Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Kumbe mzito kuelewa hadi utafuniwe Maamrisho Ya MWENYEZI MUNGU YAKO WAZI "USIZINI" KUWAINGILIA UNAOWAMILIKI MKONO WA KUUME BILA KUOA UNAZINI HIVYO BASI WAISILAMU WANAFUATA MATAMANIO YAO Dhahir eeh

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]wale tunaowamiliki kwa mikono yetu ya kuume

Huyu alietupa ruhusa hii
Ni Mola mmoja tu,ambae hajazaa wala kuzaliwa,na hana mfano wa chochote

Sasa tatizo lako liko wapi?!

Ruhusa imetoka kwa sharti
sasa wataka tusitumie ruhusa tuliyopewa na Mola wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).
Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
Kifupi hata Uislam ni hivyo hivyo kua zikikutana tupu (nyuchi) mbili za ambao hawajaoana ni Zinaa, ila sasa Uislam umeenda mbali zaidi kua,
1) Sio lazima zikutane nyuchi tu, hata ukiangalia video ya ngono umezini,
2) ukimuangalia na kumtamani asie mke/mme wako umezini
3) Pale juu umetaja binadamu tu, kiislam hata ukimuingilia au kuingiliwa na kiumbe asie binadamu umezini,
4) Ukitembea "Uchi" umezini pia, Hapa Neno "Uchi" lina mipaka yake between HE na SHE, ni topic ingine,
5) Umewaza uende kona Bar au sehemu kama hizo ukanunue "mzigo" hapo ushazini tayari iwe umeenda au hujaenda, au umeenda umepata au hujapata
6) .......nk
 
Mimi uislamu wangu ni wa aya na hadithi,sikamati aya peke yake niaziwacha hadithi.ama nikamate hadithi peke yake niziwache aya.

Kwa hivyo kigezo cha kutokuwepo aya hakimati sana upande wangu kwa kuwa aliyeteremshiwa hizo aya nayeye ana nafasi ya kufuatwa kama aya zinavyotaka afuatwe.

Weka aya ambayo imeruhusu
Alafu weka aya ambayo imelazimisha.mana usije changanya kati ya uruhusa na ulazima.
Niziwache ni lahaja ya wapi mkuu, nashindwa kufuatilia comment sababu ya kiswahiliii kibovu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona ukiambiwa umekuja kukashifu unakataa ndiyo maana nimesema wewe ni mnafiki
Point yako ni hii
Katika research zako ulivyoona hili suala la muta’a ukaona labda unaweza kuanzisha mada ili utumie hoja hii kukashifu au kuchallenge uislam kwa kuwa wewe ni mkristo,,,huku ukiamini kwamba uko na uwezo wa kufanya hivyo kwa dhana na sababu na data ulizonazo kuhusu hili
Kumbe ulikua unajidanganya na kwa bahati mbaya ulisoma hili suala kishabiki ndiyo maana umekurupuka kuleta mada alafu hoja sahihi za kusimamia huna
Kwa msingi wa elimu thabiti huwa hatusomi kishabiki tunasoma hasa kujua ukweli kwa namna yeyote na sio kusoma ili ujiridhishe na matakwa utayo huko ni kuikosea elimu adabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza kuweka ushahidi kuthibitisha ulichokiandika hapa? Kama ni kuandika kwa hisia au sentiment then hata na mimi naweza. Kwa mfano naweza kusema unalalamika hivi kwa kuwa wewe ni product ya mut'ah na kwa maana hiyo umeguswa personally; BUT AM NOT THAT IRRESPONSIBLE.

Kitu chochote ambacho ni academic lazima kiwe na references. Hakuna mahali nilipo-claim devine right or authority on this or any matter for that, sasa ni wajibu wako - hata kama haupo interested kunijibu directly lakini kwa faida ya wengine- kuja na references kuthibitisha otherwise.

Why can't you people see issues reasonably without being judgemental?
 
Hiyo ni elimu nyingine kabisa ya kukaa kitako ukafundishwa. Kwanza kajifunze ilikuwaje mungu akawaachia wahuni wamsulubu mwanawe hali akiona

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika kuwa siyajui hayo uliyoniambia nikajifunze? Ninajua ni kwa nini Bwana wetu Yesu aliteswa na kufa msalabani ila sielewi hiki kitu;
Kwa mujibu wa Qur'an Surat An-Nisa 4 verse 157, Allah alimuokoa Issah asisulubiwe lakini Allah huyo huyo akamuacha mtume wake Mohammed alishwe sumu iliyowekwa kwenye nyama ya mbuzi (au ni kondoo kwa mujibu wa maandiko mengine) Sahih al-Bukhari, Volume 3, Book 47, Number 786)?

Waweza kunifundisha hilo?
 
Nada nwengine mpya hii kaka
 
Kifupi hata Uislam ni hivyo hivyo kua zikikutana tupu (nyuchi) mbili za ambao hawajaoana ni Zinaa, ila sasa Uislam umeenda mbali zaidi kua,
1) Sio lazima zikutane nyuchi tu, hata ukiangalia video ya ngono umezini,
2) ukimuangalia na kumtamani asie mke/mme wako umezini
3) Pale juu umetaja binadamu tu, kiislam hata ukimuingilia au kuingiliwa na kiumbe asie binadamu umezini,
4) Ukitembea "Uchi" umezini pia, Hapa Neno "Uchi" lina mipaka yake between HE na SHE, ni topic ingine,
5) Umewaza uende kona Bar au sehemu kama hizo ukanunue "mzigo" hapo ushazini tayari iwe umeenda au hujaenda, au umeenda umepata au hujapata
6) .......nk
Ndipo nikauliza wake zako ruksa kuwaingilia jee hawa UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO mbona hamnijibu walimu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ndg yangu hivi huna hata chembe ya uoga?
Hii ni dini ndg na Anasema Bukhari (Allah amuwie radhi) Elim itangulie kabla ya kauli na vitendo.
Kuna sehem nimekunukuu kuwa" kwa mtazamo wako wewe"
Sasa hata Mtume swalallah alayh wasalam hakuwahi hukumia jambo lolote kwa matamanio ya nafsi yake.
Kwahiyo ndg yangu tukae tusome.

Aliwahi hukumia kwa nafsi yake . Kama kuharamisha kilicho halali kwa kutafuta radhi ya wake zake. Kwanini unasema uongo?
 
Jambo la pili

Ndoa ya Mut-aa,ni baina ya mwanaume na mwanamke
wao wawili tu
Bila Muozeshaji(Walii) wala Mashahidi

Na Mola,ametutaka tuwaoe wanawake kwa Idhni ya Baba zao(Walii)

Sent using Jamii Forums mobile app

Inatofauti gani na kuchukua kahaba kwa makubaliano yenu wawili? Kwahiyo ndoa ya mutah ni halali kwa waislamu hii inamaana kwamba kumbe makahaba wale wanafunga ndoa za mutah na ni halali kwa mujibu ya uislamu?
 
Acha kujitoa ufahamu Chief

ndio makusudio yangu kuhalalisha ndoa hiyo au una mengine tu?!

Back
Top Bottom