mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Membe alikua huko Zimbabwe kama mmoja wa waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi,what do you expect boss?Nadhani kuna umuhimu wa vyama vya siasa kutafuta njia mbadala zaidi ya kuingia mitaani mara baada ya uchaguzi ili kushinikiza ushindi. Ni bora zaidi kubana palepale kura zinapohesabika na kuhakikisha faulo haifanyiki hapo.
Wkishaweka kumbukumbu na ushahidi wa wizi wa kura, then wanayo haki ya kuchukua hatua zilizopo, ikiwa ni pamoja na kufanya maandamano kama wananyimwa haki.
Kuingia mitaani bila hata ya kuwa na ushahidi ni kujitoa mhanga tu, kama hao watatu walivyoteketea bure.