Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Nimemsikia sheikh mmoja akisema kuwa Muislamu (mwanaume) anaweza kuingia ndoa ya muda maalumu (nikah mut'ah) na mwanamke halafu baada ya hapo akamtaliki. Kwa mfano mimi naishi Tanga lakini nikapata safari ya kikazi Kigoma ya wiki moja na huko nikakutana na binti basi tukikubaliana namwambia "bi mdogo nitakuoa kwa siku mbili au tatu maana nitarejea Tanga siku ya tano".

Unaliongeleaje hilo? Ni halali?
Hii IPO Ila mlolongo wake ni mrefu kiasi hizo siku tano utakazokaa utakuwa usharejea ulikotokea.

Na Ina masharti makubwa kiasi si jambo jepesi Kama watu wazaniavyo.
 
Naelewa sana kuhusu Sunni na Shia. Tatizo ni kuwa hiyo concept ya nikah mut'ah ilianza wakati wa mtume. Hakukuwa na mgawanyiko wa Ushiah na Usunni wakati huo. Kwa hiyo maelezo yako mazuri uliyoyatoa hapa yana maana moja:
Ama ndoa ya muda ni halali (kwa kuwa hakuna aya inayokataza) au ni haram (kama kuna aya inayokataza).
Na kwa kuwa Shiah hawaamini sana katika hadith bali aya za Qur'an tu basi nikah mut'ah bado ni halali.
Kuikataa ni kuikana Qur'an.
Kwani hiyo Mut'ah imeandikwa kwenye Qur'an?? nipe aya nikaisake maana nipo beneti na search engine yangu hapa... lol

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Absolutely. Nilishatoa reference nyingi tu. Ila soma hapa (na ufafanuzi umetolewa hapa)

The Four Pillars Of Mut'a
Of Mut'a
The Arabic dictionaries define mut'a as 'enjoyment, pleasure, delight'. The root form, m-t: signifies, 'to carry away, to take away'. A 'marriage of mut'a' is a marriage which the contract stipulates will last for a fixed period of time. This 'marriage of mut'a' is referred to both in the hadith literature and, in much more detail, in the books on jurisprudence (fiqh).

In the hadith and in other sayings related from early Muslims the word 'mut'a' itself is usually employed. The Shi’a hold that this particular term is the preferred name for temporary marriage because the Qur'an itself refers to this kind of marriage employing a term derived from the same root. In the following verse, the word istimta', the tenth verbal form of the root m-t-', is translated as 'enjoy':

'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

In general the word mut'a was more commonly used than other terms for temporary marriage both during the lifetime of the Prophet and afterwards during the time of the Shi'i Imams and other Muslim leaders.

Both its proponents and opponents preferred this word and its derivatives. In Wasa'il al-shi'a, the comprehensive and definitive reference work for Shi'i hadith concerning all branches of jurisprudence, the word mut'a is employed in the headings of all sections on temporary marriage.

In books on jurisprudence the terms mut'a, al-nikah al-munqati' ('discontinued marriage'), and al-nikah al-muwaqqat ('temporary marriage') are all employed. Al-Muhaqqiq al-Hilli1 still employs the term 'discontinued marriage' in his writings,2 and hence his commentators use the same expression, although in sections of the statutes relating to this kind of marriage they also employ the terms istimta' and the related word tamattu'. Al-Shahid al Thani3 employs the same term as al-Hilli4 , but others, such as al-Shahid al-Awwal,5 al-'Allama al-Hilli6 and al-Shaykh al-Ansari7 prefer the term mut'a.8

Among Sunni jurisprudents there is a discussion concerning whether or not the marriage of mut'a is the same as 'temporary marriage'. Most of them have agreed that they are synonymous.9

In some works a special term is applied to women who participate in mut'a: musta'jara, or 'rented woman'. Mut'a is considered a kind of 'rental' because in general a man's basic aim in this kind of marriage is the sexual enjoyment of a woman, and in return for his enjoyment the woman receives a certain amount of money or property.

