Ziko wapi Interview shows za JF

GenuineMan

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
5,252
11,600
Miaka mitano hadi Saba iliyopita kulikuwa kuna "interviews" za wanachama maarufu hapa JF.

Ambapo wanachama wangemuuliza maswali "host"

Maswali mbalimbali kumhusu na "Host" anajibu vizuri tuu.

Siku hizi hazionekani tena.
Hii ilifanya Chit Chat ichangamke hasa siku za weekends.

Nini tatizo? Waendeshaji wamepotea au hakuna mtu anataka kujielezea mambo yake.

Yuko wapi DJ sepetu" muosha rungu"?
 
Umenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi

Umenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi

rudieni basi
 
Umenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi

JF ilikuwa moto kweli,

Tafuta host basi, urudishe hiyo kitu.
 
Ilikuwa poa sana...ilikuwa ni burudani fulani hivi na ilipunguza majungu,chuki na kuongeza furaha kimtindo mana hadi muda ulikuwa unapangwa ili wadau wajiandae na maswali
Hope itarudi hivi karibuni
can't wait
 
Umenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi

Umenikumbusha mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom