Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Nadhani uumeamua kuniambia kuwa huna aya inayokanusha nilichokiandika. Siku hizi kuna translation tools nyingi tu (nimekuambia kutojua Kiarabu siku hiz sio shida tena). English translation ya hicho ulichokileta ni hii:

And protections of women, except that what is in your possession is the Book of Allah upon you, and I will make it lawful for you beyond that, that you may seek your wealth, fortified, not traveling, which ye have enjoyed.

Sasa hebu linganisha na hizo tafsiri ulizoleta, kuna uhusiano gani na aya hii??
We jamaa nimgeundua ni mgumu wa kuelewa kuliko unavyojijua! Aya zote na tangu siku ya awali nimekupatia aya zinazotaja ni mwanamke gani unawea kuoa na kwa namna ipi na yupi huwezi kuoa! Sasa wewe unataka aya za kukanusha nini? Wewe ukadai kwamba Quran 4:24 inasema:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
With confidence, nimekuambia mara kadhaa hapa kwamba WEWE NI MUONGO NA UNAPUMUA UONGO tofauti na Jehova unayedai unamfuata, na nimekutaka kama sio MUONGO, basi weka hapa FULL verse ya hiyo Aya uliyosema ni ya Quran! Hoja yangu mimi na wewe ndo hiyo... nimekuambia uniwekee haya na sio mwanadamu gani kasema nini kwenye blog gani!!

NARUDIA, weka hapa hiyo Aya vinginevyo, SHUHUDIA MBELE YA YULE UNAYEMUAMINI ULIPOTOKA NA KUSEMA UONGO kisha ungama!

For what I know, umeshindwa kujibu swali langu na unachofanya ni kupoteza muda wangu! But again, kaungame kanisani kwa kusema uongo kwa sababu nikukumbushe tu kwamba, kitabu unachokiamini kupitia Mithali 12-15 kinasema:
Tazama! Ninakuja upesi, nikiwa na thawabu ninayotoa, ili kumlipa kila mmoja kulingana na matendo yake. Mimi ndiye Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho. Wenye furaha ni wale wanaofua kanzu zao, ili wawe na mamlaka ya kwenda kwenye miti ya uzima na waweze kuingia katika jiji kupitia malango yake. Nje kuna mbwa na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati,* wauaji, waabudu-sanamu, na kila mtu anayependa uwongo na aliye na mazoea ya kusema uwongo.
Ndugu, acha kuwa muongo, na kwavile tangia majuzi umekuwa ukipumua uongo kwenye suala hili, basi kaungame ili Alfa na Omega akufungulie milango ya kuingia kwenye jiji lake vinginevyo utabaki nje ukiwa pamoja na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati, wauaji, pamoja na waabudu-sanamu!
 
We jamaa nimgeundua ni mgumu wa kuelewa kuliko unavyojijua! Aya zote na tangu siku ya awali nimekupatia aya zinazotaja ni mwanamke gani unawea kuoa na kwa namna ipi na yupi huwezi kuoa! Sasa wewe unataka aya za kukanusha nini? Wewe ukadai kwamba Quran 4:24 inasema: With confidence, nimekuambia mara kadhaa hapa kwamba WEWE NI MUONGO NA UNAPUMUA UONGO tofauti na Jehova unayedai unamfuata, na nimekutaka kama sio MUONGO, basi weka hapa FULL verse ya hiyo Aya uliyosema ni ya Quran! Hoja yangu mimi na wewe ndo hiyo... nimekuambia uniwekee haya na sio mwanadamu gani kasema nini kwenye blog gani!!

NARUDIA, weka hapa hiyo Aya vinginevyo, SHUHUDIA MBELE YA YULE UNAYEMUAMINI ULIPOTOKA NA KUSEMA UONGO kisha ungama!