In defining 'rental' the jurisprudents say: 'It is to gain possession of a benefit in exchange for a specified sum.'10 This definition applies equally to temporary marriage. In this connection a number of hadith have been recorded in which the word musta'jara is employed.11

Shi'i jurisprudence discusses temporary marriage with all the care it bestows upon permanent marriage. Like permanent marriage, mut'a has 'pillars' and 'statutes'. To the two pillars of permanent marriage-the formula and the persons-are added the time period and the dower .

Good. Umejionea mwenyewe hiyo aya.
 
Hallelujah! Umewathibitishia wanaopinga hapa kuwa nikah mut'ah si ndoa katika uislamu na kuiita uzinifu ni kuwa wamekubaliana na tafsiri ya uzinzi Kikristo.

Wewe unachanganya sawa madesa unataka kufosi kitu ambacho sicho .

Unapofanya zinaa hapa ni tendo ambalo mwanamke na mwanaume wamechukuana kiholela wakafanya yao unaporudi kwenye ndoa iwe nikahmutah au ndoa ya kudumu kuna utaratibu maalum inabidi ufatwe kulitpitisha jambo hilo na ikiwa masharti hayajatimia ndoa huwa batili. (Huwezi ukasema ni uzinifu)

Mwanzo wa thread umesema huna lengo la kukashifu lengo lako kujifunza Ila kwenye Hii mada umejiandaa na majibu yako hukuwa na lengo la kujifunza bali kukashifu kile kilichokuwa kwenye akili yako unataka kiwe hivyohivyo.
 
HAPANA. Soma nilivyoanza; "nimemsikia sheikh etc etc etc". Na huyo sheikh kasema kuifanya nikah mut'ah kuwa zinaa ni sawa na kutafsiri ndoa na zinaa kwa mtazamo wa Kikristo.
Kama umekwazika niwie radhi ila hakuna nilichotunga wala kuzusha. Yote KABISA (yaliyoandikwa hapa kuhusiana na hii maada) na yakanifanya nihitimishe hivyo ni ama yameletwa na wachangiaji au ni references from elsewhere.
 
Mfia kweli Chief

Nimekuambia,matumizi ya Lugha ni mapana
na Quraan imeshushwa kwa Lugha ya Kiarabu

Ikiwa hujui Kiarabu,basi waulize wenye kujua ni nini makusudio yake
Tatizo ni kuwa mnaosema aya hiyo unahusisha mahari mnasahau matumizi ya maneno "ujira/mshahara" kutokana na "raha aliyoipata mwanaume kwa mwanamke". Hiyo ndio tafsiri ya mahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kujua nikah mutah ? Alafu hapo hapo Unafanya kwa mtazamo wa kikristo!! Wakati ukristo na uislamu vimeachana Mbali. Hapo bado unaona ni sawa??
 
Mfia kweli Chief

Nimekuambia,matumizi ya Lugha ni mapana
na Quraan imeshushwa kwa Lugha ya Kiarabu

Ikiwa hujui Kiarabu,basi waulize wenye kujua ni nini makusudio yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mimi nimekupa link yenye tafsiri (tena kwa mitazamo yote miwili). Najijua kuwa Kiarabu is not my cup of tea; ndio maana natafuta reference kutoka scholars wenye kujua Kiarabu wakatafsiri kwenye lugha ambayo kina maamuma sie tutaelewa.
 
Pili

Tatizo ni kuwa mnaosema aya hiyo unahusisha mahari mnasahau matumizi ya maneno "ujira/mshahara" kutokana na "raha aliyoipata mwanaume kwa mwanamke". Hiyo ndio tafsiri ya mahari?
Jambo la Mut-a lipo kwa Mashia

Na Mashia sio Waislam
kwann unataka kulazimisha jambo ambalo halipo ndani ya Uislam

Kisha

Nimekupa Dalili,kwa Mut-a,imeharamishwa Kisheria

kwa maneno ya Mtume wetu
Kwann ww unalazimisha kuwa Halali?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom