Ziko wapi Interview shows za JF

Ziko wapi Interview shows za JF

Heshima kwako Mkuu.

Vipi hukupata usumbufu baada ya show.?
Maana watu walijua baadhi ya vitu, walivyokuwa hawafahamu mwanzo.
I mean mimi ndio nilikuwa nahoji, nilishaendesha hizi show mara kadhaa! sijawahi kuhojiwa.

Ndio maana nikaweka hadi hiyo Profile.

Nakumbuka nilikuwa napewa airtime na kiwatengu.
 
One of the toughest Interview...

Miaka 11 iliyopita.

When Lara 1 was Lara 1.

 
Napenda hizo interview sana, zimejaa uzandiki** flan hvi😝
umbea kwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom