasa zaidi.
Nahukuru kwa mwongozo. Ila ningependa kujua kwa budget ya Tshs milioni 1 naweza pata DSLR mpya kabisa?
dslr za chini ya milioni zipo ila sijui huko madukani kama zipo. unaweza agizia online?
 
mkuu siwezi, najikusanya kwanza ndio nione namna ya kununua hapa hapa bongo.

Anyway, naomba unisaidie namna ya kupata editing software ya power producer, imenisumbua sana mtandaoni naona ina mb zaidi ya 400 na imeshindwa kufanya kazi kwenye pc yangu..

nimeshindwa kuielewa
 
specs za pc yako zipoje?
 
mkuu kwema? hivi unaweza kutumia powerdirector kuondoa sound noise katika video?
Naomba muongozo wa kuondoa makelele katika video, napata usumbufu sana katika kazi ninayoianza
Premiere mjomba
 
Mkuu kwa MAC tumia final cut na kwa Window tumia adobe premiere hizi ndio kiboko.
Ni ngumu lakini komaa nazo tu.
 
Back
Top Bottom