Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
poa poa wakuu nimewaelewaMkuu kwa MAC tumia final cut na kwa Window tumia adobe premiere hizi ndio kiboko.
Ni ngumu lakini komaa nazo tu.
Ila space ya adobe hiyo hmm mpaka nifute vitu vingi mno
naianzia kazi aisee