Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,745
anzeni na dronedrake mwanaharakati
Huyu maswali mengi yatahusu slogan yake ya kataa ndoa
anzeni na dronedrake mwanaharakati
❤️❤️Ngoja nitaanzisha mie, tatizo maswali mengine magumu mno🥵
Ilikua JF haswa sio hii ya sasaUmenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi
![]()
Muosha rungu live interview on johanah's show!
Habari za weekend wanaJF Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu.... Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhostwww.jamiiforums.com
Hahahahaha kwa JF ya sasa na uzi utafungwaJF ilikuwa moto kweli,
Tafuta host basi, urudishe hiyo kitu.
Fanya na To yeye tumsikieNampata wapi mie 😂
Hata huyo Muosha rungu iliwezekana sababu aliniambia nimfanyie
Ni host mie 🤣😂😁Nampata wapi mie 😂
Hata huyo Muosha rungu iliwezekana sababu aliniambia nimfanyie
Mie nitakua Mdhamini wa Show ..Show iwe kila Alhamis na IjumaaNi host mie 🤣😂😁
Naunga mkono hojaMie nitakua Mdhamini wa Show ..Show iwe kila Alhamis na Ijumaa
Nadhani sasa wadau walifanyie kaziNaunga mkono hoja
Ni host mie 🤣😂😁
Ilikua JF haswa sio hii ya sasa
Ata Leo muda ni nao wa kutosha dada yanguUna muda lini ili ujibu maswali yetu kwa wakati? 😂
Kabisa ila sasa hv inaweza kukupa stress na presha juuSanaa
Wakati ule JF ilikuwa inaondoa stress na magonjwa yote 😂
Hebu jaribu kuirudishaTo yeye uko tayarii ?