Ziko wapi Interview shows za JF

Ziko wapi Interview shows za JF

Leo jumatatu
Week bado mbichi sana hii kaka yangu

Napendekeza iwe ijumaa usiku ama jumamos kwasababu jumapili binafsi nakuwa na maandalizi mengi ya kuianza jumatatu
Naunga mkono hoja dada yangu
 
Miaka mitano hadi Saba iliyopita kulikuwa kuna "interviews" za wanachama maarufu hapa JF.

Ambapo wanachama wangemuuliza maswali "host"

Maswali mbalimbali kumhusu na "Host" anajibu vizuri tuu.

Siku hizi hazionekani tena.
Hii ilifanya Chit Chat ichangamke hasa siku za weekends.

Nini tatizo? Waendeshaji wamepotea au hakuna mtu anataka kujielezea mambo yake.

Yuko wapi DJ sepetu" muosha rungu"?
Niliwahi kuwa mmoja wa Host wa hizi show pendwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom