Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Chief
Naona unafukiza moshi tu

Kutetea kwako jambo la MUT-A,mwanzo mwisho,ni sehemu kuu yako ya Uongo

unataka kututhibitishia sisi,kuwa ni halali kwetu!!!!

Muhimu tu

Turudi ktk mada
Quote sehemu moja tu nilipoandika uongo. Only once, just that ONE INCIDENT nilipoandika UONGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu kukufunza usahihi

baada kuja na sura ya kutaka kujifunza
kumbe hapana,nilikosea
Sura ilikuwa si yako Chief

Bahati mbaya,Mbuyu haukatwi na kiwembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ujipange tena na tena

Njoo na Hoja moja baada ya nyengine
Uwe na uhakika,kisha simamia hoja yako

na si vibaya,kusema
Nawashukuru sana kwa kunielewesha mimi mdogo wenu

maana utakuwa umejifunza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam una Rules zake
moja ya Rules zake ni

KILA IBADA(ASILI YA IBADA),NI HARAMU(KUTOJUZU) KUIFANYA,MPAKA IJE DALILI YA KUIHALALISHA

Ndoa ni aina ya IBADA

kwa mantiki hiyo
Ni Haraam(ndoa ya Mut-a) mpaka ije dalili ya kuihalalisha

Chief
ni jukumu lako ww,kutuletea dalili ya kuhalalisha NDOA YA MUT-A
Dalili ya wazi

Tutafurahi sana Bro

Tunamuomba Allah akuongoze katika usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good question. Ni swali ambalo hata mimi nimeuliza kwenye uzi huu huu na sijapata majibu.
Hukupata jibu kwa sababu umeuliza kitu ambacho hakipo na ndio maana, pamoja na kukuambia utoe hiyo aya iliyoandika habari za WAGE, umeshindwa kutoa?!

Na Bandiwe amekuuliza makusudi kwamba Dowry ndio wage?! Amekuuliza hivyo kwa sababu, wakati imeandikwa dowry, wewe kwa makusudi umeandika wage! Yaani kwa makusudi unaamua kusema uongo halafu unajiita Mkristo!!!

Kitabu unachokiamini, kupitia Mithali 6:12-19 kinasema:-
Mtu mbaya sana na mlaghai, ambaye huzungukazunguka na maneno ya upotovu,13 ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, 14 ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina. 15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada. 16 Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 17 macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 18 moyo uwazao mipango miovu, miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu, 19 shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
Hebu nijuze, wewe unamtumikia nani hasa na unaamini maandiko ya Mungu yupi?!
 
Hukupata jibu kwa sababu umeuliza kitu ambacho hakipo na ndio maana, pamoja na kukuambia utoe hiyo aya iliyoandika habari za WAGE, umeshindwa kutoa?!

Na Bandiwe amekuuliza makusudi kwamba Dowry ndio wage?! Amekuuliza hivyo kwa sababu, wakati imeandikwa dowry, wewe kwa makusudi umeandika wage! Yaani kwa makusudi unaamua kusema uongo halafu unajiita Mkristo!!!
ndio maana nilimuambia ni Muongo aslimia 99

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah..! Eti tunawaacha mnadanga jamani..! Mimi sijawoa mpk sasa baada ya kudaiwa mahari kubwa nikaachana na mtoto wao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kwakweli utakuwa umenistiri maana mmeamrishwa mtuoe wanne wanne mnatuwachaje tunadanga tu jamani.
 
Cheif
huyo unaemuuliza,alichokiuliza mwenyewe hakijui

ni sawa na mtupa mshale angani
Nimekuuliza swala naona sioni jawabu.

Nakuuliza tena
Waislamu wanafuata maamrisho na makatazo kwa matamanio yao au wanafanya hayo kwa kufuata Qirani yao?

Makafir ni hawa View attachment 1000506 swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibu kwa mujibu wa ayat hizi View attachment 1000522 JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZO mmebaki kupongezana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwaone huruma mno
na tuwaombee Dua njema kila siku kila saa na kila dakika

Maana ndio jukumu letu kuelemisha wasiojua katika wao

Bado tutabaki sisi Waislam,kuwa ni Walimu
na wao wataendelea kubaki kuwa ni Wanafunzi wetu mpaka mwisho wa Dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom