Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.

Nimefuatilia kiasi post zako na unaojibishana nawo,
Nimeguduwa lipo tatizo kwanza la kuelewa ni vipi mafundisho ya uislam yalivyokuwa yakiufikia umma,
Mafundisho ya Uislam yalitufikia kwa njia. Kuu mbili tu,
Njia ya kwanza ni WAHAYI na njia ya pili ni ILHAM.
1. WAHAYI = tunapata Qura'n (kupitia Malaika JIBRIL( ROHO TAKATIFU)
2. ILHAM = tunapata hadithi( kupitia MAONO)
Na mafundisho juu ya dini ktk njia zote hizo mbili yametoka kwa Allah.kama alivyo fahamisha ktk quran 53: 3-4
وما ينطق عن الهوى (٣)
Hasemi huyo mtume(s.a.w) kwa kujifurahisha tu( ktk masula ya dini)
إن هو إلا وحى يوحى (٤)
Isipokuwa hicho asemacho ni wahyi( uteremsho kutoka kwetu).
Sasa suala la ndoa ya Mut'ah alioruhusu ni Allah kupitia kwa mtume wake kwa njia ya ilhamu na mtume akawaruhusu waislam wa pale vitani aliokuwa nao sio wale waliobaki majumbani, pia Allah akaharamisha kwa njia ya ilham kwa kupitia kwa Mtume wake aliposema
إني كنت أذنت ألإستمتاع من النساء ، وإن الله قد حرم ذلك إلى بيم القيامة
Nilitoa ruhusa ya kujistàrehesha( kwa ndao ya muda mfupi muta'h, na hakika Allah ameharamisha hilo kuanzia leo mpaka siku ya qiyama.
Kwa hiyo alilo kwisha haramisha Allah kupitia kwa Mtume(saw)ni HARAMU kwa kila anaejiita Muislam, na kama yupo yeyote, anadai ili
halalishwa basi na anywe pombe maana awali waislam walikuwa wakinya pombe na mtume akiwepo na huku wakiendelea kufanya ibada zao, mpaka ilipokuja haramishwa, pia ni sawa na swala la Muta'h. mtu asinganganie mut'ah. Na pombe ahalalishe ktk hayo madhehebu yake.
Sent using
Jamii Forums mobile app