mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,168
FAIDA NDOGO
kwenu wapinga ukweli
Allah aliposema
نسائكم حرث لكم،فأتوا حرثكم أنى شئتم
Kuna faida kuu mbili
1)Mola wetu alietukuka,amewafananisha wanawake na mfano wa shamba
Shamba hutoa matunda yenye manufaa kwa wanaadam,na ikiwa shamba halitoe matunda,basi hilo si shamba,bali ni pori/msitu/jangwa
2)Mola akutumie tena neno hili(أنى),kwakuwa Quraan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu,Basi tuwaulize wenye lugha maana na matumizi ya neno hili(أنى)
Wasomi wa Lugha wanatoa moja ya maana zake ni كيف au كيفية
Tukiangalia mwanzo wa aya na mwisho wake
Tunafaidika kwa haya
Wake zetu,tunapaswa kuwaendea kwa style tunatoka,muda wa kuwa,sehemu tunayoingia,pawe na matunda na faida
na Mtt ni tunda kwako na faida kwa wote
swali
Sehemu ya nyuma
Kuna weza kweli kuwa na faida,na kututolewa matunda mazuri?!!
au ni uchafu tuu
Kabla ya aya hii
Tazama aya ya juu yake
Allah anasema
( ويسألونك عن المحيض قل هو أذى فاعتزلوا النساء في المحيض ولا تقربوهن حتى يطهرن فإذا تطهرن فأتوهن من حيث أمركم الله إن الله يحب التوابين ويحب المتطهرين ( 222 )
Na wanakuuliza kuhusu Hedhi(mwanamke anapokuwa siku zake)Sema kwa kuwaambia,ni uchafu,na jiepusheni na wanawake wanapokuwa siku zao,na wala msiwakurubie mpaka watakapotakasika,na pindi wakitakasika,basi waendeeni pale mlipoamrishwa na Mola wenu,Hakika ya Allah anawapenda wenye kutubia(kuomba msamaha)na anawapenda wale wenye kujitakasa(na mambo machafu)
Tumeamrishwa tuwaendee wake zetu,pale tulipoamrishwa
na tumeamrishwa,tuwaendee pale panapotoa faida na matunda,
nayo ni sehemu ya mbele ya mwanamke
Na Mtume wetu sala na salamu ziwe juu yake anasema
وهو في صحيح الجامع 5865 بل إن النبي صلى الله عليه وسلم قال : " من أتى حائضا أو امرأة في دبرها أو كاهنا فقد كفر بما أنزل على محمد "
Yeyote mwenye kumuendea mwenye hedhi au mwanamke kinyume na maumbile au akamuendea mpiga ramli(mshirikina)Basi hakika amekufuru yale aliyoteremshiwa Mohammad sala na salamu ziwe juu yake
akasema tena
ملعون من أتى امرأة في دبرها " رواه الإمام أحمد 2/479
amelaaniwa mwenye kumuendea mke wake kinyume na maumbile
Kiujumla
Kufanya kitendo cha kumuendea mkeo kinyume na maumbile,ni tendo la laana na hufaaa kukemewa vibaya sana
Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe kwa ajili ya DHAMIRA NJEMA Aliyo Kuumbia ndani yako, Muumba wetu unaamini ulicho Andika Ubarikiwe
Nina Shaka yule ambaye allah ameagiza kwamba ni Kigezo chema kwenu ili mkitaka kufuzu mumgeze
ona hizi hadith
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini ushauri umetoka kwa mkewe bi Sarah
baada ya hapo akakusanya nguo zake akakimbia..rejea kitabu maisha ya Nabii Muhammad uk.24 mtunzi qadi shehe Abdalla Salehe farsi
wee mkubwa Masudi bro