For what I know, umeshindwa kujibu swali langu na unachofanya ni kupoteza muda wangu! But again, kaungame kanisani kwa kusema uongo kwa sababu nikukumbushe tu kwamba, kitabu unachokiamini kupitia Mithali 12-15 kinasema: Ndugu, acha kuwa muongo, na kwavile tangia majuzi umekuwa ukipumua uongo kwenye suala hili, basi kaungame ili Alfa na Omega akufungulie milango ya kuingia kwenye jiji lake vinginevyo utabaki nje ukiwa pamoja na wale walio na mazoea ya kuwasiliana na roho, waasherati, wauaji, pamoja na waabudu-sanamu!

Aya = verse.
 
Nadhani uumeamua kuniambia kuwa huna aya inayokanusha nilichokiandika. Siku hizi kuna translation tools nyingi tu (nimekuambia kutojua Kiarabu siku hiz sio shida tena). English translation ya hicho ulichokileta ni hii:

And protections of women, except that what is in your possession is the Book of Allah upon you, and I will make it lawful for you beyond that, that you may seek your wealth, fortified, not traveling, which ye have enjoyed.

Sasa hebu linganisha na hizo tafsiri ulizoleta, kuna uhusiano gani na aya hii??
Naomba unifumbue macho Mkuu
ni kipi unataka kutufundisha?!

Huenda tukakufuata na kukuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaa kwa hiyo muhindi kupigwa mjengo na mluguru bila kumuoa ruksa sababu ni muhindi...hebu masudi fundisha kama mjuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa ufahamu basi unaambiwa ruksa imetoka kwa Mungu mwenyewe hakuna zinaa hapo, Ibrahim alipewa ruksa na mkewe akamtafuna kijakazi wake na Mungu akatulia tuli tena ameridhika na jina la mtoto likatoka kwa malaika wa bwana, iweje ruksa ya Mungu sisi waislamu kula vijakazi wetu wa vita wewe utoke povu
 
Ndio sababu ALLAH SIE KABISA huyu allah aliye ruhusu View attachment 1001237 hebu soma na hii View attachment 1001238 asante masudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha kadanganye watoto wenzako , humu vitu vya kuokota sio mahali pake, halafu uwa unaleta hadithi za uongo ili upate kitu gani , lakini sishangai kama Mungu wako ndio huyu aliesemwa mpumbavu na DHAIFU , wewe sio kosa lako

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu",

Ahahahahaaaahahhahhaaha unaleta hadithi azina chanzo sijui abdullah bin nani ata chanzo cha uongo pia umekosa, unakuja na tafsiri zako unaita hadithi , hapa ni kitabu na namba ya hadithi , wala sio tafsiri zako
 
Nd
Upo sahihi dini haichukuliwi hivyo. Ndio kama hao mashia na ndoa zao za mutaa. Mutaa ni zinaa tu wanaificha kama ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu chilebi elim ya din ya kiislam haipo hivyo unavyoichukulia kujifanya wewe ndio upo sahihi na kuwakufurisha wenzio..mtume wa allah kwa kauli yake amesema"umma wake utagawanyika makundi 73,,,wewe ni nani unaepinga hili."ktk hayo ni moja tu litakaloongoka ambalo litakaloshikamana na quran na suna...ktk uhai wake mtme wa allah ameacha makundi 2,,muhajirina na answar.na makundi haya walikua wakitofautian..na wala mtume hakuwahi kuwaambia kundi hili ni la moton..kwa maana bin adam ndivyo tulivyo tofauti ya uelewa na mitazamo ndio asili yetu.
 
Hakuna aya ulotoa ilohalalisha mutaa au Kuamrisha watu waoe mutaa, you know all words which are used to command... tuonyeshe katika hiyo quotation yako . Hakuna Amri au demand ya kuamrisha sasa katazo lilikuja katika hadithi nyingi tu za Mtume SAW. Kama mutaa ni halali mtume asingewahukumu wazinifu si wangelipana tu na wamekubaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shekh usikitolee hukum kitu ambacho huna ujuzi nacho..ukweli upo wazi kua ndoa za mutaa zilifanyika nyingi tu wakati wa mtume wa allah..na alieruhusu ni mtume..kipindi alichoruhusu ilikua wakati wa vita.na aliwaambia maswahaba zake ndoa hizo zisiwe zaid ya siku tano.uelewa wa watu unatofautiana.baadhi yamaswahaba waliitafsiri kauli yake kwa mitazamo 2 tofauti.kundi la kwanza liliona ameiruhusu..na kundi la pili waliona ameiharamisha..na kauli ya mtume ni hii""hakika mimi nimehalalisha ndoa ya kukatisha...ila allah ameizuia mpaka siku ya kiama"
 
Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".

Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
hii si halal na mtume Mohamad s.a.w alikataza kitu hicho na vizuri kujua kabla ya majirio ya hizi dini christian na islam , watu walikuwa wanaabudu vitu vyao vingine hivyo kuna baadhi za dini zikabeda mambo ya kale na kuyatia katika dini mfano christmas day na ukristo hii sherehe ilikuwepo kabla ya ukristo ila leo tunaambiwa inahusiana na dini,vivyo hivyo hii nikah mutah ilikuwepo katika jamii za kiarabu hata kabla ya uislam ndiyo Shia muslim wakaiingiza katika dini,,NIKAH NI ZINAA TU KAMA ZINAA NYINGINE,angalia tafasiri yake,ni makubaliano ya siri baina ya mwanaume na mwanamke wenyewe wawili ,hapo ni uhawara,Ndoa ni makubaliano ya wawili iwepo mahali hata ya mdomo tu na awepo shaidi wa pande mbili akiambata na muozeshaji hiyo ndiyo ndoa pasi na hapo ni zinaa
 
Nd

Ndugu chilebi elim ya din ya kiislam haipo hivyo unavyoichukulia kujifanya wewe ndio upo sahihi na kuwakufurisha wenzio..mtume wa allah kwa kauli yake amesema"umma wake utagawanyika makundi 73,,,wewe ni nani unaepinga hili."ktk hayo ni moja tu litakaloongoka ambalo litakaloshikamana na quran na suna...ktk uhai wake mtme wa allah ameacha makundi 2,,muhajirina na answar.na makundi haya walikua wakitofautian..na wala mtume hakuwahi kuwaambia kundi hili ni la moton..kwa maana bin adam ndivyo tulivyo tofauti ya uelewa na mitazamo ndio asili yetu.
naomba ufafanuzi katika kauli yako hii Chief

Kwamba Mtume,aliwaacha Maswahaba wakiwa katika makundi 2
1)Ansaar
2)Muhaajiriin

Na hakusema kuwa kundi hili ni la motoni

Kwa mantiki yako Bro
Haifai kusema watu fulani wamepotea au nimekuelewa vibaya Braza kaka?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shekh usikitolee hukum kitu ambacho huna ujuzi nacho..ukweli upo wazi kua ndoa za mutaa zilifanyika nyingi tu wakati wa mtume wa allah..na alieruhusu ni mtume..kipindi alichoruhusu ilikua wakati wa vita.na aliwaambia maswahaba zake ndoa hizo zisiwe zaid ya siku tano.uelewa wa watu unatofautiana.baadhi yamaswahaba waliitafsiri kauli yake kwa mitazamo 2 tofauti.kundi la kwanza liliona ameiruhusu..na kundi la pili waliona ameiharamisha..na kauli ya mtume ni hii""hakika mimi nimehalalisha ndoa ya kukatisha...ila allah ameizuia mpaka siku ya kiama"
Jambo la pili ulipo nipa utata
ni ndoa ya Mut-a

Kwa nilivyokuelewa mimi(unahaki ya kunisahihisha Bro)
Mut-a kwa upande wako ni HALALI?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom