Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Kinacho nishangaza Mimi kwenye uislam.zinaa haikemewi sana kama ambavyo wanakemea ulaji wa nguruwe.mla nguruwe anaweza akatengwa na uislam lakini mzinifu akaonekana shababi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo la waislamu sio uislamu.
Uislamu kwa nafasi yake umeshakstaza zinaa katika aya mbsli mbali.

Uislamu kwa nafasi yake umekataza nguruwe katika aya.
.kwa hvyo hapo inategemea na huyo muislam anachukua maandiko gani.

Na hapa tunajadili uislamu wala hatuwajadili waislamu

Yaani kuna wakati JF hawaeleweki Kabisa
Niliwahi kuweka uzi Wenye maudhui Kama huu Wakaupeleka Jukwaa la dini
Leo Huyu Wameuacha Hapa hapa
Now Days JF Mnazingua sana, Kumbukeni JF ni Kwaajili Yanini Mnakela sana Aiseee

NIliandika Kuhusu vijana wakiislam wanaosoma dini na jinsi wanavyopotea katika mazingira ya mitaani nakuwa waharifu
Niliandika kama kujulisha jamii tuweze kujua ni namna gani tunaweza kuwakomboa hawa vijana
Nikaweka katika hili jukwaa kwasababu nilijua uzi ungewafikia watu wengi zaidi lakini cha kushangaza mkauona uzi unahusu dini wakati unahusu tunawezaje kuwakomboa vijana wetu japo mimi ni Mkristo lakini kwenye uhalisia lazima tuwekane sawa

Sijawaelewa kabisa Ma-moderator wa JF
#JFmnakosaMvuto
#JFmnatukatishatamaa
 
Kwa hivyo tufanyeje kuwaokoa vijana ambao wanasoma dini wasiishie kuwa waharifu kama vile ambavyo nitakuuliza tufanyeje ili kuwaokoa vijana ambao wanasoma shule na kufeli na kuishia kuwa wahalifu wa mtaani?
 
Laiti Kama Mada yangu ingewekwa hapa basi ingewafikia wengi nawe ungesoma nimeandika nini
Siwezi kukujibu lolote ila naona jinsi ambavyo mambo yanapelekwa ndivyo sivyo nilikuwa na publish mambo mengi mengi lakini niliona upepo sio now nimekuwa niwakupitia tu kuja kuzuga zuga nikiwa ninapumzika
 
Haya mkuu.

Inawezekana kukawa na uislam bila ya waislam?uwezi kutenganisha uislam na waislam hata siku moja.ili uislam uwepo wanaitajika kwanza waislam.
Hilo ni tatizo la waislamu sio uislamu.
Uislamu kwa nafasi yake umeshakstaza zinaa katika aya mbsli mbali.

Uislamu kwa nafasi yake umekataza nguruwe katika aya.
.kwa hvyo hapo inategemea na huyo muislam anachukua maandiko gani.

Na hapa tunajadili uislamu wala hatuwajadili waislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio.

Kama vile ambavyo huwezi kutenganisha sheria za bunge na wabunge,bila sheria za bunge hakuna bunge na bila bunge hakuna sheria za bunge.

Lakini jee hakuna wabunge wanaofanya mambo kinyume na taratibu za bunge na bunge likawachukulia hatua?
Inawezekana kukawa na uislam bila ya waislam?uwezi kutenganisha uislam na waislam hata siku moja.ili uislam uwepo wanaitajika kwanza waislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yangu ni kwamba.kwanini itumike nguvu kubwa kwenye nguruwe na sio zinaa?dhambi ya zinaa imeelezwa kwenye vitabu vya dini na adhabu zake zipo wazi na kwa ukubwa wa adhabu ya zinaa inatosha kabisa kutuonyesha kwamba zinaa ni kosa kubwa sana.swali langu ni je kwanini masheikh wetu hawatumii nguvu kubwa kwenye makazo ya zinaa kama ambavyo wanatumia kwenye nguruwe?Leo hii wewe uonekane kwamba ni mzinifu na Mimi nionekane mla nguruwe walahi Mimi nitaonekana sifai kwenye uislam na wewe utaonekana huna kosa.
Ndio.

Kama vile ambavyo huwezi kutenganisha sheria za bunge na wabunge,bila sheria za bunge hakuna bunge na bila bunge hakuna sheria za bunge.

Lakini jee hakuna wabunge wanaofanya mambo kinyume na taratibu za bunge na bunge likawachukulia hatua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nakwambia tatizo sio la uislamu bali tatizo ni la hao waislamu(mashekhe)lau wangeliweka mfumo wa kukemea kila baya basi hata vijana wangekulia wakijua kwamba nguruwe na zinaa zote ni dhambi.

Nimekuelewa unachosema mkuu na hiyo hali naiona lakini ninachotaka kukikataa ni labda mtu atuambie kwamba uislamu haukukataza zinaa siriazi kama nguruwe,ndo mana nasema makatazo ya uislamu juu ys zinaa ni makubwa sana ukisoma maandiko.mfano tu kuna hadithi ya mtume inasema

من زنى بامرأة متزوجة عذب في قبره بنصف عذاب هذه الأمة

"atakayezini na mke wa mtu,basi akifa ataadhibiwa katika kaburi lake nusu ya adhabu ya umma huu"

Umeona makatzo ya uislamu juu ya zinaa hayo mkuu?

Sasa hapo kinachobakia ni waislamu kuzipaza sauti zao kukemea maovu pasi na kulibagua hili na lilie,jambo unalosema ni kweli udhaifu huo upo lakini ni udhaifu wa waislamu namna walivyolelewa labda wamelelewa katika mfumo wa kuidogosha zinaa japo wanajua ni dhambi na kuikuza nguruwe japo nayo ni dhambi.

Nakumbuka kisa kimoja
Jamaa alizini zanzibar akapata mtoto wa nje ya ndoa,wazanzibar wakaanza kumsema yule bwana kwamba anazini na kupata mtoto muislamu mzima eee hivi na vileee,sasa hao waliokuwa wanasema ni waajiriwa na wanamikopo ya riba.
Mimi kwa vile najuana nao nikawaambia mbona nyie mnamikopo ya riba na hamsemwi na wala hamtengwi? Au riba nayo siyo dhambi katika uislamu dhambi iwe zinaa tuu?
Au umeshajihalalishia riba tayari zinaa ndo mnaona kosa?
Jamaa wakakosa majibu ya maana nikajua kwamba mazingira aliyokulia mtu yanachangia kwa kiasi kikubwa kuikuza dhambi fulani na kuiwacha dhambi fulani.

Kama zanzibar dhambi ya ulawiti haipigiwi kelele kwa nguvu zote,lakini angalia machangudoa wanavyotiwa ambushi? Liwati na uchangudoa upi ni uovu mkubwa?sina maana uchangudoa uachwe lakini ilikuwa hii liwati ndo ikemewee mwanzo huku uchangudoa nao ukikomeshwa.

Nimeandika kwa kirefu kidogo utanivumilia.
Mantiki yangu ni kwamba huo wa kushadidia nguruwe na kuidogosha zinaa ni udhaifu wa waislamu na wala sio udhaifu wa uislamu.

Sijui umenipata kidogo mkuu?
Hoja yangu ni kwamba.kwanini itumike nguvu kubwa kwenye nguruwe na sio zinaa?dhambi ya zinaa imeelezwa kwenye vitabu vya dini na adhabu zake zipo wazi na kwa ukubwa wa adhabu ya zinaa inatosha kabisa kutuonyesha kwamba zinaa ni kosa kubwa sana.swali langu ni je kwanini masheikh wetu hawatumii nguvu kubwa kwenye makazo ya zinaa kama ambavyo wanatumia kwenye nguruwe?Leo hii wewe uonekane kwamba ni mzinifu na Mimi nionekane mla nguruwe walahi Mimi nitaonekana sifai kwenye uislam na wewe utaonekana huna kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata mkuu asante sana kwa elimu.
Ndo nakwambia tatizo sio la uislamu bali tatizo ni la hao waislamu(mashekhe)lau wangeliweka mfumo wa kukemea kila baya basi hata vijana wangekulia wakijua kwamba nguruwe na zinaa zote ni dhambi.

Nimekuelewa unachosema mkuu na hiyo hali naiona lakini ninachotaka kukikataa ni labda mtu atuambie kwamba uislamu haukukataza zinaa siriazi kama nguruwe,ndo mana nasema makatazo ya uislamu juu ys zinaa ni makubwa sana ukisoma maandiko.mfano tu kuna hadithi ya mtume inasema

من زنى بامرأة متزوجة عذب في قبره بنصف عذاب هذه الأمة

"atakayezini na mke wa mtu,basi akifa ataadhibiwa katika kaburi lake nusu ya adhabu ya umma huu"

Umeona makatzo ya uislamu juu ya zinaa hayo mkuu?

Sasa hapo kinachobakia ni waislamu kuzipaza sauti zao kukemea maovu pasi na kulibagua hili na lilie,jambo unalosema ni kweli udhaifu huo upo lakini ni udhaifu wa waislamu namna walivyolelewa labda wamelelewa katika mfumo wa kuidogosha zinaa japo wanajua ni dhambi na kuikuza nguruwe japo nayo ni dhambi.

Nakumbuka kisa kimoja
Jamaa alizini zanzibar akapata mtoto wa nje ya ndoa,wazanzibar wakaanza kumsema yule bwana kwamba anazini na kupata mtoto muislamu mzima eee hivi na vileee,sasa hao waliokuwa wanasema ni waajiriwa na wanamikopo ya riba.
Mimi kwa vile najuana nao nikawaambia mbona nyie mnamikopo ya riba na hamsemwi na wala hamtengwi? Au riba nayo siyo dhambi katika uislamu dhambi iwe zinaa tuu?
Au umeshajihalalishia riba tayari zinaa ndo mnaona kosa?
Jamaa wakakosa majibu ya maana nikajua kwamba mazingira aliyokulia mtu yanachangia kwa kiasi kikubwa kuikuza dhambi fulani na kuiwacha dhambi fulani.

Kama zanzibar dhambi ya ulawiti haipigiwi kelele kwa nguvu zote,lakini angalia machangudoa wanavyotiwa ambushi? Liwati na uchangudoa upi ni uovu mkubwa?sina maana uchangudoa uachwe lakini ilikuwa hii liwati ndo ikemewee mwanzo huku uchangudoa nao ukikomeshwa.

Nimeandika kwa kirefu kidogo utanivumilia.
Mantiki yangu ni kwamba huo wa kushadidia nguruwe na kuidogosha zinaa ni udhaifu wa waislamu na wala sio udhaifu wa uislamu.

Sijui umenipata kidogo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mtu anakuuliza wanaomfunga mwizi wanafata katiba au wanafata matashi ya nafsi yao wewe unajibu wamekariri katiba,ndo umejibu nini hapo mkuu mgeni?
Wewe unatakiwa ujibu kama wanafata katiba au matashi ya nafsi yao(hamna katika katiba)

Mbona nje ya maudhui,au ndo lolote jibu tuu?

Tehehe ama kweli الجنون فنون
Koloani siku hizi umekuwa katiba sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Koloani siku hizi umekuwa katiba sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo kawaida yako ati,ukipewa mifano ndo mambo hayo,ukipewabtafsiri za aya kwa lugha ya kiarabu oooh Mnaedit Qurani,kwa hvyo tumekuzoea.

Qurani ndugu yangu wanaichallenge kwa Qurani.
Sasa kuna aya iliyosema katika Qurani kwamba zinaa ni kumuingilia asoyekuwa mkeo TU?
 
Nilitaka ww ulioleta neno hilo,uniambie maana yake na marejeo

unatakiwa uwe Mwalimu bora Mgen
Nipe somo Bro

Ni wapi umetoa maana hiyo?!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Maana yake unaweza ukawaingilia bila kuwapa wale UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME rejea hii hapa
IMG_20190120_084901_278.jpg
kwa wakezo na UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME allah ameruhusu usiilinde tupu yako chapa tu dhahir eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo kawaida yako ati,ukipewa mifano ndo mambo hayo,ukipewabtafsiri za aya kwa lugha ya kiarabu oooh Mnaedit Qurani,kwa hvyo tumekuzoea.

Qurani ndugu yangu wanaichallenge kwa Qurani.
Sasa kuna aya iliyosema katika Qurani kwamba zinaa ni kumuingilia asoyekuwa mkeo TU?

Hii hapa
IMG_20190120_084901_278.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.

Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.

Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.

Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo
Sawa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?

Kwahio uliskia kwenye uislamu watu wameambiwa wanunue wanawake Bar?
Kulipa Mahari kwaajili ya kuowa mwanamke ni Lazma katika uislamu, iwe dhahabu, Pesa, Furniture Au chchte mwanamke atacho demand km mahari yake...
 
...sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi. Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).
Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?

Kwa waislam uzinzi ni ruksa kwani Mohammed yeye alikuwa mzinzi mzuri tu.
 
Back
Top Bottom