Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Nini nime-avoid kujibu?! Taja swali
ulilouliza ambalo sijajibu lakini kinyume chake, ingawaje mimi ndie wa kwanza kukuuliza kuhusu:
BADO HILO SWALI HUJAJIBU zaidi ya ku-beat around the bush!! Na kama umejibu, taja post # ngapi lakini sio 137 kwa sababu ni IRRELEVANT!!

In short, UMESHINDWA KUJIBU! Na umeshindwa kwa sababu umeanzisha mada iliyokuzidi uwezo wako wa kuchambua mambo! Huijui unayodhani unaijua wala Biblia ambayo ulikuwa wala hujui kwamba hata Ukristo unaunga mkono utumwa na ndio maana nilipokudondoshea nondo za Mtume Paulo, ukafunga mdomo! And I AM SURE uli-Google kuthibitisha kama kweli Biblia, tena Agano Jipya, inaamuru Watumwa wawatii Mabwana wao kwa LOLOTE LILE!!

Narudia, taja post ambayo SIJAKUJIBU na onesha post yako inayohusiana Quran 4:24 with full text containing:

Hicho unachokiita "irrelevant" ndio precisely kinachokujibu. AND YOU KNOW IT.
Btw; umesikiliza hiyo clip?

Naelewa unachokusudia kifanyike (you know am a bit knowledgeable so I wouldn't possibly fall for your tricks), lakini lengo halisi kuwavuruga wengine ambao wakiona jibu lako wataona mwanga. Najua Qur'an imewakataza kuhoji msije mkaujua ukweli na mkaiacha imani. Au na mstari huo haupo?
 
Ulete tuuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ndoa ni konki sanaaa
Ingekuwa inajuzu kisheria tungekua tunakula bata tu mwanzo mwisho yaani full kubadilisha ladha tu.

Maendeleo hayana chama

Nakuhakikishia kuwa ipo. Fuatilia mjadala huu. Ila siwezi kukuhakikishia kuwa Mungu wa Kweli anakubaliana nalo, ila kwa Allah ni110%
 
achaneni na huyu mtu wakuu,ni mtu yupo kiubishani hajadili kistaarabu kabisa mwanzo alienda vizuri lakini saivi anaonekana yupo kwa ajili ya ligi hapa,wakuu achaneni nae huyu bwana
 
Soma hapa

Praise be to Allah.
Allah, may He be exalted, says in Soorat al-Maa’idah (interpretation of the meaning):
“O you who believe! Ask not about things which, if made plain to you, may cause you trouble. But if you ask about them while the Quran is being revealed, they will be made plain to you. Allah has forgiven that, and Allah is Oft-Forgiving, Most Forbearing”
[al-Maa’idah 5:101].
This verse forbade the believers to ask the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) about matters concerning which Allah had not said anything in His Book and had not said anything concerning them; splitting hairs and asking too many details about them might lead to them being prohibited, which would cause them hardship. It also forbade them to ask about things that were hidden from them and if they came to know about them it would upset them, such as how sound their attribution to their fathers was.
That indeed happened. Al-Bukhaari (540) and Muslim (2359) narrated from Anas ibn Maalik that the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) came out when the sun had passed its zenith and led them in praying Zuhr. Then he stood on the minbar and spoke of the Hour, and said that momentous events would occur during it. Then he said: “Whoever would like to ask about anything, let him ask; you will not ask me about anything but I will tell you about it, so long as I am standing here.” The people wept a great deal, and he kept saying: “Ask me.” ‘Abdullah ibn Hudhaafah as-Sahmi stood up and said: Who is my father? He said: “Your father is Hudhaafah.” Then he kept saying, “Ask me.” Then ‘Umar knelt up and said: We are pleased with Allah as our Lord, Islam as our religion, and Muhammad as our Messenger. [The Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him)] fell silent, then he said: “Paradise and Hell were shown to me just now, on this wall, and I have never seen anything as good (as what I saw in Paradise) or anything as evil (as what I saw in Hell).”
Imam Muslim (may Allah have mercy on him) said, after narrating this hadeeth: Ibn Shihaab said: ‘Ubaydullah ibn ‘Abdullah ibn ‘Utbah told me: Umm ‘Abdullah ibn Hudhaafah said to ‘Abdullah ibn Hudhaafah: I have never heard of a son more disrespectful to his parents than you. Could you be certain that your mother did not commit (immoral deeds) as some of the women of the Jaahiliyyah did, and thus you would expose her to scandal before the people? ‘Abdullah ibn Hudhaafah said: By Allah, if he had attributed me to a black slave, I would have accepted it.
End quote from Saheeh Muslim (4/1832).
Ash-Shawkaani (may Allah have mercy on him) said in his commentary on the verse in al-Maa’idah – “O you who believe! Ask not about things which, if made plain to you, may cause you trouble” –: That means: do not ask about things that you do not need to ask about and that are none of your concern in matters of your religion. The words “if made plain to you, may cause you trouble” are describing those things. In other words: do not ask about things of this nature, which if they were made plain to you and were made obligatory upon you, would cause you trouble. Allah forbade them to ask the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) a great deal, because asking about matters that do not concern one or that one does not need to know may be a cause of it being made obligatory upon the one who asks the question and others. The words “But if you ask about them while the Qur’an is being revealed, they will be made plain to you” also describe those things. What is meant is: do not ask about things, for if you ask about them whilst the Qur’an is being revealed, which is whilst the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) is still among you and the Revelation is still coming down to him, they will be made plain to you, i.e., they will be explained to you by means of the answer that the Prophet (blessings and peace of Allah be upon him) gives you or what is enjoined upon you by the Revelation. Thus that will be a cause of hardship and of making obligatory something that was not obligatory, or of the prohibition of that which was not prohibited. This is unlike asking about things after the Revelation ceased with the death of the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him), for then no obligations or prohibitions would come about because of asking.
End quote from Fath al-Qadeer by ash-Shawkaani (2/92).
 
Nakuhakikishia kuwa ipo. Fuatilia mjadala huu. Ila siwezi kukuhakikishia kuwa Mungu wa Kweli anakubaliana nalo, ila kwa Allah ni110%
Kuwepo sina shaka kama ipo ila mashaka yanakuja alie ihalalisha ni nani baada ya kuharamishwa kwake?
Au wewe unaweza kunatajia hata jina la sahaba mmoja aliyefunga ndoa ya namna hii baada ya kuharamishwa kwake?

Maendeleo hayana chama
 
Mfie kweli upo?

Hakuna aya ulotoa ilohalalisha mutaa au Kuamrisha watu waoe mutaa, you know all words which are used to command... tuonyeshe katika hiyo quotation yako . Hakuna Amri au demand ya kuamrisha sasa katazo lilikuja katika hadithi nyingi tu za Mtume SAW. Kama mutaa ni halali mtume asingewahukumu wazinifu si wangelipana tu na wamekubaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeninoti vibaya mkuu
Hakuna aya ulotoa ilohalalisha mutaa au Kuamrisha watu waoe mutaa, you know all words which are used to command... tuonyeshe katika hiyo quotation yako . Hakuna Amri au demand ya kuamrisha sasa katazo lilikuja katika hadithi nyingi tu za Mtume SAW. Kama mutaa ni halali mtume asingewahukumu wazinifu si wangelipana tu na wamekubaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achaneni na huyu mtu wakuu,ni mtu yupo kiubishani hajadili kistaarabu kabisa mwanzo alienda vizuri lakini saivi anaonekana yupo kwa ajili ya ligi hapa,wakuu achaneni nae huyu bwana
Hahahaha umeona eeh kataka Aya kapewa na maelezo juu na hadithi juu kua hiyo ndoa ishapigwa marufuku kitambo lakini bado anaendeleza ubishani.

Very pathetic.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
achaneni na huyu mtu wakuu,ni mtu yupo kiubishani hajadili kistaarabu kabisa mwanzo alienda vizuri lakini saivi anaonekana yupo kwa ajili ya ligi hapa,wakuu achaneni nae huyu bwana

I saw this coming. Msiuogope ukweli; UKWELI UTAWAWEKA HURU.
 
