KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Uchaguzi Zimbabwe umefanyika bila ya figisu figisu zozote na baada ya kampeni za kistaarabu kabisa (ukiondoa jaribio la kumlipua Mnangwaga) kufanyika.
" Zimbabwe experienced a beautiful expression of freedom and democracy. In our millions, we voted in the spirit of tolerance, mutual respect and peace," Mnangwaga wrote on twitter after polls closed.
Imebaki kusubiri matokeo, na kama yote yatakwenda vizuri heshima kwa Zimbabwe itarejea.
Inafaa nasi tujifunze kwa wenzetu. Mabadiliko yanafanyika Ethiopia na Waziri wao Mkuu mpya, ili kasi yao ya maendeleo iimarike zaidi.
Tunawasikiliza kwa makini wenzetu wa karibu sana hapa Kenya, na wao wanasema wamechoka na mifarakano ya kikabila na mengine mengi yanayowarudisha nyuma. Wanaamua kufuata njia ya maelewano bila kujali itikadi zao
Je, sisi ndio tutakaoamua kurudi nyuma, eti kwa kisingizio cha kuharakisha maendeleo? Haya yatakuwa maendeleo ya namna gani ya mifarakano!