Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Kuna msemo wa Kiswahili "Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba." Mkapa anajua kuwa Lowassa ni fisadi mwenzake kwa hivyo atamlinda. Kichwa cha mwizi huwa hakitulii akiogopa kuwa kuna siku atakamatwa. Mkapa ameuza nyumba za serikali kwa marafiki zake. Alijigawia Kiwira. Amefanya mengi ya kifisadi ambayo anajua ni fisadi mwenzake tu anayeweza kumlinda. Kwa hiyo haishangazi kabisa kuwa fisadi atamfagilia fisadi mwenzake.

mkuu umeongea ukweli sana,

Lowasa ameshatajwa kwenye ufisadi, na Mkapa pia ametajwa kwenye ufisadi,, ni dhahiri Mkapa kumpigia debe fisadi mwenzie ili kupata hifadhi pindi akishika rungu.

Lakini kuna watu wanajifanya hawalioni hili,,,,, sijui ni kujipendekeza? au na wao wamo kwenye huo mkondo wa kifisafi? au wanalishwa na hao mafisafi,,,,,

haiingii akilini mtu analiibia taifa hela nyingi na kusababisha maisha magumu eti anaitwa mtendaji mzuri... utendaji gani huo mzuri? uizi?
halafu tulalamikie serikali?

Mi nadhani kwa mtu yeyote anaemuunga mkono fisadi ni lazima naye ni fisadi,,,.
 
Ikiwa Dunia imesimama kwa mshutuko wa kumpoteza kiongozi shupavu Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Satta kilichotokea London mapema wiki hii , Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekaririwa na kituo cha lunginga CITIZEN nchini Kenya kwa njia ya simu akihojiwa maswali mbali mbali baada ya kifo cha Satta, Katika mahojiano yake siku sita OKELLO kupata tafakuri ya Zaidi ya masaa 30 hadi sasa na kudhubutu kusema Lowassa ameungwa Mkono na Mkapa kwa maslahi ya Taifa , chama na Serikali. Zijue sababu za Mkapa kumuunga mkono Lowassa katika Tafsiri ya mahojiano yake na kituo tajwa.

1.EDWARD LOWASSA ANAUZIKA KWA WANANCHI.
Rais Mkapa aliangazia wasifu wa Lowassa bila shaka na kukiri ndie anaeuzika akiangalia utendaji na uchapakazi wa Lowassa na ndioa maana alinukuliwa aisema,"Chama kama chama lazima muwe na mtu anayeuzika na kukubalika katika jamii kwa utendaji wake, haiba yake, wasifu wake (ndani ya Chama na Serikali) lakini vile vile ushawishi wake.." ambae bila shaka ni Lowassa.

2. VIJANA WAJITOKEZE ILA NI WAKATI WA LOWASSA.
Hapa Mheshimiwa rais Mstaafu alionyesha kuwa chama kina kuza demokrasia pia na hivyo hazina ya vijana haipaswi kupuuzwa ila huu ni wa kati wa Lowassa na ndio maana hakusita kumtaja Lowassa pale alipo jitokeza 1995 na sasa ni wakati wake. Hivyo alisema "...Haya mambo ya umri na kadhalika sisi hatukutazama wakati huo ila si dhambi vijana KUJITOKEZA manake hata wakati wangu Rais wa sasa Mhe. Kikwete na kina Lowassa walijitokeza na LEO unaona Kikwete ndiye Rais" akimaanisha vijana wajitokeze ila Lowassa ndie Rais AJAE.

3.AKIRI LOWASSA HAKUNA WA KUMZUIA NDANI YA CHAMA
"...nikuhakikishie hata kama mimi Benjamin Mkapa siko na Kikwete mwisho wa siku wanachama ndio watakaosema wewe hutaki ila sisi tuachie huyo huyo...Na hayo yalijitokeza mwaka 2005 watu walimtaka Mhe Kikwete sasa mimi kuwa Mwenyekiti wa Chama hakunipi Mandate ya kushindana na walio wengi na mliona alishinda kwa asilimia kubwa kweli kweli.." HIVYO ni wazi hata Rais Jakaya hayuko kwa ajili ya kumzuia Lowassa bali kutimiza Demokrasia.

4.AONYA MAKUNDI YA URAIS NDANI YA CHAMA YANAYO MCHAFUA BILA SABABU.
Mheshimiwa Mkapa alirejea kauli ya Edward Lowassa February 7 ,2008 alipoonya wanasiasa kupakaziana siasa chafu hivyo nae alionya kwa kusema "Hivyo CCM Ina taratibu zake na wanajua nani anafaa manake siasa hizi...tuhuma zingine za kipuuzi kweli kweli...sasa mkiendekeza tuhuma mwishowe mnakuta mnabaki bila chama na kwenye siasa mkianza kushutumiana hakuna wa kusimama"

5.LOWASSA NI TUMAINI LA WENGI NA CHAGUO LA WENGI.
Amekishauri chama kuwa Lowassa ni tumaini la wengi hivyo cha kama chama wao watawekeza kwake na ndipo alipo yanena haya "Hakuna chama duniani ambacho kinaona kabisa fulani atatusaidia halafu kimwache -hakuna. Manake huko ni kukiua Chama...Naamini ndivyo ilivyo hata mpaka sasa tafiti zimefanyika na naamini wamesikia watu wakisema wanamtaka nani…wakati wangu mimi mgombea alikuwa amesha tungiwa nyimbo na watu mbali mbali wenye mapenzi nae. Hivyo labda hata sasa yawezekana kuwa hivyo…washwahili walisema nyota njema huonekana asubuhi"

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA ,….SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA 2015.

Lowasa hashindi nochokuona wewe unabeba mshiko wake na kumlaghai kuwa yeye ndiye chaguo la vijana na Watanzania. Hata wewe utakula pesa yake na kulala mbele.
 
wengi hatujasikia live sasa vyombo vya habari vya hapa wamhoji wote tumeikie live ili watanzania nao watoe michango yao kuhusu mkapa

Viongozi wengi wa tz ni wanafki, hupenda kuongea maswala nyeti wakiwa nje ya nchi. Mfano : kikwete akiwa China alitangaza tarehe n mwezi wa kupiga kura ya maoni ya rasimu ya katiba while ameacha raiya wa kuwatangazia hilo wakiwa nyumbani hawana iyo taarifa
 
Lowasa hashindi nochokuona wewe unabeba mshiko wake na kumlaghai kuwa yeye ndiye chaguo la vijana na Watanzania. Hata wewe utakula pesa yake na kulala mbele.

upeo mfupi wa kueleza tamaa zako mbele ya jamii za watafiti.....na wasomi utachekwa....
 
Mkuu wakati ukifika Mkapa AKIMNADI ASKARI WAKE WA MWAMVULI ALIE MPA HESHIMA KANDA YA ZIWA UJITOKEZE PIA KUKANA UKWELI...

Kuwa mwanasiasa ni kama kubwia unga kuacha ni shughuli kubwa. Unasema nkapa amnadi askari wake wa mwavuli???!!!

Mara tu wameshasahau walivyo mnadi mkwe wao kule arumeru. Aibu waliyo ivuna wamesha sahau? wanajiandaa kwa mavuno mengine ya aibu? Ngoja tusubirie tuone nwisho wake utakuwa nini.
 
mkuu umeongea ukweli sana,

Lowasa ameshatajwa kwenye ufisadi, na Mkapa pia ametajwa kwenye ufisadi,, ni dhahiri Mkapa kumpigia debe fisadi mwenzie ili kupata hifadhi pindi akishika rungu.

Lakini kuna watu wanajifanya hawalioni hili,,,,, sijui ni kujipendekeza? au na wao wamo kwenye huo mkondo wa kifisafi? au wanalishwa na hao mafisafi,,,,,

haiingii akilini mtu analiibia taifa hela nyingi na kusababisha maisha magumu eti anaitwa mtendaji mzuri... utendaji gani huo mzuri? uizi?
halafu tulalamikie serikali?

Mi nadhani kwa mtu yeyote anaemuunga mkono fisadi ni lazima naye ni fisadi,,,.

Ukweli utawekwa wazi karibuni na Okello .... Lowassa is the coming President 2015... huu uzushi wenu utakuwa umefunikwa before 2015.....
 
Kuwa mwanasiasa ni kama kubwia unga kuacha ni shughuli kubwa. Unasema nkapa amnadi askari wake wa mwavuli???!!!

Mara tu wameshasahau walivyo mnadi mkwe wao kule arumeru. Aibu waliyo ivuna wamesha sahau? wanajiandaa kwa mavuno mengine ya aibu? Ngoja tusubirie tuone nwisho wake utakuwa nini.
subiri ukweli utakapo dhihiri nchi itakapo simama masikini tukipewa chetu na kula matunda ya nchi yetu......
 
SI lazima tuyaamini yakwako katika upeo wako ila ukweli si tu ccm ila unaogopa lowassa.....

Lowassa alionyesha umakini kipindi alivyokuwa waziri mkuu kwani hakutaka upuuzi na wenzake walimchukia kwa hili, ila pia kumbuka wakati alipokuwa waziri wa ardhi aligawa sana viwanja kiholela na kuuza nchi. Hii ndiyo JF takwimu zipo na baadhi ya marafiki zangu pia walipewa viwanja na Mh. Lowassa kwa ajili ya kumpamba back in 1995. Ndiyo maana nimesema ndani ya CCM hakuna kiongozi makini sijuwi Mwigulu, kwani wote wanaanzaga hivi hivi kujifanya watu wa watu wengine wanadiriki kukata mauno vijijini na kushindana kukuna nazi na wananchi. Uchaguzi ukipita hawaonekani tena mpaka miaka mitano mingine ijayo huku wakitumia kauli mbiu ile ile ya mwaka 1908 kuwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Tanzania nchi masikini, toka lini?
 
Lowassa ni namba nyingine mkuu.mkapa mwenyewe anatambuwa ni kichwa alichokitengeneza mwenyewe,
 
Lowassa alionyesha umakini kipindi alivyokuwa waziri mkuu kwani hakutaka upuuzi na wenzake walimchukia kwa hili, ila pia kumbuka wakati alipokuwa waziri wa ardhi aligawa sana viwanja kiholela na kuuza nchi. Hii ndiyo JF takwimu zipo na baadhi ya marafiki zangu pia walipewa viwanja na Mh. Lowassa kwa ajili ya kumpamba back in 1995. Ndiyo maana nimesema ndani ya CCM hakuna kiongozi makini sijuwi Mwigulu, kwani wote wanaanzaga hivi hivi kujifanya watu wa watu wengine wanadiriki kukata mauno vijijini na kushindana kukuna nazi na wananchi. Uchaguzi ukipita hawaonekani tena mpaka miaka mitano mingine ijayo huku wakitumia kauli mbiu ile ile ya mwaka 1908 kuwa Tanzania ni nchi changa na masikini. Tanzania nchi masikini, toka lini?

Kweli wew Una style yako ya kung'ata na kupuliza...
 
subiri ukweli utakapo dhihiri nchi itakapo simama masikini tukipewa chetu na kula matunda ya nchi yetu......

hujui kama Lowasa alitajwa kwenye mkataba wa kifisadi wa richmond akiwa PM?
Hujui kama Mkapa alitajwa kuununua mgodi wa kiwira kwa bei ya chini sana?
uzushi unaoungea ni upi?
au hukusudii kuwa mkweli?
siamini kama huoni aibu kuiga majibu ya Lundenga kuhusu Siti.
 
mie sitaki kumsikia tena Mkapa ni watu walewale wanaosababisha umasikini wa nchi yetu.

watu Kama nyinyi mnaokosa dhamira ya dhati huwa ni kawaida kuupotosha ukweli kwa visingizio....
 
hujui kama Lowasa alitajwa kwenye mkataba wa kifisadi wa richmond akiwa PM?
Hujui kama Mkapa alitajwa kuununua mgodi wa kiwira kwa bei ya chini sana?
uzushi unaoungea ni upi?
au hukusudii kuwa mkweli?
siamini kama huoni aibu kuiga majibu ya Lundenga kuhusu Siti.

Hakuna ukweli wa kutajwa tuu bila mahakama... assume tumekutaja wew fisadi je ni fisadi bila mahakama kuthinitisha...
 
Lakini hata wao hawakuona ulazima wa kuwachukulia hatua watu waliowadhalilisha? ikiwa kama zile tuhuma zilikuwa za uongo.
 
Lakini hata wao hawakuona ulazima wa kuwachukulia hatua watu waliowadhalilisha? ikiwa kama zile tuhuma zilikuwa za uongo.

Unapo mtuhumu mtu for public interest unapaswa kumshitaki ila mim unae nituhumu si lazima naweza kukupuuza....
 
Nadhani hukumuelewa viZuri mkapa, Yule ana akili mara 100 ya huyo Lowassa wako ambae amekugeuza wewe Kama baamedi wake au muhudumu ambaye kila siku kazi yako kwenye mitandao ya kijamii nchini hapa ni kuuza kofia ya polisi.... Mkapa alikuwa na maana hii.... Watanzania msiwe wajinga kwa kuchagua mtu mgonjwa na dhoofu hali, mtakua mmerudia kosa walilofanya wazambia, Lowassa ni Kama Sata tuu..!! Nawasilisha...!!

We hujui unachokisema inaonekana mbinu zenu za awali zimefeli. Hoja ya za ufisadi hazina mashiko sasa mmeanza hili la ugonjwa wewe mwenyewe nasikia uko under medication.
 
Back
Top Bottom