masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Wewe unakula nguruwe kwa amri gani ikiwa Mungu alimkataza Musa ?Halija pita hadi Leo alio waagiza hawali wala kugusa mzoga wake [emoji117] View attachment 1001209 [emoji117] View attachment 1001211 ila kuna kiumbe alimbishia Mungu na karuhusu nyama ya nguruwe iliwe mpaka mzoga [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app