Wala msiikaribie zinaa; hakika hiyo ni uchafu na ni njia mbaya.1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa.
2. Kupewa nguvu ya asili tofauti.
Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali.
(Utu to unyama)
Mtu mpya huyu ametokana na asili mbili tofauti kwa mchanganyiko wa damu. Mnapoachana baada ya kuishi kwa mwaka mmoja muunganiko huo bado upo ndio maana ma-ex utakuta wanauana bila sababu.
Ukishiki na watu zaidi ya watatu kwa mwaka mmoja mmoja itafika kipindi asili Yako ya asili (unique) kuisha kabisa na kubaki kava tupu (simu ya mchina )
Kwa nini pisikali nyingi haziolewi tena bali ni kuchezewa na kuachwa sababu ni hii pamoja na mahandsome.
Nyota safi kuchukuliwa na kuachiwa nyota chafu kwa yule anayeanza zinaa kwa mara ya kwanza.
ZINAA NI UCHAFU (taka tiririka).
Tofauti ipo, binadamu ameumbwa na utashi, mnyama hana utashi.(concise)Ingekuwa hivyo kama hizi propaganda zinavyo elezs miaka na miaka dunia isingekuwepo.
Ngono ni njia ya uzazi tu ila inavyochukuliwa na binadamu utadhani ni kitu cha mno sana kumbe ni zaidi ya kawaida.
Hamna tofauti ya ngono ya binadamu na myama ama ndege na viumbe wengine wanavyo jamiina.
Ila binadamu kaipa umuhimu uliopitiliza !
Hii yote ni kwa sababu ya udhaifu wa binadamu wa ubinafsi na umimi na kujipendelea.
Unapozungumzia bahati na dhambi napata ukakasi sana, kuwa kufanya uwiano wa wale tunaoamini ni wema kwa matendo na wale tunaoona ni wachafu wa matendo. Au bahati inakwendaje?
Pili, kwenye mambo matatu uliyoeleza, kwenye bahati umafungia mabano inaletwa na Mungu mwenyewe.. Akili?
Let's say, nimepoteza elfu tano. Akaja kuiokota mtu mwingine, it means Mungu kampelekea bahati aliyeokota. Mimi niliyepoteza?
Nahitaji kujifunza tu mkuu, si kwa ubaya
Diamond ni Tajiri na ili uwe Tajiri lazima uwe vizuri kiroho na ngono nayo ipo kiroho kwahiyo unaweza kuvuna nishati kupitia ngono we kama unafanya ngono kwa starehe shauri yakoVipi kuhusu Diamond maana amewabagaza balaa na bado anapeta
Bado hujatoa majibu thabiti. Kwa kuwa ni unavyoelewa sio mbayaAya yangu ya mwisho nimesema hivi:
"Bahati ya kweli inapatikana kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi pekee."
Maana ya aya hiyo kuna bahati ya kutengeneza nayo ipo. Kwa hiyo mtu mbaya anaweza kufanikiwa pia inategemeana na aina ya bahati aliyonayo. Lakini bahati inayotoka kwa Mungu ni kwa kufuata sheria za maisha tu.
Mwanzoni nimesema dhambi ni kukosa shabaha au lengo ambalo Mungu amepanga ufanye katika maisha yako ili uweze kufikia malengo fulani. Mungu anataka ufuate sheria za maisha kwenye kila hatua ya maisha yako.
Dhambi sio kudhini tu, na zile dhambi zingine. Unapokosea kufanya jambo lolote katika viwango vinavyo takiwa unatenda dhambi pia.
Maana yangu nini ukiona umepoteza kitu kuna sheria ya maisha hujaifuata ndio maana kimepotea. Ndio maana mtu hujirekebisha ili asipoteze tena. Kwa aliye kiokota nayeye lazima afuate sheria, dhamiri yake itamtaka akirudishe kama kuna sheria inayo jionyesha kwamba kuna uwezekano wa kukirudisha. Na kama akikiuka nayeye kuna siku atapoteza (karma).
Hivyo ndivyo dunia inavyo enda.
Akili inatokana na kujifunza maarifa mbalimbali pamoja na kuitumia mara kwa mara kuwaza (critical thinking). Mfanya biashara anawaza kila siku kupata mawazo mapya yatakayo boresha biashara yake.