Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Alhabiby Sheikh Abuu Dharr[
Mwenyezi Mungu akulipe kheri wewe na Ustaadh chige Maalim Safuha na wengine wengi walioweka ukweli na kuondosha uongo uliokuwa unawekwa kwa makusudi na makafiri.

Alhabiby hakika umeutendea haki muda wako kwa kutuelimisha na Alhamdulillah nimestafidi sana na darsa lako na wengine pia kadhalika.

Na kuthibitisha hilo tayari makafiri wameanza kuitana kuja kuharibu mjadala ambao kwa bahati nzuri umeshaeleweka.

Mola awalipe kila la kheri na wale ambao bado wapo gizani katika ukafiri nao Mola awatie nuru mioyo yao ipate kuona haki na kuingia katika uislamu.

QUOTE="Abuu Dharr, post: 30098211, member: 470108"]Chief

Nadhani hawa majamaa unawafahamu,kwa kuleta kwao matope na kulazimisha kuwa ni keki

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Aameen kwa sote alhabiib.

Kwa upande wangu akhy manzila yangu ni ya chini,mimi ni kijana mtu tu wala sio katika waalimu,tunajitahidi kwa kadri ya uchache wa elimu zetu kurekebisha pasipoeleweka na Allah atujazie mapenzi kwa sote.hata akina mgen Allah awajaze nuru wawe ni wenye kusikiliza na kufahamu maneno ya Mola wao.
 
Kinacho nishangaza Mimi kwenye uislam.zinaa haikemewi sana kama ambavyo wanakemea ulaji wa nguruwe.mla nguruwe anaweza akatengwa na uislam lakini mzinifu akaonekana shababi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vitu havipo kirahisi hivyo. Sheria imetuambia ni nani mzinifu na anathibitishwa vipi kama ni mzinifu. Halafu unaijua hukmu ya mzinifu?? Hivi ukiskia kupigwa mawe mpaka kufa unaelewa nini hapo??
 
Uislam unaujua au wausikia tu?!!

Tatizo la nyie jamaa,hamna desturi ya kuuliza
kisha
Hamna desturi ya kutaka kujua ukweli/uhalisia wa mambo

mnavyodanganywa huko,mnakuja hapa Jf,na kutupa uchafu wenu,mkidhani mnapatia na kuwaumbua Waislam na Uislam

Hakuna mada mliyoianzisha JF,kisha mkawa ni wa kweli hata kwa sekunde

Hakuna .....

Mmejaaliwa Uongo
Poleni sana
Allah awaongoze katika njia ya sawa
Allah awape mwisho mwema
Kinacho nishangaza Mimi kwenye uislam.zinaa haikemewi sana kama ambavyo wanakemea ulaji wa nguruwe.mla nguruwe anaweza akatengwa na uislam lakini mzinifu akaonekana shababi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alhabiby Sheikh Abuu Dharr[
Mwenyezi Mungu akulipe kheri wewe na Ustaadh chige Maalim Safuha na wengine wengi walioweka ukweli na kuondosha uongo uliokuwa unawekwa kwa makusudi na makafiri.

Alhabiby hakika umeutendea haki muda wako kwa kutuelimisha na Alhamdulillah nimestafidi sana na darsa lako na wengine pia kadhalika.

Na kuthibitisha hilo tayari makafiri wameanza kuitana kuja kuharibu mjadala ambao kwa bahati nzuri umeshaeleweka.

Mola awalipe kila la kheri na wale ambao bado wapo gizani katika ukafiri nao Mola awatie nuru mioyo yao ipate kuona haki na kuingia katika uislamu.

QUOTE="Abuu Dharr, post: 30098211, member: 470108"]Chief

Nadhani hawa majamaa unawafahamu,kwa kuleta kwao matope na kulazimisha kuwa ni keki

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Aamyn aamyn!
 
Sasa nimeamini kwamba wewe lengo lako ni kukashifu. Mimi na miaka niliyonayo baba yangu ananitambulisha kwa watu kwamba ni mtoto wake.

How have you defined watoto kwenye hiyo context ndio imenifanya niungane na wadau kuiona dhamiria yako kwa upana.

Aya imeeleza mmeruhusiwa watu wapi na wapi, ikasema inayomiliki mikono yenu ya kiumeni ambapo sasa ndio tunaweza sema mpaka watoto wenu wa kuwalea ambao kisheria upo uwezekano wa kuwaoa.

Sijui una-define vipi kukashifu na sijui mtoto kwako ni yupi. It doesn't make sense mtu umuite someone mtoto wako halafu aje kuwa mke wako baadae.
Well; (kutokana na ulichokiandika hapa wewe mwenyewe) apparently hai-make sense kwetu Wakristo lakini sio kwenu. Na indirectly umenifafanulia logic ya mtume wenu kumuoa mke wa kijana aliemlea mwenyewe.
Btw; sijazusha kitu hapa (nimetumia logic iliyopo kwenye maelezo yako na kilichoandikwa kwenye vitabu vyenu wenyewe) kwa hiyo hoja yako ya kuwa nakashifu au nina nia ya kukashifu haiwezi kuwa valid.
 
HAPANA. Soma nilivyoanza; "nimemsikia sheikh etc etc etc". Na huyo sheikh kasema kuifanya nikah mut'ah kuwa zinaa ni sawa na kutafsiri ndoa na zinaa kwa mtazamo wa Kikristo.
Kama umekwazika niwie radhi ila hakuna nilichotunga wala kuzusha. Yote KABISA (yaliyoandikwa hapa kuhusiana na hii maada) na yakanifanya nihitimishe hivyo ni ama yameletwa na wachangiaji au ni references from elsewhere.

Embu ficha huu unafiki na upumbavu
Kwani huoni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfiaukweli

Mada imekwisha au bado ipo mezani kwako?!!!
Sijui una-define vipi kukashifu na sijui mtoto kwako ni yupi. It doesn't make sense mtu umuite someone mtoto wako halafu aje kuwa mke wako baadae.
Well; (kutokana na ulichokiandika hapa wewe mwenyewe) apparently hai-make sense kwetu Wakristo lakini sio kwenu. Na indirectly umenifafanulia logic ya mtume wenu kumuoa mke wa kijana aliemlea mwenyewe.
Btw; sijazusha kitu hapa (nimetumia logic iliyopo kwenye maelezo yako na kilichoandikwa kwenye vitabu vyenu wenyewe) kwa hiyo hoja yako ya kuwa nakashifu au nina nia ya kukashifu haiwezi kuwa valid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam unaujua au wausikia tu?!!

Tatizo la nyie jamaa,hamna desturi ya kuuliza
kisha
Hamna desturi ya kutaka kujua ukweli/uhalisia wa mambo

mnavyodanganywa huko,mnakuja hapa Jf,na kutupa uchafu wenu,mkidhani mnapatia na kuwaumbua Waislam na Uislam

Hakuna mada mliyoianzisha JF,kisha mkawa ni wa kweli hata kwa sekunde

Hakuna .....

Mmejaaliwa Uongo
Poleni sana
Allah awaongoze katika njia ya sawa
Allah awape mwisho mwema

Sent using Jamii Forums mobile app

On the contrary sisi huwa tunakuwa encouraged kuuliza. Bwana Mungu mwenyewe amesema "njooni tusemezane...." Isaya 1: 18.

Sasa linganisha na hii

Soorat al-Maa’idah (interpretation of the meaning):
“O you who believe! Ask not about things which, if made plain to you, may cause you trouble. But if you ask about them while the Quran is being revealed, they will be made plain to you. Allah has forgiven that, and Allah is Oft-Forgiving, Most Forbearing”
[al-Maa’idah 5:101].
 
Embu ficha huu unafiki na upumbavu
Kwani huoni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unafiki na upumbavu wangu ni upi ndugu? Look here; kama kinachojadiliwa hapa (na nimejitahidi sana kutumia references kutoka kwenye vitabu vya dini yako mwenyewe) kinakukera - meaning you become embarrassed - the cause of that can NEVER be me. Chimba zaidi vitabu vyenu ili uujue ukweli HALISI.
 
Kitabu kipi Chief?!

labda tupe kimoja tu ambayo ww umekichimba na kutoka na Dhahabu

Mfiakweli

Sisi Waislam,tunakanuni na Desturi maalumu
Sisi hatupo sawa na nyie,kwenye kukusanya kila lenye kufaa na kutofaa
Huwa tunachuja,chuya tunaweka pembeni

Sasa unapokuja na Uongo na kusema,eti umechimba katika vitabu vyetu

Naam huenda kweli,umechimba kweli,bahati mbaya umetoka na tope tu,dhahabu hujafanikiwa kuipata

Yote hayo
ni kwasababu,Dini yetu tukufu,inamisingi yake,si ya kuchezewa zewa,kama ilivyochezewa Dini yenu ya Ukristo

Kuwa na tahadhari sana
na jiepushe na uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kipi Chief?!

labda tupe kimoja tu ambayo ww umekichimba na kutoka na Dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimetoa references zangu wapi kumbe; gazeti la uhuru? Angalia reference zangu zote kabisa kwenye thread hii; 99% zimetokana na vitabu vyenu wenyewe na tafsiri za theologians wenu wenyewe.
 
Mfiakweli

Sisi Waislam,tunakanuni na Desturi maalumu
Sisi hatupo sawa na nyie,kwenye kukusanya kila lenye kufaa na kutofaa
Huwa tunachuja,chuya tunaweka pembeni

Sasa unapokuja na Uongo na kusema,eti umechimba katika vitabu vyetu

Naam huenda kweli,umechimba kweli,bahati mbaya umetoka na tope tu,dhahabu hujafanikiwa kuipata

Yote hayo
ni kwasababu,Dini yetu tukufu,inamisingi yake,si ya kuchezewa zewa,kama ilivyochezewa Dini yenu ya Ukristo

Kuwa na tahadhari sana
na jiepushe na uongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Nionyeshe sehemu moja tu nilipoandika uongo.
 
Aamyn aamyn![/QUOTE]

Makafir ni hawa
IMG_20190120_204031_461.jpg
swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibu kwa mujibu wa ayat hizi
IMG_20190120_084901_278.jpg
JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZO mmebaki kupongezana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom