Mimi siipendi kabisa CCM lakini kama ni lazima kutawaliwaliwa na CCM basi katika wote wanaotaka kugombea kupitia CCM, afadhali ya Lowas.
Tunajua CCM wote ni wevi, ni wala rushwa na ni mafisadi. Kwa hiyo ndani ya CCM hatutafuti msafi, hatutampata maana ufisadi, rushwa na wizi ndani ya CCM upo ndani ya mfumo wa uendeshaji wa siasa za chama.
Tukija kwenye akili binafsi, Lowasa ana akili na uwezo wa kuelewa kuliko wagombea wote wa CCM. Hata wakati wanasoma pale chuo kikuu Lowasa, Kikwete na Ditopile, Lowasa alikuwa far ahead ya Kikwete na Ditopile, na ndiye pekee yake pale UDSM kwenye kundi lao aliyefauli. Kikwete na Ditopile hawakufaulu, Ikulu iliomba Kikwete na Ditopile wapewe minimum pass maana wana majukumu ya TANU Youth Legue.
Uwezo wa kufanya maamuzi, Lowasa yupo juu ya Kikwete na wagombea wengine wote wa CCM.
Uwezo kusimamia, kujiamini, na upeo yupo juu sana kuliko wale wote waliosema wanataka kugombea kupitia CCM. Ukimwacha Lowasa, wagombea wengine wote walioonesha nia kupitia CCM ni takataka.