Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

Hizi intavyuu ziwe zaelezwa kabla basi loooh!!!
 
Wana MMU! Sasa niwakaribishe kama na nyie mnanyongeza kwenye hii mada mutoe.

Heaven on Earth, Mentor, DEMBA, farkhina, Excel, mwallu, charminglady, Jerrymsigwa, Jawilat, white girl na wengine karibu kama mnalakuongezea...uwanja ni wenu sasa

mkuu uran,

naomba binafsi niongezee kidogo japo umesema tukae pembeni!

wahenga wanasema, old is gold.

king'asti wangu wa kwanza niliyempata enzi zile katika foolish age kwa kweli alikuwa soo mwaaaah!!!

kwa kweli sijawahi kutana tena na binti kama yule, labda ije kuwa incident! nilipendwa sana, mtoto hajawahi niomba pesa, kifupi hajawahi nichuna!! mpaka nilikuwa najishtukia najichuna mwenyewe kwa zawadi ndogo ndogo!!

sasa la sasa!! majanga! nahisi utandawazi umekuja kuharibu mapenzi! mabinti wanataka maisha kama ya akina beyonce na rihanna! nani atayaweza? mmmh!

i miss my cinderella!
 
Last edited by a moderator:
Hizi intavyuu ziwe zaelezwa kabla basi loooh!!!

ok ok! nimekuelewa kwa uzuri sana, sasa mkuu we j.pili au j.mosi jioni huwa una time? wan' to interview u
 
ghooosh!! pole sana sana..
 
Last edited by a moderator:
ok ok! nimekuelewa kwa uzuri sana, sasa mkuu we j.pili au j.mosi jioni huwa una time? wan' to interview u

Hahaha...yaani kutoa ushauri tu ndio wanigeuzia kibao.

Mkuu samahani, kwa ufupi huwa sina muda free wa masaa mengi kama ambavyo intavyuu zako zachukua...
 
Hahaha...yaani kutoa ushauri tu ndio wanigeuzia kibao.

Mkuu samahani, kwa ufupi huwa sina muda free wa masaa mengi kama ambavyo intavyuu zako zachukua...

swala muda wa interview lina depend sana na availability yako.
yaani mkuu ukitenga hata saa 2 tu! zinatosha kabisa. nimekuwa interested kufanya interview na wewe baada yakupitia pitia baadhi ya mambo.
Tena mkuu nitapenda uwe wewe na Heaven on Earth, naomba ukubali ndugu kwani itakuwa bonge la interview:
watu8 na Heaven on Earth in da house..

weweeee!
just accept mkuu nikuPM topic tutakayozungumzia.
 
Last edited by a moderator:
Serious ni hii nilonayo sasa naamini hiyo japo bado siishi nae but he loves me and i believe him.nilianzaje nae sitakwambia pia ila alinitongoza kama wengine wanavyotongozwa nikampa nafasi hiyio

hapa ulikuwa unanisema mimi? teh teh teh...
 
inshort najuuuuuta kumfahamu huyu mupya.... gold yangu ilikua inanidekesha sana yan i real remember him every second......
 
Daaa hii exclusive imetulia
Hongera kwa kuwauliza maswali uran
Na pia ushirikiano wa Nambe na shansarie.
Hongeren kwa hili
 
Last edited by a moderator:
Mnatumia qualification zipi kumchagua mtu/watu kuhojiwa kwenye topic fulani?
 
Jamani uran umepotelea wapi? Long time hii kitu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom