thank you sana kwa majibu poa.... mbona bi mkubwa tuu? father wako ndiyo hana time na mambo yako? Hahahaaa! Mdingi wangu ni mdingi halisi wa kiafrica, ana extended family, majuku kibaooo yanamngoja, afu mwenyewe anahitaji mda akate kilaji, so he was a responible father like kutoa ada na nini...