Malumbano sio mwendo mzuri kabisa,nimesema vile kwa nia njema kabisa,nina uwezo wa kukufuata inbox tujadili bila ugomvi wala ubishi wala kutaka kuonekana bingwa,lengo langu ninapokuwa katiks mijadala kama hii ni mtu aelewe sasa mwanzo nilijua umeuliza ili uelewe kumbe umeuliza ili uweke ubishani na ushindani,basi nani atamnyamazisha aliyeamua kushindana?

Ndo nimeona ni bora tukakubali kuwa tumeshindwa dhidi yako,sisi tukae kimya ili wewe labda unaweza kupata bacho ulikusudia,mwanzo nilikudhania vizuri tu ndugu yangu,lakini naona zikaingia mada ukohojiwa unatupeleka kwenye linki wakati mada iko hapa,kuonyesha kwamba ulishakuwa na lako.

Sasa mkuu kwa amani tu nakuomba iwee wewe umeshinda,au huo ukweli ambao unaudai kuuweka hapa watu wameshaujua si unaona wanavyorespond juu ya ukweli uliouweka?

Basi nakuomba uturuhusu tusiendelee na haya mabishano kwa sababu hayana lengo la kufahamishana, ndugu yangu mpendwa @mfiakweli nadhani umeturuhusu?
I saw this coming. Msiuogope ukweli; UKWELI UTAWAWEKA HURU.
 
Hahahaha umeona eeh kataka Aya kapewa na maelezo juu na hadithi juu kua hiyo ndoa ishapigwa marufuku kitambo lakini bado anaendeleza ubishani.

Very pathetic.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Culture gal (na Waislamu wengine); Allah is ALL KNOWING, right? Alishusha aya kupitia Mohammed? right?
Sasa ni kwa nini hakujua tangu awali kuwa ANARUHUSU KITU (MUT'AH) ili baadae kiharibu jamii eventually kipigwe marufuku kwa maelekezo ya mtume lakini tawi jingine la uislamu liikumbatie aya hiyo hiyo?

Can someone please tell me how this is possible? Naomba mnielekeze tafadhali
 
Malumbano sio mwendo mzuri kabisa,nimesema vile kwa nia njema kabisa,nina uwezo wa kukufuata inbox tujadili bila ugomvi wala ubishi wala kutaka kuonekana bingwa,lengo langu ninapokuwa katiks mijadala kama hii ni mtu aelewe sasa mwanzo nilijua umeuliza ili uelewe kumbe umeuliza ili uweke ubishani na ushindani,basi nani atamnyamazisha aliyeamua kushindana?

Ndo nimeona ni bora tukakubali kuwa tumeshindwa dhidi yako,sisi tukae kimya ili wewe labda unaweza kupata bacho ulikusudia,mwanzo nilikudhania vizuri tu ndugu yangu,lakini naona zikaingia mada ukohojiwa unatupeleka kwenye linki wakati mada iko hapa,kuonyesha kwamba ulishakuwa na lako.

Sasa mkuu kwa amani tu nakuomba iwee wewe umeshinda,au huo ukweli ambao unaudai kuuweka hapa watu wameshaujua si unaona wanavyorespond juu ya ukweli uliouweka?

Basi nakuomba uturuhusu tusiendelee na haya mabishano kwa sababu hayana lengo la kufahamishana, ndugu yangu mpendwa @mfiakweli nadhani umeturuhusu?

Karibu inbox ndugu yangu
 
Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.

Unaumisha watu vichwa bure kwanini muda wote unajificha? Shia hawaamini hadithi as you are so believe what you believe but we Muslim mutaa ni haraam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".

Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
Usichukue kila mafunzo utakayoyasikia hao ni "Mashia"ndio wenye hayo mafundisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu inbox ndugu yangu
Unanihakikishia tutajadili kwa amani huko pasi na haya mambo ya ubishani na upinzani wa hapa mkuu?

Kwa sababu nafahamu kama nawewe unafikra zako ambazo pasi na kutumia ubishi na upinzani huwenda nikanufaika na kujifunza kitu kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom